Lissu ni kweli utaratibu ni mbovu katika kupokea maoni ya wananchi juu ya katiba lakini je | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lissu ni kweli utaratibu ni mbovu katika kupokea maoni ya wananchi juu ya katiba lakini je

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Mbugi, Apr 8, 2011.

 1. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Inakuwaje inapofikia baba anamkuta mkewe analia na yeye anaanza kulia? Nani alitazamiwa kumyamazisha mwenzie? Angalia majibu yako yaende na dhamana uliyonayo mbele ya watanzania? Mbona mengine husemei mabovu zaidi kama ya mbuge kukopeshwa billioni 90 kwa ajili ya ununuzi wa gari nje kabisa ya bajeti iliyokuwa imepangwa
   
Loading...