Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Nani kasema anaumwa? we need an official announcement!
What else do you need?Nenda kichwani unafikiri Rais kukatisha ziara zake ni rahisi?Kuna mafuriko Ruangwa?tetemeko?Volcano?So the reason comes from his physical capacity.Nani kasema anaumwa? we need an official announcement!
Vic as long as hakuna official statement on him , ALL, ALL, ALL remain to be speculations! But speculations have a base anyway! Mwalimu wangu aliniambia: DO NOT SPECULATE UNTILL YOU SPECTATE!What else do you need?Nenda kichwani unafikiri Rais kukatisha ziara zake ni rahisi?Kuna mafuriko Ruangwa?tetemeko?Volcano?So the reason comes from his physical capacity.
Lisu hana visasi! He is always smiling pamoja na risasi 38!Ila mheshimiwa Lissu hiyo wish ya quick recovery inatoka moyoni kweli?Let us be honest.
Hawawezi kutoa KAKA,si unamjua Magufuli wewe.Hapo wanaulizana akipona akute wameutangazia umma tatizo lake unafikiri atareact vipi?Ujue watu wanaweza tumia kama fimbo uchaguzi 2020 wakati wa kampeni?Hivyo watapiga kimya kimya unless afe.Watapiga kimya kimya tu akipona mtamuona anaendelea na shughuli zake kama kawaida.Vic as long as hakuna official statement on him , ALL, ALL, ALL remain to be speculations! But speculations have a base anyway!
speculation vipi mzee ? raisi anazungukwa na watu hao watu pia wana ndugu na marafiki unadhani hawawezi kusema chochote? lisemalo siku zote lipo kam halipo jua lajaVic as long as hakuna official statement on him , ALL, ALL, ALL remain to be speculations! But speculations have a base anyway! Mwalimu wangu aliniambia: DO NOT SPECULATE UNTILL YOU SPECTATE!
Hiyo ni for the public tu,ila moyoni mwake anawish tofauti.Lisu hana visasi! He is always smiling pamoja na risasi 38!
Sina hakika kwa ninavyomfahamu Lissu!
Hujajibu hoja ya mjumbe. Kwa mantiki yako tuwe tunaamini lolote pasi taarifa rasmi? Kukatishwa kwa ziara si lazima uwe ugonjwa. Hoja ni kwamba watanzania twapaswa kujuzwa kama kweli anaumwa na sababu rasmi za kukatishwa kwa ziara. why mtu wa ughaibuni ajue hali ya Raisi na watanzania wa tukuyu tusijue lolote?!What else do you need?Nenda kichwani unafikiri Rais kukatisha ziara zake ni rahisi?Kuna mafuriko Ruangwa?tetemeko?Volcano?So the reason comes from his physical capacity.
Mbona unataka kumlazimishia uchawi wako!!?.....Ila mheshimiwa Lissu hiyo wish ya quick recovery inatoka moyoni kweli?Let us be honest.
hizi ndizo siasa safi ,siyo za akina zitto kabwe