Lissu: Namuombea Rais Magufuli apone arejee katika kazi yake. Ubaya haulipwi kwa ubaya bali kwa wema

Status
Not open for further replies.

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
IMG-20191020-WA0001.jpg
 
What else do you need?Nenda kichwani unafikiri Rais kukatisha ziara zake ni rahisi?Kuna mafuriko Ruangwa?tetemeko?Volcano?So the reason comes from his physical capacity.
Vic as long as hakuna official statement on him , ALL, ALL, ALL remain to be speculations! But speculations have a base anyway! Mwalimu wangu aliniambia: DO NOT SPECULATE UNTILL YOU SPECTATE!
 
Vic as long as hakuna official statement on him , ALL, ALL, ALL remain to be speculations! But speculations have a base anyway!
Hawawezi kutoa KAKA,si unamjua Magufuli wewe.Hapo wanaulizana akipona akute wameutangazia umma tatizo lake unafikiri atareact vipi?Ujue watu wanaweza tumia kama fimbo uchaguzi 2020 wakati wa kampeni?Hivyo watapiga kimya kimya unless afe.Watapiga kimya kimya tu akipona mtamuona anaendelea na shughuli zake kama kawaida.
 
Vic as long as hakuna official statement on him , ALL, ALL, ALL remain to be speculations! But speculations have a base anyway! Mwalimu wangu aliniambia: DO NOT SPECULATE UNTILL YOU SPECTATE!
speculation vipi mzee ? raisi anazungukwa na watu hao watu pia wana ndugu na marafiki unadhani hawawezi kusema chochote? lisemalo siku zote lipo kam halipo jua laja
 
Kwa mara ya mwisho nilimsikia akiwa Masasi na baada ya hapo sijamsikia tena na wala hajawaaga wananchi wa Mtwara!
 
What else do you need?Nenda kichwani unafikiri Rais kukatisha ziara zake ni rahisi?Kuna mafuriko Ruangwa?tetemeko?Volcano?So the reason comes from his physical capacity.
Hujajibu hoja ya mjumbe. Kwa mantiki yako tuwe tunaamini lolote pasi taarifa rasmi? Kukatishwa kwa ziara si lazima uwe ugonjwa. Hoja ni kwamba watanzania twapaswa kujuzwa kama kweli anaumwa na sababu rasmi za kukatishwa kwa ziara. why mtu wa ughaibuni ajue hali ya Raisi na watanzania wa tukuyu tusijue lolote?!
 
Lissu ebu waachie balaa lao wenyewe.
Wewe una damu ya kunguni.
Watakuona Mbaya.
Kama hawataki kusema ukweli waachie.
Jiwe hatabiriki unaweza ukasema ni mgonjwa kumbe ni mzima.
Watu watakuona unamuombea Aumwe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom