Lissu na Lema hawataki Mbowe atoke gerezani?

Amefungiwa nyumbani kwa Lisu au Lema? Alisema siku hizi serikali inawasikiliza kina Lisu nani akae ndani au aachiwe? Ama mnadhani hizi propaganda mfu zenu ndio mtatupoteza kujua nani anamtesa Mbowe? Ni hivi, Mbowe ataachiwa na hilo sio ombi bali ni lazima, mkimshiKilia mnamuonea, na mkiumuacha mnamuogopa.

Nyie wote mnapiga kelele ili mbowe asitoke nyie ndio mnapata faida Kwa mbowe kuwa jela,

Hapo sasa mnamkomoa Nani kama sio ujinga wenu?
 
Utatoa siri ipi kama hauna hiyo siri?Kinachopaswa ni Mbowe atendewe haki.Tuliambiwa ni gaidi na ushahidi upo tele.Utolewe huo ushahidi.Siyo kuja na maneno eti asamehewe.Asamehewe kwani amefanya uhalifu gani?
Tunaposema haki itendeke na si kusema asamehewe haina maana tunataka Mbowe asote jela.Hata kama roho inauma Mbowe kuendelea kuwa mahabusu,inatakiwa ionekane hana hatia ndiyo atoke.Siyo kesho na keshokutwa mnakuja na kusema "alikuwa gaidi" ila alisamehewa.Nooo!
Nimekwambia uelewe ili mbowe atoke anahitaji kusamehewa sasa kamshauri aukatae huomsamaha kesi iendelee ila nadhani ungekuwa wewe ndio mbowe ungeona msamaha unachelewa
 
Nyie wote mnapiga kelele ili mbowe asitoke nyie ndio mnapata faida Kwa mbowe kuwa jela,

Hapo sasa mnamkomoa Nani kama sio ujinga wenu?

Narudia tena, Mbowe ni lazima aachiwe tena ni bila masharti yoyote, hiyo ni mnataka au hamtaki. Sisi sio tuliombambikizia kesi hivyo ni juu yenu na siasa zenu za kipuuzi. Kwa hiyo msione aibu kumuachia maana siasa za kipuuzi hazina nafasi karne hii.
 
Hivi unawezaje andika Mda wote huu ujinga; Mbowe Kama Baba WA familia anaingiliwaje maamuzi yake Na Lisu n Lema?
Zito katoka kuongea na mbowe, face to face,, kaenda mkutanoni aka rise issue ya mbowe,,, kwa moyo safi kabisa, hawa watindiga wa uswekeni badala wamshukuru zito kwa moyo wake wa kuumia mbowe akiwalokapu, ndo kwanza wanaanza kumkaskhifu
 
Swali ujajib, Mbowe anaingiliwaje ? Yeye ndo yupo ndani, mdomo wa kuomba msamaha si anao?
 
Wanafq stejini , trafc tu huwa mnahaha kwa kupaki gari vibaya je ukipewa kesi ya ugaid sindio utatoa siriyako yamwisho kikubwa hapa atoke ilinione akipata huo msamaha je atagoma kesi iendelee kama mwenyewe yupo tayari kupokea msamaha wewe unachukia nini
Utatoa siri ipi kama hauna hiyo siri?Kinachopaswa ni Mbowe atendewe haki.Tuliambiwa ni gaidi na ushahidi upo tele.Utolewe huo ushahidi.Siyo kuja na maneno eti asamehewe.Asamehewe kwani amefanya uhalifu gani?
Tunaposema haki itendeke na si kusema asamehewe haina maana tunataka Mbowe asote jela.Hata kama roho inauma Mbowe kuendelea kuwa mahabusu,inatakiwa ionekane hana hatia ndiyo atoke.Siyo kesho na keshokutwa mnakuja na kusema "alikuwa gaidi" ila alisamehewa.Nooo!
Nimekwambia uelewe ili mbowe atoke anahitaji kusamehewa sasa kamshauri aukatae huomsamaha kesi iendelee ila nadhani ungekuwa wewe ndio mbowe ungeona msamaha unachelewa
Mkuu,naamini hata Mbowe mwenyewe ukimwambia aombe msamaha atakuuliza kwani amekukosea nini?Kama angekuwa laini hivyo,angeanza kuomba msamaha kwenye:
-kuharibiwa mali zake,mashamba na hotel,
-kufungiwa akaunti yenye fedha chekwa na hazijulikani zimeenda wapi,
-alipovunjwa mguu na tukapewa propagation kwamba alikuwa kalewa,
-alipofanyiwa uhuni kwenye uchaguzi(yeye binafsi na chama chake),
-alipobambikwa mikesi ya uongo yeye na wenzake refer kesi ya binti mzuri Akwilina na kuambiwa walimuua etc.
Hayo yote ingekuwa umefanyiwa weye si hata machozi yangekuwa yamekukauka hulii tena?Potelea mbali,haki itendeke.
 
