Elections 2010 LISSU, MNYIKA, MDEE, MBOWE. ni sawa na wabunge 200 wa ccm

Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,865
2,439
Kwa umakini walio nao wabunge wapya wa chadema nina imani watalitawala bunge kwa 90%, maana wabunge walioingia tripu hii wamenikonga moyo, MDEE MNYIKA MBOWE,KABWE, LISU,ktk safu ya ushambuliaji huwa hawafanyi makosa kabisa halafu kati kuna akina WENJE LEMA NDESAPESA,KAFULILA,MH, safari hii najua bungeni lazima tutashuhudia ngumi live, na haswa ukizingatia wabunge wote wa ccm wengi wanakabiliwa na magonjwa ya kisasa kama presha kisukari umeme na kiharusi, tusubiri vioja trip hii
 
Hata elimu zao wengi ni za kuchakachua( source msekamakweli) hawataweza ku-compete na vijana wale
 
Uwezo mdogo wa kutambua..... 200 kwa kitu gani!!!! mbuge wa singida anawatumikia watu wa singida kwa maendeleo ya singida na sio kuleta porojo ka za waliokuwa vunjo, hadi tumeamua kumrudisha mzee wa mila.....
FIKIRIA WAKATI UNALINGANISHA .......
 
Mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 15 wa CCM; hivyo wabunge 22 wachadema ni sawa na wabunge 330, wabunge wa CHADEMA ukichanganya na vichwa vya NCCR patakuwa hapatoshi mjengoni.
 
Mzee mrema tuna wasiwasi naye anaweza kutuyeyusha akiingia mjengoni.si unajua yule amechanjia kwenye chama chetu kile...! Inategemeana na uchungu alionao kwa taifa la sasa la Tz.
 
Kama ccm haioni hatari iliyopo mbele yao basi watajikuta wanadandia hoja zetu kama bunge lililopita.Mrema ni boya tu hana kitu.Nadhani ni bahati mbaya sana kuingia kwake.halafu nina wasiwasi kama baadhi ya wabunge wa ccm kama watamaliza kipindi chote.CHADEMa tutakaza uzi wala hatuwezi kubweteka nadhani mapambano yataendelea kwa nguvu zote
 
Uwezo mdogo wa kutambua..... 200 kwa kitu gani!!!! mbuge wa singida anawatumikia watu wa singida kwa maendeleo ya singida na sio kuleta porojo ka za waliokuwa vunjo, hadi tumeamua kumrudisha mzee wa mila.....
FIKIRIA WAKATI UNALINGANISHA .......
Haswaa fikiria nawewe wakati unajibu hoja. Kama mbunge mmoja wa chadema aliweza kuibua hoja nzito ambapo wabunge 200 wa ccm hawakuiona, vipi wakiwa 22?
Utajifanya umesahau!!! Serikali ya JK ilichakachua vipengele katika sheria mpya ya uchaguzi iliyosainiwa kwa mbwembwe na JK, DR. Slaa akawaumbua, wakairudisha kimya kimya bungeni kuifanyia marekebisho.
Mbaya zaidi JK ndio amekuwa mstari wa mbele kuivunja. "sheria inakataza kutoa ahadi ya vitu vilivyo kwenye bajeti ama utekelezwaji. JK aliahidi ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe, Mbeya. Uwanja huo unajengwa na ulianza toka enzi ya Mkapa.
 
Kwa umakini walio nao wabunge wapya wa chadema nina imani watalitawala bunge kwa 90%, maana wabunge walioingia tripu hii wamenikonga moyo, MDEE MNYIKA MBOWE,KABWE, LISU,ktk safu ya ushambuliaji huwa hawafanyi makosa kabisa halafu kati kuna akina WENJE LEMA NDESAPESA,KAFULILA,MH, safari hii najua bungeni lazima tutashuhudia ngumi live, na haswa ukizingatia wabunge wote wa ccm wengi wanakabiliwa na magonjwa ya kisasa kama presha kisukari umeme na kiharusi, tusubiri vioja trip hii

Kushuhudia ngumi Bungeni ni kipimo cha..........
 
Wana JF tuwe macho!, Tayar chadema imo mjengoni, itafika wakat JK na NEC wajutie maamuz yao ya kuchakachua matokeo ya wananchi. Ki ukwel hatoliweza wala hatoweza kuukabil moto unaokwenda kuwaka mjengoni, atatamani km uchaguzi ungerudia na kumruhusu SLAA apite bila kupigwa. Ole wake na baraza lake mana kufa kwao kwaja, LAZIMA KIKOMBE HICHO WAKINYWEE MANA WALIYATAKA MWENYEWE! Ni ACID imemwagwa mjengon ili kuteketeza kizazi cha mafisadi!
 
Mbowe naye ndani ya nyumba,
chama cha kupindua kina tabu mwaka huu

bunge la kwanza sitaki kukosa maana ccm wanachagua kimeo cha kuongoza bunge lililosheheni vichwa
 
Wana JF tuwe macho!, Tayar chadema imo mjengoni, itafika wakat JK na NEC wajutie maamuz yao ya kuchakachua matokeo ya wananchi. Ki ukwel hatoliweza wala hatoweza kuukabil moto unaokwenda kuwaka mjengoni, atatamani km uchaguzi ungerudia na kumruhusu SLAA apite bila kupigwa. Ole wake na baraza lake mana kufa kwao kwaja, LAZIMA KIKOMBE HICHO WAKINYWEE MANA WALIYATAKA MWENYEWE! Ni ACID imemwagwa mjengon ili kuteketeza kizazi cha mafisadi!

kaka/dada, hakuna kitu kitakachofanyikan kwa hao wapinzani unaowafikilia, after all, mambo ya ufisadi yote yameshazungumzwa atayeyaibua ataonekana mzushi tu,hata hivyo kama wameshika dora kila kitu wanakiweza, nani atakayeruhusu mijadala kama si spika na spika ni wa SISIEM, kazi imeshaisha, mijadala mizito inaminywa tu.
Unajua katika maisha kama unashawishi watu halafu hawakuungi mkono hata kama yale unayoyasema ni ya kweli unachotakiwa kufanya ni kujiunga nao, kwa hiyo bandugu tujiunge na SISIEM mpaka hapo 2015, na maisha tuyapeleke kama serikali iliyo madarakani ilivyoyaset, Na TUMWAMINI MSHINDI ataweza na atarekebisha mapungufu, wale wanaotuhumiwa tusiwawaze tuanze upya wasije wakatokea wengine wa kutuhumiwa, TANZANIA tutasonga. Naamini maneno ya Mkandala kwamba serikali ya awamu hii itakuwa sikivu, Tuamini Bandugu.

Mi nategemea utofauti, kama huamini subili.
 
mrema sijui atakuwa kundi gani ila baada ya kushinda alipohojiwa alisema kuwa mafisadi wajiandae amnake patachimbika
Wapi? wakati Dar Leo juzi waliandika kwamba jama anataka JK ampe uwaziri. So i don't know...
 
kaka/dada, hakuna kitu kitakachofanyikan kwa hao wapinzani unaowafikilia, after all, mambo ya ufisadi yote yameshazungumzwa atayeyaibua ataonekana mzushi tu,hata hivyo kama wameshika dora kila kitu wanakiweza, nani atakayeruhusu mijadala kama si spika na spika ni wa SISIEM, kazi imeshaisha, mijadala mizito inaminywa tu.
Unajua katika maisha kama unashawishi watu halafu hawakuungi mkono hata kama yale unayoyasema ni ya kweli unachotakiwa kufanya ni kujiunga nao, kwa hiyo bandugu tujiunge na SISIEM mpaka hapo 2015, na maisha tuyapeleke kama serikali iliyo madarakani ilivyoyaset, Na TUMWAMINI MSHINDI ataweza na atarekebisha mapungufu, wale wanaotuhumiwa tusiwawaze tuanze upya wasije wakatokea wengine wa kutuhumiwa, TANZANIA tutasonga. Naamini maneno ya Mkandala kwamba serikali ya awamu hii itakuwa sikivu, Tuamini Bandugu.

Mi nategemea utofauti, kama huamini subili.
Nadhani wewe umekwisha jiunga nao na utafaidika sana kwa kuisaliti nchi yako kwa ajili ya njaa ya siku moja. Lakini laana na dhahama yake ni kubwa na hautaweza kujitetea mbele ya Muumba atakapokuuliza ulipoona CCM wanaitumbukiza nchi niliyokupa motoni ulichukua hatua gani? Jibu lako niliona kuwa wewe unavuna usipopanda, unakusanya usipotawanya na hivyo nikaona nijiunge na wadhalimu ili nami niwe mdhalimu kama wao. Sitaki kusema hukumu yake ni nini kwani unaijua. Nenda tu ndugu yangu kajiunge na wadhalimu.
 
Back
Top Bottom