Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Tatizo ninalo liona kwa vijana ni pale mwenzenu anaumwa ila ninyi mnashabikia.

Mgonjwa naye anatumika kisiasa ili hali ukweli anauelewa kuwa mwisho wa siku hana atakachokipata.

Any way, if you can't build your own bridge make others to be one for you. (By, Poise, January, 2018, Jamiiforums)

CDM inamtumia TL kama daraja mwisho wakivuka watalibomoa.

Its just a matter of time. Mark my words.
 
Sijaelewa tatizo la Bwana Tundu Lissu (kama ni kweli) kukutana na hawa watu ni nini hata watu mnaanza kuweweseka na kurusha maneno makali makali kiasi hiki?

Na najiuliza tu kuwa kama hawa viongozi wao wenyewe wanapenda kuonana na mheshimiwa huyu, kumsalimu na kuzungumza mawili matatu, iweje watu mnaanza ku pre - empty anachoweza kuzungumza?

Ni wazi kuwa, ninyi watu mnatamani Tundu Lissu huko aliko awe confined ndani ya chumba cha hospitali anakotibiwa na asiweze kuzungumza na yeyote zaidi ya ndugu zake huku Tanzania. Ndivyo mnavyotaka siyo? Na je, itawezekana kweli?
Rudia kusoma posts # 5, # 6, # 7 za uzi huu.

Kwa sasa Lissu ni mgonjwa maamuzi yake mengi yanaratibiwa na wanaomzunguka. KWa kifupi ni 'mateka' kwa wanaomzunguka kwa sasa, Lissu ni binadamu anapata maumivu kama binadamu mwingine. Hivyo ili aepuke maumivu hayo lazima apone. Kwa hiyo yeyote kwa sasa atakayemshauri kwa kumwambia afanye jambo fulani ili apone. Kwa vyovyote vile mgonjwa , Mh. Lissu, atafanya. Kwa hiyo tunapoona maneno maneno yasiyofaa kwa ustawi wa mshikamano na amani ya nchi yetu kupitia ugonjwa wa mtanzania mwenzetu, Mh.Lissu, lazima tuseme kwa ukali.
 
Unless you want to quote me out of the context, I've appropriately used that word to suit my desired intention.

Pili, tueleze sheria za nchi zinasemaje kuhusu mtu anayedaiwa kuvunja sheria, je anatumiwa watu kumuua au anapelekwa mahakamani.

Tatu, kama serikali yanyewe haiwezi kuheshimu sheria sasa itakuwaje na moral obligation to enforce the law? Answer please.
Nakupa mfano mwepesi, ., sheria inasema ukihisi au ukimkamata mtu na bastola au bunduki ukahisi tu kuwa ni jambazi unampeleka kwenye vyombo vya sheria, ILA Africa hii wanarudi uraiani tena na kusumbua RAIA, SO sasa hivi hakuna muda wa kufata sheria, ni RISASI tu, tukikukamata na bunduki ni RISASI tu hata uwe Mtoto wa nani , ilimradi hauimilimi kihalali, ndo maana muda unavyoenda ujambazi unaisha, sio kama huko nyuma kila siku majambazi majambazi.. Tungefata sheria ingekuwaje???., SO wakati mwingine binadamu anahitaji ubabe ili Maisha yasonge, CHINA isingefika ilipo bila ubabe na ubabe wa RISASI, mtu akizingua ni RISASI tu huko CHINA. Huyo shujaa wenu anachoendelea kukitafuta atakipata tu.
 
Nina wasiwasi na elimu yako
 
Big up! nakumbuka siku tukiwa pale chuo kikuu SUA mazimbu campus tukifanya uchaguzi CHASO na mimi nikachaguliwa kuwa mwenyekiti kamanda wangu LISSU aliniambia maneno machache yenye kunitia moyo.
 
Bora wasingempiga risasi haisee,watasababisha wajue na mengine wasiyoyajua kuhusu TZ

Hakuna lolote. Ikiwa `Kenyatta na polisi wa Kenya hakuna taifa lolote liloingilia kati wakati polisi wa Kenya kuuwa watu kama zinge wakati ya maandamano ya uchaguzi, ikiwa pamoja na watoto, mbele ya live tv na waandishi wa nje itakuwa Mtu mmoja Lissu ambaye akipiga risasi na wasiojulikana ambayo inaweza kuwa pengine ni mtu within Chadema. Lissu ni mtetezi wa wezi wa makinikia kuwadhurumu Watanzania, na aliyekuwa kimya kwa dili za mkubwa wa chama chake kuwadhurumu wa Tanzania zaidi ya billioni 1.5 ya kodi, Lissu hana lolote hawezi kuaminika. Sio mwanasiasa bora. Kama unakemea ubaya anza na watu walio kuzuguka . Aombe ukimbizi huko kama watamukubali. Hana lolote ni mdomo na kizungu Kingi kisichokuwa na maana. Lissu ni debe tupu. Atuonyeshe basi Mwandishi yeyote wa ubeligiji anayemtembelea hospitali. Kesi ya Lissu haiuzi gazeti who is he anyway?, Huu ndiyo mwisho wa siasa zake uchwara hatutamsikia tena. Kelele nyingi ambazo hazivunji mifupa.
 
Bora wasingempiga risasi haisee,watasababisha wajue na mengine wasiyoyajua kuhusu TZ

Hakuna lolote. Ikiwa `Kenyatta na Ruto na polisi wa Kenya hakuna taifa lolote liloingilia kati wakati polisi wa Kenya wakiungwa mkono na Rais Kenyatta na msaidizi wake kuuwa watu kama zinge ikiwa pamoja na watoto, mbele ya live tv na waandishi wa nje itakuwa Mtu mmoja Lissu mtetezi wa wezi wa makinikia kuwadhurumu Watanzania, na aliyekuwa kimya kwa dili za mkubwa wake wa chama kwa kuwadhurumu wa Tanzania zaidi ya billioni 1.5 ya kodi, Lissu hana lolote hawezi kuaminika. Sio mwanasiasa bora. Kama unakemea ubaya anza na watu walio kuzungumza . Aombe ukimbizi huko kama watamukubali. Hana lolote ni mdomo na kizungu Kingi kisichokuwa na maana. Lissu ni debe tupu. Atuonyeshe basi Mwandishi yeyote wa ubeligiji anayemtembelea hospitali. Kesi ya Lissu haiuzi gazeri, Huu ndiyo mwisho wa siasa zake uchwara hatutamsikia tena. Kelele nyingi ambazo hazivunji mifupa.
Mbona mmepanic sana.
Kwani hao waheshimiwa si wanaenda tu kumjulia hali ?.

Hakuna anayepaniki, na wala Hakuna mheshimiwa yeyote ataenda kumutembelea. Wewe unafikiri wazungu wanamjali mwafrika? Wamezowea kutuona kwenye tv tunakufa na njaa, ama tunapiga na wenyewe kwa wenyewe. Lissu is nothing. Hata Kenya Hakuna Mtu yeyote Mwenye cheo serikalini alimutembelea. Mzungu hana time ya monkey politics, time is money. Atangoja atachoka. Kizungu atakuja kukisemea Dar Airport na sio ubeligiji.
 
Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Mshaurini awe diplomatic kidogo asiwabwatikie kama ilivyo kawaida yake of calling a spade a spade, na asitaje majina atakapozungumzia hali ya siasa tanzania, aeleze tu hali ilivyo.
 
Hivi jamani, ni mimi tu sielewi au?! Maana mimi naona hii ni tetesi tu kuwa Lissu atakutana na hao viongozi....ajabu kuna watu wanalaani na lawama kibao! Kwani kuna mpiga ramli amewaambieni kuwa watajadili nini?! Na kuna jamaa hapo juu kauliza kuwa Lissu anakutana nao kama nani! Kweli?! Hata tukiacha mengine yote, si ana uhuru wa kukutana nao kama mwanadamu aliyeshambuliwa kwa risasi zote hizo lakini Mungu akamponya?
Mtu asiye haki hukimbia hata asipofukuzwa....acha waendelee kitabili

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Sijasema Mimi nitakua hai, Mimi na wewe tutakufa , Tanzania itabaki. Huyu mpuuzi anaidhalilisha Tz nje ya mipaka yake, aondolewe tu
Wanaotudhalikisha watz ni wale wakioanzisha tabia za kumiminiana risasi kishamba kabisa.....
 