Nyie wafuasi wa CCM ni kama mlilogwa vile yaani vichwa vyenu ni kama maboga ndani vimejaa tetere ambazo ukizitoa na kutwanga unapikia mtori wa kurutubisha Nguvu za kiume,
Hivi nyie si Ndio mnaongoza Kwa kuvunja sheria na wanachama wenu kuwa majizi na mafisadi papa yanayoihujumu nchi bila kuchukuliwa hatua?
Kwahiyo wapinzani wenu Ndio wanaoihujumu nchi Kwa kudai katiba MPYA itakayowawajibisha majizi nyie?
Pumbavu Sana ipo siku mtalipia maovu yenu,siku yenu ya kiama itakuja tu hata Kwa kuchelewa ila itafika na mtalia na kusaga meno!
,shida yenu kubwa mko too emotional ambalo hilo suala lina cloud decisions making zenu , nyie sio mnaoamua mbowe ana hatia au lah ,, mahakama ndiyo itaamua,, na ndo maana mahakama ziliundwa ili kutoa na kusimamia haki,
Mbowe si mtu wa kwanza kufikishwa mahakamani na akashinda au akashindwa kesi, sheria haibagui kwamba huyu ni mbowe na huyu ni mkulima,
Kumtaka Rais sijui afute kesi ni kujidanganya tu, HANA MAMLAKA HAYO.
kulalamika kuwa mbowe kapewa kesi fake ni upotevu wa mda tu kwani mahakama ndio itaamua hiyo kesi
 
Mleta mada ulichoandika ni kutokana na ufahamu wako mdogo na ufinyu wa kufikiri na kuchambua mambo.
Kesi hii ni michongo a.k.a. 'riwaya' walikaa watu wakatunga na watungaji wakajiweka kama mashahidi!
NI mchezo mbovu na wa hovyo kabisa kuwahi kutokea, tatizo nao majaji wetu wamekuwa sehemu ya mchongo huu
Sawa, uko sawa, kabisa. Sasa shida ni ushahidi wa kumtoa mbowe kwenye sakata hili,, utetezi watoe ushahidi wa kumtoa mbowe katika hii kesi,, mbona rahisi tu?
 
Kwanza uko chunya unazungumza habari ya mbowe ama kweli mbowe kaenea nchi zima na kimataifa ,yaani uko chunya unaongelea kuhusu mbowe ......huyu gaidi hatatoka Hadi Sheria iamue ili iwekwe historia afungwe au asifungwe
 
sahihi kabisa mkuu ,na kama wao ni wanaharakati wa mapinduzi kweli mbona wamekimbia nchi kwa hofu ya kukaa ndani.
 
Utatoa siri ipi kama hauna hiyo siri?Kinachopaswa ni Mbowe atendewe haki.Tuliambiwa ni gaidi na ushahidi upo tele.Utolewe huo ushahidi.Siyo kuja na maneno eti asamehewe.Asamehewe kwani amefanya uhalifu gani?
Tunaposema haki itendeke na si kusema asamehewe haina maana tunataka Mbowe asote jela.Hata kama roho inauma Mbowe kuendelea kuwa mahabusu,inatakiwa ionekane hana hatia ndiyo atoke.Siyo kesho na keshokutwa mnakuja na kusema "alikuwa gaidi" ila alisamehewa.Nooo!
Uko sawa, tuiachie mahakama, hii kesi iende hadi mwisho,, hamna haja ya kurumbana na kuvunjana heshima
 
S

Spin doctor,kwenye spinning umechemsha jombaa,usitutoe kwenye reli.
Propaganda za ccm kuhusu viongozi wa Chadema hazikuanza leo.unaposema Lisu na Lema hawataki Mbowe atoke,kwani ni kina nani waliomkamata?
Miaka hiyo walizusha Mbowe ndio kamuua chacha wangwe!!ikapita na Mbowe akapokewa kama shujaa Msoma.
Wakazusha Mbowe ndio alikodisha watu wakampiga Lisu risasi,mpaka leo,wameshindwa kuthibitisha.
Ccm ni majitu yasio na akili,wanasiasa na familia tawala wanatumia vyombo vya dola na taasisi zote kujilinda,hawana jipya
Hata ben saa tisa, mara ya mwisho si inasemwa walukuwa waende mashambani huko na kina hilda? Ben hajaonekana hadi leo
 
Swali ujajib, Mbowe anaingiliwaje ? Yeye ndo yupo ndani, mdomo wa kuomba msamaha si anao?
Sasa amuombe msamaha nani mnyampala?, Anyway mda utasema kama zito kafanya kosa au lah,,
Namshauri zito aachane na kudeal na mijitu isiyo na shukrani na sjikite kujenga chama chake.
Zito amechoma nauli nyingi sana kwenda nairobi kumjulia hali lisu. Amechoma nauli kwenda ulaya kumjulia hali lisu mara elfu..
Hii mijitu ya uswekeni hainaga shukrani,
Jitu limekulia katika malezi ya ovyo, haliwezi kuwa na shukrani, maana huo ustaarabu kwake haupo..
 
Analipwa Na Ccm huyo mnafiki; aache kihereher
 
Hivi ikitokea mbowe akapatikana na hatia na kuswekwa jela.
Je mutamtaka hangaya atoe msamaha dhidi yake ama pia asitoe kwakua hana kosa msamaha unatoka wapi, badala yake mapambano yatakua kisheria zaidi( na twajua fika jinsi tz inavyokiuka sheria)
 
Narudia tena, Mbowe ni lazima aachiwe tena ni bila masharti yoyote, hiyo ni mnataka au hamtaki. Sisi sio tuliombambikizia kesi hivyo ni juu yenu na siasa zenu za kipuuzi. Kwa hiyo msione aibu kumuachia maana siasa za kipuuzi hazina nafasi karne hii.

Kila siku mnasema hivyo hivyo mwez wa tatu huu, mpaka miaka itaisha bado mnabakia mbowe aachiwe
 
Sasa sheria haisemi hivyo, kwamba eti kikundi fulani kiitake serikali au sijui mahakama kufuta kesi,
Hilo ni suala la kisheria, mahakama ndo itaamua iwapo mbowe ana kesi ya kujibu, ama ifute kesi
Potelea mbali mpango mzima juu ya hii KESI upo wazi, ni vyema wangesema hata leo anafungwa maisha ikajulikana kuliko haibu za KILA siku kutoka mahakamani, tz tunasafari ndefu Sana , ni katiba mpya tu inaweza tutoa tulipo
 
Kila siku mnasema hivyo hivyo mwez wa tatu huu, mpaka miaka itaisha bado mnabakia mbowe aachiwe

Hata Mandela alikaa gerezani miaka 27 na kila siku weusi walikuwa wanasema aachiwe, nini miezi mitatu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom