Lissu kuvunja rekodi ya kutembelewa hospitalini , Ismail Jussa naye atinga Nairobi Hospital kumpa pole

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,252
2,000
Mkurugenzi wa Mambo ya nje wa cuf , Mh Ismail Jussa ni miongoni mwa majina makubwa ya nchini Zanzibar kumtembelea Tundu Lissu hospitali jijini Nairobi , wengine ni Maalim Seif na wasaidizi wake , Mgombea mwenza wa UKAWA Mh Juma Duni Haji , Makamu wa Rais wa Tanzania Mh Mh Samia Hassan pamoja na Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi.

Mpaka sasa kwa mujibu wa kumbukumbu zangu sijaona mgonjwa Mtanzania aliyetembelewa na watu wengi akiwa matibabu ughaibuni kama Lissu .

Je atavunja rekodi ?
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
26,844

Sifa za kijinga ni sawa na MTU kusema ukiumwa huwa unatibiwa ulaya na marekani tu hutibiwi nchini kama vile kuumwa ni sifa. !!!!!!!
 
mwl

JF-Expert Member
May 25, 2011
1,102
2,000
Mpaka msukumwe kwa nyuma UVCCM ndio muende speed hiyo? angalieni na utelezi!!
 
Mkirindi

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
6,376
2,000
Magufuli katoa rukhsa atembelewe: baada ya Mama Samia kufungua milango sasa unayo wote wanajitinga: NA Lissu Kesha pewa data za waliomshambulia, ndio maana tunaona lugha imebadilika NA heshima kwa Magufuli zimeonzeka
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,252
2,000
Mimi sina chama chochote wewe
Niko na free mind
Andikeni vitu vya maana
Lissu kutembelewa unaandikia thread?????? Hopelesssss
Bali Magufuli kufungua mkutano wa wamwaga rushwa ndio habari ? Ukishaona kilichoandikwa ni upuuzi achana nacho .
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,612
2,000
Mkurugenzi wa Mambo ya nje wa cuf , Mh Ismail Jussa ni miongoni mwa majina makubwa ya nchini Zanzibar kumtembelea Tundu Lissu hospitali jijini Nairobi , wengine ni Maalim Seif na wasaidizi wake , Mgombea mwenza wa UKAWA Mh Juma Duni Haji , Makamu wa Rais wa Tanzania Mh Mh Samia Hassan pamoja na Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi.

Mpaka sasa kwa mujibu wa kumbukumbu zangu sijaona mgonjwa Mtanzania aliyetembelewa na watu wengi akiwa matibabu ughaibuni kama Lissu .

Je atavunja rekodi ?

Kwani ni Mtanzania gani aliyewahi kumiminiwa risasi zaidi 30 mwilini hadi ulinganishe?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom