Lissu ni sawa na ICBM Iiliyojaa uwezo wa afya ya akili na mlango wa weledi wa ufahamu

REALITY

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
4,297
1,828
1.lissu amesema kuhusu ushoga hiyo ni faragha ya mtu binafsi,na katiba ya Tanzania imesema ni mwiko serikali kuingilia faragha ya mtu binafsi,na pia utafatiliaje mambo ya mtu binafsi kitandani nyumbani kwake,akasema makonda alivyosema mbona magufuli na maige walijitoa na kusema sio maneno yetu hayo ni ya makonda pekeyake baada ya misaada kuzuiwa.

2.kuhusu mabeberu,lissu anauliza mabeberu ni watu wa aina gani,je ni wale ambao mmenunua ndege kwao,wale ambao mkiumwa mnaenda kutibiwa kwao,wale ambao wanawapa misaada ya dawa,wale ambao wanawafundisha askari wenu counter terrorism ambao ni FBI Marekani,au ni ambao wanawauzia silaha,wale ambao wanatoa misaada ya elimu na mikopo au wale waliomfundisha shule nyerere,marehemu mkapa au mimi tupate elimu au ni wapi?anasema anataka magufuli aseme mabeberu ni wakina nani na ni nchi ipi.

3.kuhusu act wazalendo kushirikiana na chadema amesema lipo wazi na hawawezi sema updates maana mitego ni mingi sana kwao,kwa kifupi kutoa siri watakuwa ni wajinga kiasi gani.

4.kuhusu kesi amesema kama walisimamisha kesi miaka mitatu watashindwaje kusogeza miezi miwili mbele ili jambo la kikatiba linalotokea maramoja ndani ya miaka mitano likamilike kikamilifu.

5.Dunia nzima inaangalia huu uchaguzi kwelikweli,na macho yapo kwa IGP,NEC,JAJI MKUU,MSAJILI WA VYAMA NA USALAMA.

6.Akiingia madarakani kutakuwa na uhuru wa vyombo vya habari,katiba mpya,haki ya mfanyabiashara,kutibiwa kwanza malipo baadae,kuwatoa jela wote ambao wamebambikiziwa kesi,kufutilia mbali vitambulisho vya mmachinga,uhuru wa maoni,kufuta sheria kandamizi na mwisho mihimili kujitegemea,mengine SUBIRIENI KAMPENI

ASANTENI.
 
Unamaaanishaaa huyuuu anaelazimasha kupigwa kwake iwe agenda ya kuhurumiwa kuwa raisi?
Watanzania sio wajingaaa.
Kwanza atuambie na asaidie polisi ushaidi, kuhusu shambulio lake.
Huyu huyu jamaaa ambaye anashindwa kujenga hoja ya kuomba kura?
Serikali inayoshindwa kufanya uchunguzi mashambulio ya kisiasa haipaswi kuchaguliwa tena. Ije serikali nyingine ifanye uchunguzi.
 
Me naona serikali ingefanya jambo moja tu zuri kuwa wangeacha mambo yote ya kesi na vitu vingine Mpaka uchaguzi upite

Coz kesi za Lisu sio za mauaji, wala sio kesi ambazo Kuna watu wanashindwa kufanya mambo Yao Mpaka kesi itolewe hukumu

Mgombea wa ccm atapata heshima kubwa sana kama Lisu hatokatwa but kama wakimkata hata kama ikiwa kwa ishu ya nec directly kila mtu atajua ni serikali imemwogopa
 
Serikali inayoshindwa kufanya uchunguzi mashambulio ya kisiasa haipaswi kuchaguliwa tena.
Shaidi wakwanza kwenye kila tukio lolo ni muhangaaa. Anashindwa nini kuisaidia polisi?
Polisi wataaanzia wapi nawakati mhanga yupo?
Hiiiii inaweza kuonesha kinachoendelea mnataka kutufanya watanzania ni mazwazwa. Aende haraka saana kuisaidia polisi upeleleziiii . vingine hatutamuelewaa jamaaniiii
 
Shaidi wakwanza kwenye kila tukio lolo ni muhangaaa. Anashindwa nini kuisaidia polisi?
Polisi wataaanzia wapi nawakati mhanga yupo?
Hiiiii inaweza kuonesha kinachoendelea mnataka kutufanya watanzania ni mazwazwa. Aende haraka saana kuisaidia polisi upeleleziiii . vingine hatutamuelewaa jamaaniiii
Hotuba ya Njombe ya TL ilimtaja mchawi kaisikilize
 
Shaidi wakwanza kwenye kila tukio lolo ni muhangaaa. Anashindwa nini kuisaidia polisi?
Polisi wataaanzia wapi nawakati mhanga yupo?
Hiiiii inaweza kuonesha kinachoendelea mnataka kutufanya watanzania ni mazwazwa. Aende haraka saana kuisaidia polisi upeleleziiii . vingine hatutamuelewaa jamaaniiii
Polisi walipewa number ya gari inayomfatilia siku za nyuma kabla ya shambulio,walifanya nini zaidi ya kubariki mauwaji

Kwanini wasiende kwa maafisa wa serikali pale area D wapewe footage na wajiridhishe je ni ile gari iliyo zungumziwa

Kwanini wasimuulize nape alivyohojiwa akasema hiki kikundi cha usalama kinamwaribia raisi kwa tukio la lissu.

Nini maana ya UPELELEZI yani miaka mitatu hamjafanya lolote ,ukiwa MATAGA lazima uanze kuwa na mentalcase sijui kwanini
 
Back
Top Bottom