Kitu kimoja cha muhimu nataka mfahamu, Rais wa zamani wa Tanganyika Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa uongozi wake alisema anapinga Ujinga, Maradhi, na umaskini, na kipindi cha kugombea uhuru wa Tanganyika.
Tukumbuke ili Dikteta yoyote Yule duniani aweze kutawala nchi yoyote jambo la kwanza kuwafanya watu wawe maskini, pili kuhakikisha hakuna mtu wa kuwaelemisha wabaki wawe wajinga tu. Mfano wasijue sheria na haki zao.
Wasipojua haki zao watabakia kuwa waoga tu.
Na Mfalme mmoja amethibisha kuwa yeye hakuchaguliwa bali amefika hapo alipo kwenye ufalme huo kwa goli la mkono.
Hawezi kuzikiliza ushauri wa mtu, kila kitu atakachosema basi ndio kifuatwe.
Naomba niwahakikishie Historia inaongea wengi wataamka kutoka kwenye ujinga, ila tuna kazi kubwa sana kuondoka kwenye umaskini huu.