MAGALEMWA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 6,415
- 4,881
shitholeUwongo mkubwa. Kwani Lissu ni nani? Waziri Mkuu wa ubeligiji, Mkuu wa umoja wa Ulaya na speaker wa bunge, watu hawa wana kazi za maana za kudumisha umoja wa nchi za Ulaya ambao una hatari ya kutengana kwa Uingereza kujitowa. Zaidi ya hapo wana kazi ya kufuata shida za duniani ambazo zinaletwa na Rais wa Marekani kuvunja mkataba wa Irani wa nyukilia. Lissu ni nani? Lissu ni wakili uchwara ambaye anasikilizwa na watu wachache Tanzania wasioelewa siasa za dunia. Lissu amekwisha kisiasa, kizungu Kingi nani anamusikiliza. Nchi zote hizi zinawakiliswa na mabalozi wao, habari zote na sifa za Lissu wanazijuwa. Sifa za chama cha Chadema na kiongozi wa chama hicho wanazijuwa. Lissu angeongelea kodi ya nyumba ya mabilioni anayodaiwa Mbowe,. Ni kitu kidogo, lakini dosari kama hizo kinafanya chama kisiheshimiwe. Lissu hana lolote la kuitisha serikali ya Magufuli anapoteza Wakati wake na kujenga chuki., dunia Sasa ina mambo mengi ya maana kuliko ya Lissu aliyeshambuliwa na watu wasiojulikana.