hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,446
- 6,311
Amefungiwa nyumbani kwa Lisu au Lema? Alisema siku hizi serikali inawasikiliza kina Lisu nani akae ndani au aachiwe? Ama mnadhani hizi propaganda mfu zenu ndio mtatupoteza kujua nani anamtesa Mbowe? Ni hivi, Mbowe ataachiwa na hilo sio ombi bali ni lazima, mkimshiKilia mnamuonea, na mkiumuacha mnamuogopa.
Nyie wote mnapiga kelele ili mbowe asitoke nyie ndio mnapata faida Kwa mbowe kuwa jela,
Hapo sasa mnamkomoa Nani kama sio ujinga wenu?