Lissu: Mtu/Watu wenye nguvu walipanga kuniua kwa namna ambayo ingekuwa fundisho kwa wengine

Tatizo la Mh lissu ni kuwa anajihami sana, kingne hana ushahidi kama angelikuwa na ushahidi angeutoa mapema, kingne Mh ni muoga sana inawezekana ushahidi anao lakni akawa muoga.

Kwan anatoa ushahidi wa waliompga au waliofanya mbinu za kumpga?

Je hao waliompga risasi wanaweza wakawa hai mpaka sasa?

wakati ukuta.
Kichaka cha kujificha a.k.a kutest kama jamaa anatujua nini ni kujaribu kum-force ataje ushahidi.

Adui wa Tundu Lissu ni JIWE, ambaye tabia yake tunaifahamu.

JIWE katoa vitisho hadharani kwenye TV baada ya **** jamaa hatishiki, kufunguliwa mashtaka kila kukicha akaona hamwezi akaona dawa ni RISASI.

Hili hata wanaotetea wanajua ila ndio hivyo wanajaribu KUMWOKOA MNYONYA DAMU Wao.
 
Hii ni moja ya sababu kwanini anamlinda sana Bashite kwani siri za maovu yote haya anahusika katika mikakati yake!!!! Akimuondoa Bashite atamwaga mboga!!! Lakini kuna siku huko mbele mboga lazima itamwagwa kwani si tunaona yanayomtokea TRUMP na wale waliokuwa wasaidizi wake!!! Learn from the experience of other people.
Huyu shetani kabla hajaondoka atalazimisha sheria za kuwapa kinga BASHITE, DOTTO JAMES, MNYETI na KALEMANI.

Hawa watu hawana mwisho mwema.
 
Huyu shetani kabla hajaondoka atalazimisha sheria za kuwapa kinga BASHITE, DOTTO JAMES, MNYETI na KALEMANI.

Katiba yetu haiwapi kinga wahalifu!!! Itabidi wajitetee mahakamani!! Katiba ingekuwa inaruhusu Kikwete angewapa kinga best wake wengi waliopo mahakamani hivi sasa.
 
Ngoja tuone
Kichaka cha kujificha a.k.a kutest kama jamaa anatujua nini ni kujaribu kum-force ataje ushahidi.

Adui wa Tundu Lissu ni JIWE, ambaye tabia yake tunaifahamu.

JIWE katoa vitisho hadharani kwenye TV baada ya **** jamaa hatishiki, kufunguliwa mashtaka kila kukicha akaona hamwezi akaona dawa ni RISASI.

Hili hata wanaotetea wanajua ila ndio hivyo wanajaribu KUMWOKOA MNYONYA DAMU Wao.

wakati ukuta.
 
Nawaona mashabiki bure kabisa.. ikifika 2020 mtaanza kulia maana hata lisu hatawania chochote.. mtakuwa nae mtaani mnapiga porojo.

Upinzani nchini hapa ovyo kabisa.. badala mkae mjadili na kushauriana mikakati muhimu kuvutia na kuendeleza wananchi mpo kiuboya kabisa.

Hongera kwa CCM kwa kuwaachia mzidi kujifukia ndani ya futi 6.

Magufuli kweli kiboko.. nasubiri 2020 atupe ukweli wa mamboz ya miaka 5..

Mashabiki koko eeeeeeeeeh mtachimba mashimo
Umalaya unalipa
 
Amesema kuwa akiwa hai au amekufa, ipo siku atataja watu waliohusika na jaribio la kutaka kuondoa uhai wake. Atawataja kwa majina yao na jinsi walivyohusika katika mpango huo.

Naisubiri kwa hamu sana siku hiyo.
Uzuri wake aliwahi kuwaona kwa macho yake mwenyewe na Mungu ni mkubwa he survived to tell the story.
 
Hakika Tundu Lissu anawasababishia vitanda visilalike pale Magogoni........

Kumbe ndiyo sababu ya Jiwe kutueleza kuwa analala na mafile pale Magogoni??

Hakika MWISHO WA UBAYA AIBU!

Na mwisho huo umekaribia mno kufika......
Mshahara wa dhambi ni mauti
 
Tatizo la Mh lissu ni kuwa anajihami sana, kingne hana ushahidi kama angelikuwa na ushahidi angeutoa mapema, kingne Mh ni muoga sana inawezekana ushahidi anao lakni akawa muoga.

Kwan anatoa ushahidi wa waliompga au waliofanya mbinu za kumpga?

Je hao waliompga risasi wanaweza wakawa hai mpaka sasa?

wakati ukuta.
Shahidi mkubwa ni yeye mwenyewe aliwaona kwa macho yake lakini hayo atayaeleza ICC
 
Katiba yetu haiwapi kinga wahalifu!!! Itabidi wajitetee mahakamani!! Katiba ingekuwa inaruhusu Kikwete angewapa kinga best wake wengi waliopo mahakamani hivi sasa.
Akili ya Jiwe ni ndogo.

Hana aibu na ni mtu wa kulazimisha mambo hata yasiyowezekana yafanyike.

Anamtumia Msajili kuvuruga vyama vya upinzani na kaona ampe kinga kabisa.
 
Tatizo la Mh lissu ni kuwa anajihami sana, kingne hana ushahidi kama angelikuwa na ushahidi angeutoa mapema, kingne Mh ni muoga sana inawezekana ushahidi anao lakni akawa muoga.

Kwan anatoa ushahidi wa waliompga au waliofanya mbinu za kumpga?

Je hao waliompga risasi wanaweza wakawa hai mpaka sasa?

wakati ukuta.
Kwamba hana nini ?! Ushahidi na ujasiri ?! Una matatizo ya kufikiri vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la Mh lissu ni kuwa anajihami sana, kingne hana ushahidi kama angelikuwa na ushahidi angeutoa mapema, kingne Mh ni muoga sana inawezekana ushahidi anao lakni akawa muoga.

Kwan anatoa ushahidi wa waliompga au waliofanya mbinu za kumpga?

Je hao waliompga risasi wanaweza wakawa hai mpaka sasa?

wakati ukuta.
Pale si mahali salama Umesikia anaenda ICC huko sasa atamwaga ndo mshike maskio
 
Nawaona mashabiki bure kabisa.. ikifika 2020 mtaanza kulia maana hata lisu hatawania chochote.. mtakuwa nae mtaani mnapiga porojo.

Upinzani nchini hapa ovyo kabisa.. badala mkae mjadili na kushauriana mikakati muhimu kuvutia na kuendeleza wananchi mpo kiuboya kabisa.

Hongera kwa CCM kwa kuwaachia mzidi kujifukia ndani ya futi 6.

Magufuli kweli kiboko.. nasubiri 2020 atupe ukweli wa mamboz ya miaka 5..

Mashabiki koko eeeeeeeeeh mtachimba mashimo
Kwa sera yenu ya sasa ya mauaji ya watanzania tena mchana kweupee hakuna atakaewaunga mkono shetani nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom