Lissu kupona ni mpango wa Mungu;yanayoendelea sasa ni mpango, na kwa mpango wa Mungu atayashinda; ili Mpango wake utimie

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Mungu huwa ana tabia ya kuteua mtu mmoja na kumpa jukumu la kusadia au hata kukomboa wengine na huwa anamuwezesha mteule wake huyo kwa kila kitu kuanzia ulinzi, ujasiri, maono, akili ya ziada,n.k.

Kwa mfano,tunasoma katika maandiko matakatifu jinsi Mungu alivyomtumia Mussa kuwaokoa wana wa Israel kutoka utumwani nchini Misri.

Pia, tunasoma katika Biblia ya kuwa Mungu alimtumia mwanae Yessu Kristo kuwaokoa wanadamu,n.k

Hata maradhi hatari kama kipindupindu, malarai,n.k yanapoibuka Mungu huteua binadamu mmoja na kumuwezesha kugundua dawa ya kutibu ugonjwa huo ili kunusuru wanadamu wengine wengi(hili wengi hamlioni ila ukweli ndio huu).

Hata wanasayansi kama kina Newton na wengineo wengi walipewa akili ya ziada ili wafanye ugunduzi wa kisayansi kwa faida ya wanadamu wa wakati wake na hata sisi wa leo na wa vizazi vijavyo.

Kama hukai chini na kutafakari huwezi kugundua ukweli huu ila habari ndio hiyo vinginevyo maisha katika hii dunia ama yasingekuwepo kabisa (tungekufa wote kwa magonjwa) au yangekuwa magumu sana(bila sayansi na teknolojia).

Hata katika dunia ya leo Mungu bado anaendeleza huu utaratibu wake na ndio maana kina Mandela hawakuwahi kuuwawa na Makaburu mpaka walipotimiza kazi waliotumwa.

Sasa nyie mnaojaribu kupambana na Lissu tambueni huenda mnapambana na mtu aliepewa jukumu hili na alie juu na ambae ana uwezo na nguvu kuliko binadamu yoyote yule.

Inawezekana hata huu ujasiri alionao Lissu si wake Lissu kama Lissu bali una nguvu za ziada ambazo ni Mungu mwenyewe ndie anajua.

Inawezekana hata tukio la yeye kupigwa risasi Mungu alilijua mapema na alijua afanye nini litimie bila Lissu kupoteza maisha na bila shaka alijua impact ya tukio lile katika kufanikisha kazi ambayo Mungu anaitaka (kumbukeni hata Yesu aliteswa msalabani).

Tutambue tu watu wanapomlilia Mungu kutaka msaada wake basi wakati mwingine Mungu hujibu maombi hayo kwa njia au namna ambayo sometimes ni beyond human ability or human understanding, hivyo yote haya yanayoendelea sasa kuhusu Lissu huenda yakapelekea ukombozi kupatikana lakini kwa namna ambayo ni beyond human understanding.

Ni vigumu kuelewa hoja hii,ni vigumu kuona logic katika mada hii na sana sana wengi wataona nimepitiliza ila kibinadamu nilazime iwe hivi.
 
Sasa nyie mnaojaribu kupambana na Lissu tambueni huenda mnapambana na mtu aliepewa jukumu hili na alie juu na ambae ana uwezo na nguvu kuliko binadamu.

Inawezekana hata huu ujasiri alionao Lissu si wake Lissu kama Lissu bali una nguvu za ziada ambazo ni Mungu mwenyewe ndie anajua.

Inawezekana hata tukio la yeye kupigwa risasi Mungu alilijua mapema na alijua afanye nini litimie bila Lissu kupoteza maisha na bila shaka alijua impact ya tukio lile katika kufanikisha kazi ambayo Mungu anaitaka (kumbukeni hata Yesu aliteswa msalabani).

Tutambue tu watu wanapomlilia Mungu kutaka msaada wake basi wakati mwingine Mungu hujibu maombi hayo kwa njia au namna ambayo sometimes ni beyond human ability or human understanding, hivyo yote haya yanayoendelea sasa kuhusu Lissu huenda yakapelekea ukombozi kupatikana lakini kwa namna ambayo ni beyond human understanding.
Naunga mkono hoja, Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? ...Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!

P.
 
Nilipofika kwenye kipengele "Mungu alimtuma mwananae" sikuendelea tena,,haiyamkiniki mwenye mtazamo kama huo akawa na jambo lenye rutuba.
 
Mungu huwa ana tabia ya kuteua mtu mmoja na kumpa jukumu la kusadia au hata kukomboa wengine na huwa anamuwezesha mteule wake huyo kwa kila kitu kuanzia ulinzi, ujasiri, maono, akili ya ziada,n.k.

Kwa mfano,tunasoma katika maandiko matakatifu jinsi Mungu alivyomtumia Mussa kuwaokoa wana wa Israel kutoka utumwani nchini Misri.

Pia, tunasoma katika Biblia ya kuwa Mungu alimtumia mwanae Yessu Kristo kuwaokoa wanadamu,n.k

Hata maradhi hatari kama kipindupindu, malarai,n.k yanapoibuka Mungu huteua binadamu mmoja na kumuwezesha kugundua dawa ya kutibu ugonjwa huo ili kunusuru wanadamu wengine wengi(hili wengi hamlioni ila ukweli ndio huu).

Hata wanasayansi kama kina Newton na wengineo wengi walipewa akili ya ziada ili wafanye ugunduzi wa kisayansi kwa faida ya wanadamu wa wakati wake na hata sisi wa leo na wa vizazi vijavyo.

Kama hukai chini na kutafakari huwezi kugundua ukweli huu ila habari ndio hiyo vinginevyo maisha katika hii dunia ama yasingekuwepo kabisa (tungekufa wote kwa magonjwa) au yangekuwa magumu sana(bila sayansi na teknolojia).

Hata katika dunia ya leo Mungu bado anaendeleza huu utaratibu wake na ndio maana kina Mandela hawakuwahi kuuwawa na Makaburu mpaka walipotimiza kazi waliotumwa.

Sasa nyie mnaojaribu kupambana na Lissu tambueni huenda mnapambana na mtu aliepewa jukumu hili na alie juu na ambae ana uwezo na nguvu kuliko binadamu yoyote yule.

Inawezekana hata huu ujasiri alionao Lissu si wake Lissu kama Lissu bali una nguvu za ziada ambazo ni Mungu mwenyewe ndie anajua.

Inawezekana hata tukio la yeye kupigwa risasi Mungu alilijua mapema na alijua afanye nini litimie bila Lissu kupoteza maisha na bila shaka alijua impact ya tukio lile katika kufanikisha kazi ambayo Mungu anaitaka (kumbukeni hata Yesu aliteswa msalabani).

Tutambue tu watu wanapomlilia Mungu kutaka msaada wake basi wakati mwingine Mungu hujibu maombi hayo kwa njia au namna ambayo sometimes ni beyond human ability or human understanding, hivyo yote haya yanayoendelea sasa kuhusu Lissu huenda yakapelekea ukombozi kupatikana lakini kwa namna ambayo ni beyond human understanding.

Ni vigumu kuelewa hoja hii,ni vigumu kuona logic katika mada hii na sana sana wengi wataona nimepitiliza ila kibinadamu nilazime iwe hivi.
Sio Lissu huyu, ni Mungu anajiinua ili taifa lake limgeukie
Tundu Lissu auchuchumilia utakatifu, amebakiza jambo moja au mawili - JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom