Lissu na Lema hawataki Mbowe atoke gerezani?

Yes miez mitatu ni michache Sana, bczo sio ww, sio ndugu yako,
Ungeshauriana na waliomuweka ndani ungeeleweka zaidi, sio kutaka kuonyesha una uchungu naye huku ukifumbia macho walevi wa madaraka waliomuweka ndani.
 
Sina uchungu nae Ila me sio mnafiki kama nyie ambae mnaona ni siasa Bora mtu akiwa amewekwa ndani
 
Sisi ndio tumemuweka ndani? Ongea na walioona sifa kumuweka ndani saa hii wanatafuta sifa za kijinga waonekane wamemsamehe. Kwa hiyo ongea na hao wenye siasa za kipuuzi.
 
Sasa amuombe msamaha nani mnyampala?, Anyway mda utasema kama zito kafanya kosa au lah,,
Namshauri zito aachane na kudeal na mijitu isiyo na shukrani na sjikite kujenga chama chake.
Zito amechoma nauli nyingi sana kwenda nairobi kumjulia hali lisu. Amechoma nauli kwenda ulaya kumjulia hali lisu mara elfu..
Hii mijitu ya uswekeni hainaga shukrani,
Jitu limekulia katika malezi ya ovyo, haliwezi kuwa na shukrani, maana huo ustaarabu kwake haupo..
Wewe leo unamuonea huruma Mbowe?dunia haiishi vituko
 
Mwakibinga ..... zamani nilikuwa najua wajua kuandika, ila kwa uandishi huu, nahisi umesoma UDOM.
 
Sina uchungu nae Ila me sio mnafiki kama nyie ambae mnaona ni siasa Bora mtu akiwa amewekwa ndani

Sisi ndio tumemuweka ndani? Ongea na walioona sifa kumuweka ndani saa hii wanatafuta sifa za kijinga waonekane wamemsamehe. Kwa hiyo ongea na hao wenye siasa za kipuuzi.
 
Sisi ndio tumemuweka ndani? Ongea na walioona sifa kumuweka ndani saa hii wanatafuta sifa za kijinga waonekane wamemsamehe. Kwa hiyo ongea na hao wenye siasa za kipuuzi.

Na nyie mkae kimya siasa zenu za matukio zimepitwa na wakati
 
HebU tupe siasa ambazo sio za matukio ili tuone tofauti, maana kila siku tuko humu humu tunajadili haya haya. Au huwa mnakuwa na platform yenu mnajadili ya tofauti?
 
Matukio yenu hayana maana
 
Lema na lissu wapo sahihi.. Samia kaingizwa mkenge na wahuni..

Kesi hii ya mbowe inaharibu kabisa taswira ya ccm..

Zitto anatumika na watawala hilo linaeleweka..
 
USALITI WA VIONGOZI WA CHADEMA KWA MBOWE "HAWATAKI MBOWE ATOKE GAREZANI!"

Viongozi wa CHADEMA wanataka ruhusa ya kumpelekea MBOWE vyakula na vinywaji huko GEREZANI lakini hawataki ATOKE GEREZANI.

Mbowe ni Baba wa Familia kama wewe Lissu na Lema hammtaki ndugu jamaa na marafiki tunamtaka. Wala msitubishie maana ninyi huyo ni Mwenyekiti wenu lakini kuna Watu ni Kaka, Mjomba, Mme na BABA YAO wanataka wamuone.

Ndugu wanachama wa Chadema na Watanzania kwa ujumla, nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania!

Nikiri kuwa tangu jana nimesikitishwa sana na vitendo vya viongozi wa Chadema hasa Lissu na Lema ambao wanaongoza zoezi la kuhakikisha Freeman Mbowe (Mwenyekiti) hatoki Gerezani kwa sababu hizi hapa.

Tatizo kasema Zitto. Mara nyingi kama si mara zote CHADEMA hawajawahi kukubali kuhusu mchango wa Zitto kwao. Zitto amekua si mtu wa kulipiza visasi ndiyomaana ameonekana kuwatetea kila wanapopita magumu. Utetezi wa Zitto kwa Chadema au viongozi wake umekua ukipata nguvu na mashiko katika jamii hili linawakera sana viongozi wa Chadema maana huwa wanapoteza points tatu muhimu japo huwa ni msaada kwao. Hii yajana imekua kubwa zaidi, kwani wanashinda mtandaoni kulalama na kumzodoa Zitto. Zitto Zuberi Luyangwa Kabwe (ZZK) ni Mwenyekiti wa TCD wapende wasipende na moja ya kazi yake nikuhakikisha usawa wa Vyama Nchini unakuwepo na ustawi wa siasa safi unaendelea. Kwahiyo yeye kama Mwenyekiti wa TCD kukaa kimya juu ya Suala la Mbowe tena Mbele ya Mh Rais wakati sikuzote amekua akilipigia kelele isingewezekana. Unapoona viongozi wa CHADEMA tena wakubwa wa ngazi za juu wanamzodoa Zitto na kujifanya kwa makusudi kuwa hawafikirii kuhusu TCD ni siri kubwa inayo leta maswali juu ya upendo wao dhidi ya Mbowe. Zitto alichokifanya nikuendeleza pale CHADEMA walipoishia, mfano mara kadhaa tumewasikia wakisema na kuandika kuwa Mh Rais aingilie kati suala la Mbowe lakini Zitto anasisitiza matakwa yao wanakesha kumsigina huu siyo uungwana bali ni ukigeugeu wa kiwango cha juu kuwahi kutokea.
Hivyo tutarajie TCD wakisema kuwa wanamuomba Mh Rais amhakikishie usalama Lissu ili arudi nyumbani kama anavyotaka watageuka tena na kufokaa! Uzwazwa na Unyumbu uliokithiri. Wanachadema angalieni mkakati mchafu wa kumuangamiza Mbowe unavyoasisiwa na viongozi wenu. Niliwahi kusema na leo nitarudia kuna viongozi wa CHADEMA Mbowe akiwajua atawanyonga hadharani wamemuuza maranyingi mno. Hawa ndiyo wafitinishaji wakubwa. (John Mrema jitafakari)

Hofu ya Kuisha kwa Ukimbizi wa Kisiasa. Hili nalo linamtesa sana Mwenyekiti Mh Mbowe bila yeye kujua. Lissu na Lema tayari wameridhika kukaa nje ya nchi huku wakiongoza chama kwa watsap,facebook na twitter. Wanachofanya sasa nikuona Mbowe anaendelea kusota iliionekane Tanzania haina amani. Wanaamini Mh Rais akimsaidia Mbowe kwa Mujibu wa Sheria Dunia itaendelea kuamini kuwa amani ipo na Lissu na Lema watafutiwa ukimbizi wanahofu ya kukosa kulelelewa na hao mabwana zao. Hivyo wanamtumia Mbowe kumuumiza ili wao waendelee kula mikate na siagi huko ughaibuni, hii ni roho mbaya sana ambayo wanachadema wanapaswa kuijua. Mbowe kawekwa kama ajenda ya siri ya wao kunawili ndiyo maana hawataki kusikia anatoka maana watakosa wanachotaka. Jamani inawezekanaje leo CHADEMA wawe mstari wa mbele kumshambulia anayetaka Mbowe awe huru? Ni kweli leo Lema na Lissu wanamsahau Mbowe kwasababu ya Mkate wa kumimina huko ULAYA?
Kakosa nini Zitto? Kusema Rais amuachie Mbowe kwa Mujibu wa Sheria? Zitto tenda wema nenda zako kaka maana kuna wengine ni ma-agent wa shetani.

Juzi juzi tu ASKOFU WA CHADEMA kasema anataka Rais amuachie MBOWE tena hakusema kwa mujibu wa sheria nyumbu wote walimshangilia lakini kasema Zitto NONGWA! Au ndiyo yale yale ya Kunya anye kuku lakini akinya bata kaharisha?

Lissu hajawahi kaa mahabusu hata dakika 2 tu labda angejua kuwa Mbowe anahitaji kuwa uraiani.

Wanalengo la kumsingizia Mh Rais ukatili wakati wanajua kabisa anahuruma na anapenda amani na utulivu. Mh rais naomba sana wasikilize TCD achana na magimeza wasiompenda mwenzao. Familia ya Mbowe inamtaka na TCD wanamtaka mwenzao kwa dhati na dhamira ya pekee.

Vita ya Uenyekiti. Kuna vita na tamaa ya madaraka ndani ya CHADEMA hali hii inawafanya wafitini wa Mbowe wachukizwe na habari za Mbowe kutoka Gerezani. Wanatamani sana Mbowe aendelee kusota ili apoteze sifa ya Uenyekiti. Hii ni roho Mbaya kuwahi kubebwa kwenye fikra na mioyo ya Wanadamu hapa Duniani.

Kumshambulia Zitto ni kuishambulia TCD na ni kusisitiza Mbowe aendelee kukaa ndani hali ambayo haitoi picha nzuri pia inadhihirisha kwamba CHADEMA wakipewa nchi watakua MADIKTETA wabaya kuliko wengine wote. Itaendelea...

Philipo Mwakibinga
Chunya Mbeya.
0758910403
Nimeishia pale uliposema mchango wa Zitto kwa chadema, kwanini huo mchango asiupeleke kwa chama chake? Hivi kweli umejipima na kuona akili yako inaweza kumjadili Lissu?
 
Mkuu ukiambiwa piga magoti ili mtu muhim kwako achomoke na kifo au awe salama hutopiga?,sometimes kuretreat na kujipanga upya is better kuliko kupigana vita unavyoelekea kushindwa sababu ya ego.
Kama umewahi kusikia upumbavu, basi huo ni mmojawapo
 
Ok sasa wewe hapo unafinyika wapi? Tuna Taifa la watu wapumbavu sana tena wengine ni above 30 years.
 
Wer

Wewe ni kada wa ccm,na Samia ndio MWENYEKITI wako ndio mtu aliyemuweka ndani mbowe,Kama una uchungu mwambie Samia amtoe
 
Umeandika uharo kma sura yako ilivyo,wewe tunakujua ulikua pisi kali ya spika 6,tuliza kalio bladifakeni
 
Kwani Bi. Tozo ndo alipeleka hiyo kesi Mahakamani? Asitake kuingilia mahakama, kama kalikoroga wacha alinywe...Freeman atatoka jela kwa nguvu za Mungu ambaye ndo hulipa kisasi, kwani Magufuli yuko wapi bana? Sembuse huyu Bibi Mimacho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom