Lissu na Zitto wamtaka Rais Magufuli amng'oe Mwanasheria Mkuu

walitaka tu kuandikwa na magazetini
Wewe unadhani like lilokuwa linatokea no jambo dogo? Ule ulikuwa uvunjifu wa katiba na ndio maana serikali baada ya kugundua kuwa imeumbuliwa haikuchukua hata masaa ikaja kasi na kuondoa huwo walioita mpango.
Elewa kuwa kuvunja katiba ni kosa kubwa sana kwa mtendaji wa kisiasa na stahili yake ni kujiuzulu au kufukuzwa kama hajiuzulu. Kisiasa hilo ni kosa la pili kwa ukubwa likitanguliwa na uhaini.
Hivi kama jana wabunge wa upinzani wangekuwa wametoka hili jambo si lingeendelea bila kujulikana
 
k

kama unaelewa kuvunja katiba ni kosa kubwa wangeanza kuwashikia Kidedea Jk na Karume kwa kuvunja katiba ya mabadiliko ya katiba ya zanzibar bila kuridhiwa na serikali ya muungano hizo kelele za kutaka wajiuzulu tumeshazizoea
 
Wewe unadhani like lilokuwa linatokea no jambo dogo? Ule ulikuwa uvunjifu wa katiba na ndio maana serikali baada ya kugundua kuwa imeumbuliwa haikuchukua hata masaa ikaja kasi na kuondoa huwo walioita mpango.
Elewa kuwa kuvunja katiba ni kosa kubwa sana kwa mtendaji wa kisiasa na stahili yake ni kujiuzulu au kufukuzwa kama hajiuzulu. Kisiasa hilo ni kosa la pili kwa ukubwa likitanguliwa na uhaini.
Hivi kama jana wabunge wa upinzani wangekuwa wametoka hili jambo si lingeendelea bila kujulikana
Mkuu hapo ndio ujue wabunge wote wa CCM ni ma-zero kabisa...... upinzani ndio unaoonekana kuwa makini siku zote kwenye kusimamia serikali
 
Lissu na Zitto wamtaka Rais Magufuli amng'oe mwanasheria mkuu na waziri mpango.Ni baada ya kanuni na sheria kukiukwa.

Chanzo: Mwananchi
Kumekuwa na double standards kila hoja ya Zitto Lissu anadandia.
 
Wewe unadhani like lilokuwa linatokea no jambo dogo? Ule ulikuwa uvunjifu wa katiba na ndio maana serikali baada ya kugundua kuwa imeumbuliwa haikuchukua hata masaa ikaja kasi na kuondoa huwo walioita mpango.
Elewa kuwa kuvunja katiba ni kosa kubwa sana kwa mtendaji wa kisiasa na stahili yake ni kujiuzulu au kufukuzwa kama hajiuzulu. Kisiasa hilo ni kosa la pili kwa ukubwa likitanguliwa na uhaini.
Hivi kama jana wabunge wa upinzani wangekuwa wametoka hili jambo si lingeendelea bila kujulikana
Jambo lenyewe hata sijui lilikuwa vipi. Unaweza kuja kwa ufupi tujue ni mpango gani, uliwasilishwa na nani na kwa nini ulikosolewa hadi kulazimika kuondoshwa bungeni?
 
Kumekuwa na double standards kila hoja ya Zitto Lissu anadandia.
We nawe shipa jamaa...kuungana na kusimamia hoja kwa pamoja ni double standards? Umenitoa mood ya kuchangia hili jambo.
kama hujui kiinglishi tumia hata ishara au picha! Au ndoile wanayosema kiswahili hatukipendi kiingereza hatukijui.
 
Lissu na Zitto wamtaka Rais Magufuli amng'oe mwanasheria mkuu na waziri mpango.Ni baada ya kanuni na sheria kukiukwa.

Chanzo: Mwananchi
ukichagua waziri kilaza hata taarifa zake zitakua za kikilaza.
 
Tangu day 1 ya bunge, mbunge makini ni Zitto, wanafuata wa ukawa kwa mbaali na wa ccm ndo hamna kitu kabisaaa.

Hongera sana Zitto, kisiasa mwaka huu ni wake na ameuanza vizuri
 
Back
Top Bottom