Lissu: Mtu/Watu wenye nguvu walipanga kuniua kwa namna ambayo ingekuwa fundisho kwa wengine

Ifike Muda Lissu ukubali kwamba unajichanganya katika maelezo, pili ujue kuna mamlaka za dunia ambazo Mungu alisema tuziheshimu pia, hivo kelele hazisaidii kitu unatapatapa tu kama mtu aliyekosa la kushikilia, hapa tulia najua BAVICHA hawautaki ukweli huu,

Hakuna cha ICC

Hakuna cha BBC kukusaidia

Hakuna cha Mshahara wako

Hakuna cha huruma ya watanzania wanaojielewa, maana walipoanza kukuhurumia ukahisi una right ya kuhurumiwa na ukaitumia vibaya
ni pumba umeandika!
 
Nadhani sote sasa tunafahamu kuwa Lisu alipigwa Risasi 16 na sasa anautaka Urais.
Hilo la urais litatokana na chama chake kikimchagua kugombea. Muhimu hapa yeye aeleze kila kitu kuhusu maswahiba yalompata kwani kwa kufanya hivyo tunazidi kugundua mkuu wa WASIOJULIKANA ni nani kutokana na mashambulizi yao kwa TL anapoendelea kuifungua dunia macho ili ifahamu nchi yetu ilivyobadilishwa taswira yake na watawala waliopo.
Hakuna hata mmoja anayekuja na hoja yenye hata lepe la ukweli au akili utadhani wote wamepachikwa vichwa vya bandia kuhusu sakata hili.
Bora tu hawa viongozi pamoja na wapiga zeze wao wangekaa kimya kuliko kuzidi kujionyesha uhusika wao ama kujua wahusika katika tukio lile pamoja na mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la lisu ni upuuzi uliovuka viwango.

Serikal hii umeitukana, umeiona haina akiri kuliko hizo za kwako yaani umejiona una akiri Sana kuliko serikal, umemuita rais wa nchi JOHN PUMBA MAHARAGE, umezunguka nchi nzima na vyombo vyote vya habari umeenda kuongea mabaya ya serikal, muda wote umeomba utawaliwe na shetani au jiwe kuliko kutawaliwa na serikal hii, wewe na wenzako mmetuona sisi watanzania tulioichagua hii serikal hatuna akiri kabisa. Halafu baada ya kupatiwa matatizo unakuja kulia lia hapa eti imekutelekeza hata Kama ni wajibu wa serikal kukulipia matibabu lakini kwa ulivyokuwa unaiombea mabaya na kuiona haina akiri na ni ya kishetani hata sisi wananchi tusingekubali Kodi zetu zikatumike kutibu watu wenye akiri na roho mbovu Kama ya kwako, mjifunze kwanza kuheshimu mamlaka za nchi, wananchi na muwe na utii.

Pambana na hali yako, hii serikal ulishaiona haina uwezo wa kuongoza,ulishaiona haina akiri na uwezo Kama huo wa kwako.

HAPA KAZI TU, ukipenda rudi nyumbani kumenoga, ukiogopa baki huko huko sisi tunasonga mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
umeandika mavi matupu,kenge kabisa wewe!
 
Ifike Muda Lissu ukubali kwamba unajichanganya katika maelezo, pili ujue kuna mamlaka za dunia ambazo Mungu alisema tuziheshimu pia, hivo kelele hazisaidii kitu unatapatapa tu kama mtu aliyekosa la kushikilia, hapa tulia najua BAVICHA hawautaki ukweli huu,

Hakuna cha ICC

Hakuna cha BBC kukusaidia

Hakuna cha Mshahara wako

Hakuna cha huruma ya watanzania wanaojielewa, maana walipoanza kukuhurumia ukahisi una right ya kuhurumiwa na ukaitumia vibaya
Goood!! That is frankly saying! Lissu anatoa mifano ya utu ulipotumika lakini hana kumbukumbu kwamba waliopewa ki-utu wao pia walionyesha utu. Yeye anataka utu utumike wakati anasema ni haki yake! Mwanzoni walipoonyesha utu, yeye akaonyesha nyodo. Sitaki msaada wa serikali, ndugu wakasema hawahitaji msaada, CHADEMA wakasema hawataki msaada. Msaada ukakosekana. Wakajidai michango kwa ufedhuli, haikufaa lolote!

Akiwa kitandani Nairobi ikasemwa atapelekwa nchi fulani ulaya bila kuitaja eti ikiwa ni ujanja wa usalama wa CHADEMA. Siku ya kuondoka Lissu akaaga kwa press conference ya matusi. Akafika Ubelgiji ndo tukaambiwa eti muheshimiwa yuko ubelgiji. Yamemshinda sasa kashika filimbi na mifano kibao isiyoendana na tabia yake!! Fala tu!
 
Kati ya hao Watanzania waliomhurumia wewe ulikuwa miongoni mwao? Na kama ulikuwa je mmepeana taarifa kuwa hamtamuonea huruma tena? Kuna vitu acheni vitokee kwasababu mmetaka vitokee, yaani mtu aliyepigwa risasi zaid ya 10 akae akuchekeeni nyinyi maharamia?
Ifike Muda Lissu ukubali kwamba unajichanganya katika maelezo, pili ujue kuna mamlaka za dunia ambazo Mungu alisema tuziheshimu pia, hivo kelele hazisaidii kitu unatapatapa tu kama mtu aliyekosa la kushikilia, hapa tulia najua BAVICHA hawautaki ukweli huu,

Hakuna cha ICC

Hakuna cha BBC kukusaidia

Hakuna cha Mshahara wako

Hakuna cha huruma ya watanzania wanaojielewa, maana walipoanza kukuhurumia ukahisi una right ya kuhurumiwa na ukaitumia vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TL kila siku anakuja na toleo jipya. Amesahau mkt wake na wanacdm wengine walivyokuwa wanautumia mkasa wake kama mtaji wa kisiasa. Walijipanga Nairobi wakinywa uji wa mgonjwa na kupewa air time na TV za Kenya hawakutaka kutoa ushirikiano na wakijipiga vifua kuwa watamgharimikia kwa kumgharimia mgonjwa wao wa mtaji wa kisiasa.

Daktari wa TL ashauriwe aangalie afya yake ya akili.
 
Kuvaa viatu vya Lissu? Viatu vyangu vimeenda wapi? Huyu azunguke kooote anako kujua yeye ila hakuna kitu anaongeza au kupunguza
Wewe ni mpumba.....hebu jaribu kuvaa Viatu vya lisu namna alivyo miminiwa marisasi then mnaongea ujinga hapa...muacheni aongee chochote anachoona kinafaa maana wakati kavundikwa ICU na madonda ya risasi nyie mlikuwa mnaendeleza porojo zenu humu zakuvimbiwa.....mijitu myeusi sijui inalaana gani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ifike Muda Lissu ukubali kwamba unajichanganya katika maelezo, pili ujue kuna mamlaka za dunia ambazo Mungu alisema tuziheshimu pia, hivo kelele hazisaidii kitu unatapatapa tu kama mtu aliyekosa la kushikilia, hapa tulia najua BAVICHA hawautaki ukweli huu,

Hakuna cha ICC

Hakuna cha BBC kukusaidia

Hakuna cha Mshahara wako

Hakuna cha huruma ya watanzania wanaojielewa, maana walipoanza kukuhurumia ukahisi una right ya kuhurumiwa na ukaitumia vibaya
Ungekaa kimya tungeelewa hawasumbui. Lakini kwa majibu haya engine imemeza moto tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manina zake huyu ms..enge yani anatukana nchi? Huyu ni adui namba moja wa Tanzania, shenzy kabisa na hasaidiwi sasa na huo ubunge ndio hivyo tena. Abaki huko huko auze jicho kama alivyo kua analilia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukataa kuidhinisha fedha za matibabu;

Kukata mshahara;

Nk..Nk...

ni mwanzo tu wa safari kubwa ya mafanikio ya Mh. Tundu lissu kwan mlango mmoja ukifungwa mingine hufunguliwa.

Let's wait and see.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mpumba.....hebu jaribu kuvaa Viatu vya lisu namna alivyo miminiwa marisasi then mnaongea ujinga hapa...muacheni aongee chochote anachoona kinafaa maana wakati kavundikwa ICU na madonda ya risasi nyie mlikuwa mnaendeleza porojo zenu humu zakuvimbiwa.....mijitu myeusi sijui inalaana gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena haohao ndo walikuwa wanakejeri oooh! kwisha habari yake!
 
Back
Top Bottom