Lissu: Magufuli ameahidi kuwa sheria za madini zitarekebishwa kufuatana na mapendekezo ya kamati

BAKOI

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
1,211
2,328
Ameandika tena Lissu

"....Wajameni habari za usiku.

Wakati Jemedari Magufuli ameahidi juzi kuwa sheria za madini zitarekebishwa kufuatana na mapendekezo ya Kamati ya Prof. Osoro, leo serikali imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Fedha, 2017.

Muswada huo unapendekeza marekebisho ya sheria mbali mbali za kodi pamoja na Sheria ya Madini, 2010.

Kuhusiana na Sheria ya Madini, serikali hii inayotaka kulinda rasilmali zetu zisiibiwe tena na wezi wa kimataifa, inapendekeza kuweka kodi mpya kwa makampuni ya madini.

Kodi hiyo inaitwa 'ada ya ukaguzi' (inspection fee) ambayo itakuwa sawa na 1% ya thamani mauzo (gross value) ya madini husika nje ya nchi.

Kwa hiyo, baada ya kelele zote za wazalendo mamboleo hawa, hayo ndiyo marekebisho pekee wanayopendekeza kwenye Sheria ya Madini ambayo imepigiwa kelele ya kufa mtu kwa kutusababishia hasara ya matrilioni ya faranga.

Need I say more???...."

Tundu Lissu
 
MKUU NAOMBA UANISHIE VIPENGELEE NA VIFUNGU AMBAVYO VINAPASHWA KUFANYIWA MAREKEBISHO MKUUU KWENYE SHERIA ZOTE HIZOOO
 
Tanzania kuendelea labda tunyonge viongozi wote, then tukodishe ndondo toka ulaya na amerika, waje watusaidia kuongoza inch.

....labda nikukumbushe, tulishawahi kufanya hivyo pale TANESCO, rejea NET GROUP SOLUTION ya Sauzi!!!!!
 
Huyu lahisi sizonje sio anatuona mabwegeee ....haaaahaaahaaaaHAhaaahaa
 
Anaandika Mwanasheria msomi . Tundu Lissu

23:08 14th June 2017.

Wakati Jemedari Magufuli ameahidi juzi kuwa sheria za madini zitarekebishwa kufuatana na mapendekezo ya Kamati ya Prof. Osoro, leo serikali imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Fedha, 2017.

Muswada huo unapendekeza marekebisho ya sheria mbali mbali za kodi pamoja na Sheria ya Madini, 2010.

Kuhusiana na Sheria ya Madini, serikali hii inayotaka kulinda rasilmali zetu zisiibiwe tena na wezi wa kimataifa, inapendekeza kuweka kodi mpya kwa makampuni ya madini.

Kodi hiyo inaitwa 'ada ya ukaguzi' (inspection fee) ambayo itakuwa sawa na 1% ya thamani mauzo (gross value) ya madini husika nje ya nchi.

Kwa hiyo, baada ya kelele zote za wazalendo mamboleo hawa, hayo ndiyo marekebisho pekee wanayopendekeza kwenye Sheria ya Madini ambayo imepigiwa kelele ya kufa mtu kwa kutusababishia hasara ya matrilioni ya faranga.

Need I say more???
 
TwafaaaaaaaaaaAaaaaaaaa kama rambi rAmbi kala ? Hahahahaaaaaaaa fisi ni fisi tu
 
Back
Top Bottom