Uchaguzi 2020 Lissu, kuna kila dalili wenye CHADEMA yao hawakutaki ugombee urais, kama vipi twen'zetu ACT Wazalendo

Huyu jamaa nulkua namkubali humu Jf kwa nyuzi zake nikiwa najiaminisha kua ni mwanamabadiliko na mwanamapinduzi kindakindaki kumbe ni mnafiki mchumia tumbo asir na kitu kichwani.

Nakuongeza kwenye IGNORE LIST. 🚮🚮🚮🚮
 
Mkuu, hivi ndo inavyotakiwa iwe, uwe mwanachama Sawa lakini likitokea la kukosoa unakosoa tu ikizingatiwa hivi Vyama sio Baba mzazi au mama mzazi, ni Binadamu na lolote linaweza kutokea
 
Kila dalili ndani ya Chadema zinajionyesha, brother Lissu wenye Chadema yao hawakutaki ugombee urais kupitia chama hicho. Wangekutaka wangekupa hata signal ya kuwa wako nyuma yako katika kinyang'anyiro hiki.

Kuna sauti mitandaoni Godbless Lema anasema "umeanza kujiweka katika tune ya ugombea urais", yaani umeshaanza kujiaminisha kuwa wewe ni mgombea, hii ni dalili ya kwanza kwamba brother bado hauna baraka za wenye chama chao kugombea.

Pili, kitendo cha Mwenyekiti kuchukua fomu wakati tunajua by all means hana nia ya urais, sisi tunajua na yeye anajua, inalenga kufanya mahesabu yako ndani ya Chadema kupata hiyo nafasi kuwa ngumu, maana kiukweli mwenyekiti anaungwa mkono kuliko wewe ndani ya Chama, na there is no way unaweza kumshinda mbele ya wajumbe kwenye mkutano mkuu.

Kitendo cha Msigwa naye kuchukua fomu wakati naye tunafahamu fika hawezi kumchallenge Magufuli head on ni dhahiri umewekwa mtu kati, chance zako za kuwa mgombea zimeminywa kutokana na move hizi tunazoziona.

Nguvu zilezie zilizoamua Dr Slaa asiwe mgombea mwaka 2015 unfortunately ndiyo hizo hizo it seems zinataka usigombee this time.

Wewe Lissu, watu wana biashara zao, wana mipango yao ya hela pembeni, wengine siasa ni mtaji, unadhani wakipewa dili wakuzuie usigombee wanaumia chochote?

Aisee utakatwa kupitia mchakato feki ndani ya chama utakaopewa jina la demokrasia na wewe utashangaa!

Sisi wananchi tunajua wewe na Membe ndiyo mlioutaka Urais mapema kabisa na tunawajua na tunaamini. mmoja kati yenu ndo angeweza kumchallenge jiwe, Yaani Membe ndani ya CCM na wewe nje ya CCM.

Karata ya Membe huko CCM imeshatolewa mchezoni kimafia, umebaki wewe nje ya CCM. na lazima uchezewe mchezo uleule lakini hukohuko ndani ya upinzani! Kuna kitu kigumu mbele ya Fedha?

Sasa jiandae, kama unautaka Urais uwe tayari kushusha Tanga na kupandisha Tanga kwa kwenda ACT.

Kuna kila dalili ya wenye Chadema yao kwenye chama chako hawajawa na msimamo kuwa wewe uwe mgombea!

Endelea kujipanga na ujiandae kisaikolojia. Wewe unaweza kuwa real, lakini kuna baadhi ya watu uchaguzi kwao ni dili.
Hivi nimeelewa kweli kuwa Lissu anaweza kuchallange JPM? Haahahahh
Porojo (Lissu) vs Uhalisia (JPM)
 
Unafikiri ata akija ACT watampa ridhaa, mtu wa Kariba ya TL haendani na siasa ya upinzani walionayo ACT.
Aina ya politics alionayo BM inacop kabisa na chama la wana.
kama atajiunga ACT ni kuja kumuongezea nguvu mgombea mtule na usajili wake utakua na tija pasi na shaka.
 
Sio siri namchukia mbowe mpk basi yaani siku mbowe akitoka uenyekiti au akifa ntakuja chadema kwa amani ila saizi siwezi maana mbowe nafanya chama kisiendelee
 
Sio siri namchukia mbowe mpk basi yaani siku mbowe akitoka uenyekiti au akifa ntakuja chadema kwa amani ila saizi siwezi maana mbowe nafanya chama kisiendelee

Fikiri juu ya maombi yako, shimo unalowachimbia wengine waweza kudumbukia mwenyewe... si ajabu hata humjui hakujui!
 
Mbona kimya kinazidi? Isije kuwa ndio kweli!!

Halafu hivi Chadema huwa kunakatibu mwenezi kweli? Bora yeye angechangamsha genge, kuliko huyu katibu mkuu

Katibu mkuu anatakiwa awe kichwa ngumu kama kina Tundu Lisu, kina Heche na kina Wenje,

Na pia hili swala la Lisu kuchukua Fomu ya Uraisi, kungelikuwa na Ka agenda Ka chinichini ambako kangekuwa kanamporomo Lisu huko vijiweni,

Sasa huu ukimya, mitandaoni kimya! Sijui kweli Kuna agenda ya Siri ya kutokumhitaji huyu Lisu ndani ya Chadema!
 
😂
Kuna Membe atakuwa ACT na Mbowe au Lisu watakuwa Chadema!

Je kuhusu kuungana itakuwaje masikin!!!! Sijui Nani itabidi ampishe mwenzake,

Maana Membe hata akuwa Chadema ukweli ni kwamba hawezi kuwa mtu wa kumchalenji Magu hata kidogo, angalau Lisu, lkn sasa Membe anataka Uraisi Kwa nguvu mwaka huu, atakubali kumpisha Mwenzake wa Chadema ili kuleta huo muungano wa hivi vyama?

Uchu wa madaraka buana!!!
 
Kila dalili ndani ya Chadema zinajionyesha, brother Lissu wenye Chadema yao hawakutaki ugombee urais kupitia chama hicho. Wangekutaka wangekupa hata signal ya kuwa wako nyuma yako katika kinyang'anyiro hiki.

Kuna sauti mitandaoni Godbless Lema anasema "umeanza kujiweka katika tune ya ugombea urais", yaani umeshaanza kujiaminisha kuwa wewe ni mgombea, hii ni dalili ya kwanza kwamba brother bado hauna baraka za wenye chama chao kugombea.

Pili, kitendo cha Mwenyekiti kuchukua fomu wakati tunajua by all means hana nia ya Urais, sisi tunajua na yeye anajua, inalenga kufanya mahesabu yako ndani ya Chadema kupata hiyo nafasi kuwa ngumu, maana kiukweli mwenyekiti anaungwa mkono kuliko wewe ndani ya Chama, na there is no way unaweza kumshinda mbele ya wajumbe kwenye mkutano Mkuu.

Kitendo cha Msigwa naye kuchukua fomu wakati naye tunafahamu fika hawezi kumchallenge Magufuli head on ni dhahiri umewekwa mtu kati, chance zako za kuwa mgombea zimeminywa kutokana na move hizi tunazoziona.

Nguvu zilezie zilizoamua Dr Slaa asiwe mgombea mwaka 2015 unfortunately ndiyo hizo hizo it seems zinataka usigombee this time.

Wewe Lissu, watu wana biashara zao, wana mipango yao ya hela pembeni, wengine siasa ni mtaji, unadhani wakipewa dili wakuzuie usigombee wanaumia chochote?

Aisee utakatwa kupitia mchakato feki ndani ya chama utakaopewa jina la demokrasia na wewe utashangaa!

Sisi wananchi tunajua wewe na Membe ndiyo mlioutaka Urais mapema kabisa na tunawajua na tunaamini. mmoja kati yenu ndo angeweza kumchallenge jiwe, Yaani Membe ndani ya CCM na wewe nje ya CCM.

Karata ya Membe huko CCM imeshatolewa mchezoni kimafia, umebaki wewe nje ya CCM. na lazima uchezewe mchezo uleule lakini hukohuko ndani ya upinzani! Kuna kitu kigumu mbele ya Fedha?

Sasa jiandae, kama unautaka Urais uwe tayari kushusha Tanga na kupandisha Tanga kwa kwenda ACT.

Kuna kila dalili ya wenye Chadema yao kwenye chama chako hawajawa na msimamo kuwa wewe uwe mgombea!

Endelea kujipanga na ujiandae kisaikolojia. Wewe unaweza kuwa real, lakini kuna baadhi ya watu uchaguzi kwao ni dili.

Hatua ya sasa ni ya wanachama wanajiona wanaweza kutia nia ya kugombea.Lissu katumia haki yake kufanya hivyo kama wanachama wengine walivyofanya.Hadithi ya kujiaminisha imetoka wapi?Kila mgombea ana matumaini kuwa atachaguliwa kulingana na sifa anazoona anazo.Ulitegemea mgombea asiyejiamini ndo aende?Kama hujiamini kwa nini ugombee sasa?Tafsiri unayopata nadhani ni hisia zako zaidi kwa sababu unaamini pengine anafaa.Sidhani kama unadhani hafai ungeweza kuanzisha uzi kujadili imani yake kwenye mchakato ndani ya chama.
 
Kesi siyo kigezo cha kumzuia mgombea wa Chadema kugombea iwapo chama kitarally behind him.

Kitendo cha kuwapa CCM option kuwa Chadema ina wasiwasi na ugombea wa Lissu kitawafanya CCM wamshughulikie Lissu kweli kupitia mahakama. Lakini kama Chsdema itasema kuwa huyu ndo mgombea pekee tuliye naye hatuna mwingine, basi serikali ya CCM haitomshughulikia kwa sababu kufanya hivyo kutaondoa credibility ya zoezi zima la uchaguzi kitu ambacho Magufuli anakiogopa sana,

ili aweze kupata mikopo ma misaada nje ya nchi na kujaribu kujenga taswira kuwa alishinda kihalali na hivyo hatamshughulikia Lissu kumdiscredit kugombea.. Lakini hili linawezekana tu kama chama kitatuma meseji kuanzia sasa kuwa huyu ndo likely candidate wao!

Ila Chadema wakionyesha wasiwasi kwenye candidacy ya Lissu basi serikali ya CCM itacapitalize ktk hilo kumshughulikia kweli

Mkuu are you serious. Soma tena. Ongeza kunywa maji then Rudia
 
Mimi nalitizama kwa jicho tofauti. Naona tu CDM wameamua kuwa prudent. CDM ikimsimamisha Lissu, kuna watu wanaumia sana...wanaogopa! Kwa hivyo upo uwezekano mkubwa wa kujaribu kumzuia Lissu asigombee.....wanaweza hata kumkamata na kumfungukia mashataka ya kutakatisha fedha au uhujumu uchumi (hata kama hakuna ushahidi kabisa) na kumnyima dhamana ili kumkwamisha. Kwa hivyo ni muhimu CDM ikawa na Plan B.

Nadharia nyingine ni kujaribu tu kujenga legitimacy kwa Lissu..... ..tuseme chama kinajua kitampitisha lakini kinataka kuonesha uwepo wa demokrasia lakini pia kumpa Lissu kujiamini zaidi.

Kuna vyama vingine ukionesha hata dalili tu ya kuwa unaweza kutia nia ya kugombea urais, wanakuvua uanachama!

Huwa sielewi. Wanaweza kumkmata. How. Lissu Ana kesi ya miaka kadhaa. Sasa kwanini unazungumzia issue as if ataonewA.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Wale watu waliotaka kumuua lissu sasa itakuwaje?hawatataka kumalizia " kazi "?,je amemalizana nao? Maana wana sababu zilizofanya wampige risasi.mnawaza asimame na magufuli kwenye uchaguzi badala ya kuwaza usalama wake,mmeshasahau kwamba lissu ana kimeo... shauri yenu...

So wangetaka kumuua wangeshindwa kumfuata alipo. Are you serious.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom