Lissu na CHADEMA wanatafuta kura za ruzuku na sio idadi ya wabunge au kupata urais

Ya Samia na Majaliwa pia haionekani. Tatizo nn ? Hata wanafunzi wamegoma kuhudhuria?
Tunaiona sana, nenda Chanel ten inarushwa live pia YouTube imejaa. Ila ya salum Mwalim hata YouTube hakuna, pesa ya kurusha hakuna?
 
You tube ya chadema ni wale wanahudhuria. Hawana haja ya kujitangaza kwasabb wanauzika. Maisha magumu ya watanzania ni mtaji wa chadema
 
Mbona Moro tuliona na bagamoyo ila kibaha ndo shida picha bado zipo kwa fundi anazishona
 
Back
Top Bottom