Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,622
Amani iwe nanyi wapendwa wa mungu aliye hai na mwema
Husika na kichwa cha habari hapo
Kuna huyu jamaa ambaye kasahau wajibu wake na kuanza kudandia masuala yasiyomuhusu kama kutetea wez na wakwepa kodi wakubwa kisa kapozwa na vijisent kidogo na hao mabwana zake, 2020 tunaenda kumusahau hiyo yote ni baada ya kwenda kugaragazwa bila huruma kwenye uchaguz ujao
Huyu jamaa kasahau kama wananchi wake wanataka awatetee ili nao wapate huduma safi na bora za maji na hospital kama za majimbo mengine badala yake kahamishia utetezi wake kwa mafisadi na wakwepa kodi
Mda ni rafiki mzuri sana
Pole lissu ndo tunaenda kukusahau na huo uanasheria wako.
Sifa ndo huponza kichwa, masifa yameponza mdomo wako.