Nyange
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 3,516
- 1,865
Hiyo Avatar uibadili , make haiendani na ujasiri wa mwenye nayo.Naona makamanda wanachungulia tu halafu wanasepa. Yericko Nyerere alisema Lissu leo amepata mwaliko kuhutubia chuo kikuu cha Maryland. Kumbe chuo kipo magogoni? Ha ha ha, nilikua sijui.