Lissu: Kumkamata Harbinder Sethi na James Rugemalira ni sawa lakini haitoshi

Kuweni na subira wafata mikumbo/wadaku, haya ya kudandia hata kesi haijaanza kusikilizwa kuachia watajane ilikuwaje tuyajue kiundani yanaboa.

Aliyoandika leo hata zamani wengi waliyasema na kuyaandika hakuna jipya ni kama copy and paste amefanya leo hii iwe yake.

Tuwe na subiraaaa, hata hili la leo limemuacha mataa ya ubungo. No tetesi hakujua litakuja ha ha ha haaaa

Hapa kazi tu

Magufuli oyeeeeeeee
 

Attachments

  • IMG-20170619-WA0104.jpg
    IMG-20170619-WA0104.jpg
    11.6 KB · Views: 192
Nilichoshangaa kwenye taarifa ya habari ya TBC ni kuwa neno ESCROW wameliepuka! hawakulisema na utadhani wanazungumzia kashfa tofauti! Kwa nini hawakutaka kutaja neno escrow wakati ndo maarufu kwa kila mtanzania?
Kuna mkubwa mmoja na aliungwa mkono na wapambe wake kwa kusema fedha za escrow siyo za umma! Inabidi akitokeze tena hadharani kutetea hoja yake kuwa escrow siyo pesa za umma!
Kwa maoni Yangu viongozi wote waliotetea wizi huu kwa kudai fedha za escrow siyo za umma inabidi wakamatwe Mara moja! Kila mtanzania anawafahamu!
 
Wapiga kelele na wapiga debe wakiamka mtakoma kuwajua....
Lissu bana yaani wewe unataka JK atajwe
 
Back
Top Bottom