masluphill
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 540
- 259
MUNGU kasema tuziheshimu mamlaka za Duniani katika HAKI na sio katika UFIRAHUNI,Ifike Muda Lissu ukubali kwamba unajichanganya katika maelezo, pili ujue kuna mamlaka za dunia ambazo Mungu alisema tuziheshimu pia, hivo kelele hazisaidii kitu unatapatapa tu kama mtu aliyekosa la kushikilia, hapa tulia najua BAVICHA hawautaki ukweli huu,
Hakuna cha ICC
Hakuna cha BBC kukusaidia
Hakuna cha Mshahara wako
Hakuna cha huruma ya watanzania wanaojielewa, maana walipoanza kukuhurumia ukahisi una right ya kuhurumiwa na ukaitumia vibaya
Nitakupa mifano ya watu wa MUNGU waliopingana na mamlaka za kidunia katika ufirahuni na MUNGU akawa upande wao,
1/ Daniel mtumishi wa MUNGU aligoma kusujudia sanamu la mfalme,hii ilikuwa amri ya utawala lakini DANIEL aligoma kuifuata na alipotupwa kwenye TUNDU la simba wenye Njaa ili wamtafune na kumuangamiza Kwa namna ya kustaajabisha ( kama tukio la T.A.L) MUNGU almlinda na simba wenye njaa hawakumdhuru.
2/ Musa mtumishi wa MUNGU alipodai kuwachukua Watu wake Misri ili waende Kaanani Mamlaka za FIRAHUNI ilitoa aamri ya kutoruhusu waondoke na Katika moambano huo MUNGU alikuwa upanxe wa Musa na akashinda.
3/ Mamajusi walipo pewa Amri ya kuleta Taarifa za mtoto YESU kwa HERODE akiwa na DHAMIRA OVU. MUNGU alituma ujumbe kwao waepuke kupeleka taarifa za YESU kwa kuwa HERODE alikuwa na nia ovu na MUNGU alikuwa upande Mama jusi.
Sasa wewe kupendezeshwa na uovu na kuushabikia ni UJINGA WAKO TU.
Sent using Jamii Forums mobile app