Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu,
Zaidi ya asilimia 80 ya maeneo Tundu na Chadema wanayopita kufanya kampeni hakuna tumaini la kupata diwani au Mbunge sababu ni aidha wagombea waliowekwa na Chadema ni dhaifu au hakuna kabisa.Mfano mzuri ni Jimbo la Mbagala ambapo ilimlazimu Mbowe kukataa Lissu asisome ilani na ya chama kufuatia hamasa ndogo iliyokuwepo.
Sasa Chadema wamebadili upepo na kujikita kupata angalau asilimia 5 ya kura za uraisi ili kuendelea kupata ruzuku huku wakitegemea kudra kupata wabunge na madiwani.
Naam,muda unaenda kasi sana.