Hakuna jitu jinga humu JF kama wewe!Huwa huna akili wala haya!
Huu ndo unaitwa ULAGHAI. Yaani mwanasheria anatoka kwenye kesi badala azungumzie kesi hiyo ni ya nini yeye anasema kesi hiyo SI ya nini!!! Halafu kuna mijitu inashabikia. Hata angewaambia hakimu wa leo kavaa suti nyausi mngeridhika.
Hizo kesi nyingine sio mada ya leo, mada ya leo ni makosa manne aliyoshitakiwa Lwakatare likiwemo la kutoa sumu ya kudhuru binadamu.
Ndio mana kigwangalla alimwambia lissu kuwa hawezi kutaja magonjwa yake hadharani. Ivi kustakiwa kwa kitendo cha kupanga mauaji ni kosa dogo?
Wana haraka kama cha kwanzaAbusive language!kweli JF kuna watu na viatu!
mshachelewa sana mjomba. tushaingiliana kama wapalastina na mayahudi.
tulieni tuzae na nyinyi tu, mpaka kieleweke. ccm=chama cha mapumbafu[/QUOTE]
Haya na hayo sio Abuse language au kwa vile hayajatoka CCM ?
tunachozungumzia ni makosa ma 4 likiwemo la kutaka kumwekea Msacky SUMU na kumteka (UGAIDI)
Sasa wakili anatoka mahakamani anawaambia mbona Ulimboka na Kibanda hayo kweli ndio yaliyotuweka pale Kisutu?
Kuwa na subira kaka mambo ndiyo yameanza.
Vipi hii ya kwanza imeanza kuwakatisha tamaa? Naona mnaanza kutamani mletewe nyingine!Wana haraka kama cha kwanza, hii ni video moja tu kati ya tano za mutu ya Bukoba, kabla haijamalizia na kile kitabu cha TUNTEMEKE ndani, wauaji wotenlazima waanikwe hadharani.
Kuwa na subira kaka mambo ndiyo yameanza.
Wana haraka kama cha kwanza, hii ni video moja tu kati ya tano za mutu ya Bukoba, kabla haijamalizia na kile kitabu cha TUNTEMEKE ndani, wauaji wotenlazima waanikwe hadharani.
Ni polisi wa Tanzania tu ndio wanatumia ushahidi wa YouTube! Hebu mshitaki wa Lwakatare ajitokeze tuone!!Lwaka anastakiwa kwa kujihusisha na matendo ya kigaidi ndani yake lipo la kibanda
Huu ndo unaitwa ULAGHAI. Yaani mwanasheria anatoka kwenye kesi badala azungumzie kesi hiyo ni ya nini yeye anasema kesi hiyo SI ya nini!!! Halafu kuna mijitu inashabikia. Hata angewaambia hakimu wa leo kavaa suti nyausi mngeridhika.
Hizo kesi nyingine sio mada ya leo, mada ya leo ni makosa manne aliyoshitakiwa Lwakatare likiwemo la kutoa sumu ya kudhuru binadamu.
Huu ndo unaitwa ULAGHAI. Yaani mwanasheria anatoka kwenye kesi badala azungumzie kesi hiyo ni ya nini yeye anasema kesi hiyo SI ya nini!!! Halafu kuna mijitu inashabikia. Hata angewaambia hakimu wa leo kavaa suti nyausi mngeridhika.
Hizo kesi nyingine sio mada ya leo, mada ya leo ni makosa manne aliyoshitakiwa Lwakatare likiwemo la kutoa sumu ya kudhuru binadamu.
Mkuu funguka basi mimi sikuelewiWanasema ni kama ulimboka.
Mkurugrnzi mzima wa chama kujihusisha na vitendo vya kigaidi bado lissu anashangilia? Kwamba hilo ni jambo la kawaida? Kweli hamnazo
Polisi hawakurupuki wambea mmeumbukaje leo mahakamni yamewashuka pyuuuu mlijiandaa leo hata cha kuandika mmekosa hahahaha