Lissu: Magufuli anatulisha matango pori, toka mwaka 1999 alikuwa anaunga mkono uuzwaji wa migodi, hicho kishika uchumba Accacia wako mahakamani

Miaka ijayo tutamsoma Magufuli kama Chief Mangungo wa zama hizi. Maana anafanyiwa ulaghai lakini ni kama kapofushwa asiweze kuona. Hana tofauti na Mangungo. Tofauti ni kwamba yeye ni Dr. wa falsafa wakati Mangungo hakujua kusoma wala kuandika.
Mwenye macho haambiwi tazama
 
Back
Top Bottom