Nakupa mfano mwepesi, ., sheria inasema ukihisi au ukimkamata mtu na bastola au bunduki ukahisi tu kuwa ni jambazi unampeleka kwenye vyombo vya sheria, ILA Africa hii wanarudi uraiani tena na kusumbua RAIA, SO sasa hivi hakuna muda wa kufata sheria, ni RISASI tu, tukikukamata na bunduki ni RISASI tu hata uwe Mtoto wa nani , ilimradi hauimilimi kihalali, ndo maana muda unavyoenda ujambazi unaisha, sio kama huko nyuma kila siku majambazi majambazi.. Tungefata sheria ingekuwaje???., SO wakati mwingine binadamu anahitaji ubabe ili Maisha yasonge, CHINA isingefika ilipo bila ubabe na ubabe wa RISASI, mtu akizingua ni RISASI tu huko CHINA. Huyo shujaa wenu anachoendelea kukitafuta atakipata tu.
Concepts za kipumbavu kama hizi ndizo zinazozaa wale wanaojilipua ambao mwisho wa siku hamuwezi kuwadhibiti. Wanaanzaga hivyo hivyo dhuluma ikizidi.
 
Mwaka 2018 Lini Tanzania ilipata uhuru? Hadi leo tunashitaki kwa wazungu? Maajabu makubwa? Miaka kumi iliyopita huyuhuyu alikuwa anawatusi wanatuibia sana,Leo kutwa kushitaki nchi za Ulaya, sijui wenzetu korea kaskasini wameshitakiwa mara ngapi? Lakini wapo tu wanaendesha mambo yao, wanajitambua vya kutosha, chonde chonde kizazi kipya tujitambue wazungu si wajomba zetu wala siyo Binamu zetu
 
Jifunze kuandika basi dogo. Masirahi/Morah ndo vidude gani hivyo?
Unafikiri ukiua ndo unapata thawabu. Wewe unasali kweli!

Ndio tabu ya kuwa "Boot Licker", unabakiwa na akili ya kuchamba tu. It's pitiable and pathetic for a person of your calibre to claim sanity.
Of course mkuu SHITHOLES siku hizi hazichambi hadi kunuka mtaa mzima! kama huyo ngumbaru anayejitahidi naye kugombea ndio mtaji wa kile chama cha shitholes!
 
Mwaka 2018 Lini Tanzania ilipata uhuru? Hadi leo tunashitaki kwa wazungu? Maajabu makubwa? Miaka kumi iliyopita huyuhuyu alikuwa anawatusi wanatuibia sana,Leo kutwa kushitaki nchi za Ulaya, sijui wenzetu korea kaskasini wameshitakiwa mara ngapi? Lakini wapo tu wanaendesha mambo yao, wanajitambua vya kutosha, chonde chonde kizazi kipya tujitambue wazungu si wajomba zetu wala siyo Binamu zetu
Ok si wajomba zetu kama tutajitambua na kutetea uhai, usawa na maslahi ya taifa!! siyo hizi shitholes zinazojifanya miungu na kupanga nani afe bila sababu!!
 
Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Kuna vinaja wenye shida sana ya uelewa ndani hii nchi. Tanzania ni nchi huru ambayo mambo yake yanajitegemea..

Vilevile mnatakiwa mtambue ya kwamba kiongozi yeyote Wa serikali ya ulaya anafanya kazi kwa maslahi ya nchi yake na ili maslahi ya nchi yake yafanikiwe ni lazma awasiliane na serikali. Serikali inaongea na serikali lakn serikali haiwezi kuongea na mtu ambaye hayuko kwenye serikali na ikapata mafanikio..
 
Back
Top Bottom