Lissu kuacha siasa kwa mtindo ule ule wa Nassari

..TL siyo mwanasiasa ni mwanaharakati.

..CCM mnakosea mnaposhindana naye kisiasa.

..masuala ya haki ndiyo wito wa TL ktk maisha yake.

..wito huo ndiyo uliomsukuma akasomea sheria.

..TL ni tofauti na wanasheria waliosomea taaluma hiyo ili kupata vyeo au pesa.

..sasa jiulize, je, iko siku TL ataacha harakati, haswa za kutetea HAKI ZA BINAADAMU?
 
Ndugu zangu,

Baada ya Nassari kutafuta kazi ya kufanya mapema kutokana upepo wa siasa kumuendea vibaya yeye na chadema kuelekea mwaka 2020 sasa Lissu naye anapitia njia hiyo hiyo kwani kuna taarifa za uhakika ameomba kazi katika baadhi ya NGO ni suala la muda tu.

Njaa haina baunsa ama hakuna mkate mgumu mbele ya chai watu wanakaa chini na kupiga hesabu na kuamua kipi chenye manufaa yao binafsi.

Mipango ya Tundu huenda ikaiva mwakani hivyo nayeye atabwaga mambo ya siasa huku wafuasi wake wakibaki midomo wazi wakikata tamaa.

Muda utatujibu.
Jinga lao
 
Lissu amesoma alama za nyakati amejua ukweli wa genge la kina mbowe lilivyo la kimafia kufanya siasa za maji taka kuwa mtaji wa biashara zao ukienda kinyume nao tu ndani ya sacos yao tayari.
inaonekana lissu alikuw kikwazo kwenu cha kuleta maendeleo baada ya kumpiga risasi nw tunaizidi China kimaendeleo
 
Cha kutuumiza ni nini? Mmeshajua Magufuli hawezi kushindana na Lissu kwa hoja, hivyo mnaanza kuja na mindgames ili watu wakate tamaa. Ni hivi, Magufuli hawezi siasa za ushindani na wala hatakaa aweze, hivyo suluhu pekee ni yeye kutumia mabavu kutangazwa mshindi
Haya,Ila Lissu hajafika hata robo ya JPM, ingekuwa wamaana angepewa uenyekiti Chadema
 
kwenye siasa lolote lawezekana. Ila litakuwa kosa kubwa sana kwa lissu ukizingatia alivyopiganiwa na watanzania hasa wanyonge
 
Propaganda nyingine bwana za ajabu na za hovyo Sana. Hivi unajua Kama kuna taaluma zingine mtu ukiwa nazo hauhitaji hata kutembea hatua tatu hujapata mteja wa kukupatia pesa? Lisu ni biashara na ni pesa tosha Sasa leo unatuambia anaomba kazi kwenye NGO ili iweje? Afanye kazi gani? Kama Nani? Wakati jina laketu ni biashara tosha? Achilia mbali hiyo taaluma aliyo nayo. Mtoa maada wacha kujifananisha name Lisu huyo ni habari nyingine. Nisisitu kwa ujinga wetu ndiyo hatuoni umhimu wake.
 
Haya,Ila Lissu hajafika hata robo ya JPM, ingekuwa wamaana angepewa uenyekiti Chadema

Lissu aliwahi kugombea uenyekita wa cdm? Halafu uwenyekiti huko ccm ukiwa rais unaupata by default wala hugombei, na hata ukifanyika uchaguzi ni kiini macho. Kipimo cha ubora wa Lissu dhidi ya JPM unaupima kwa kutumia criteria ipi mpaka ujue ni robo yake? Ni siasa, elimu, sheria, kuongea kiingereza, riadha au nini?
 
Haya,Ila Lissu hajafika hata robo ya JPM, ingekuwa wamaana angepewa uenyekiti Chadema
Hivi wewe katika kuishi kwako ni kwa ajili ya vyeo tu na huoni jingine zaidi ya cheo? Ona unavyojivua nguo hapa kwamba uliondoka cdm baada UA kuahidiwa cheo siyo?
Kwa taarifa yako Lissu sio Wa calliber hiyo unayomuweka na hajawahi kuwaza juu ya vyeo Bali wewe ndiye unayemfikiria hivyo!
Utamuota sana safari hii kwani huko Lumumba hali si shwari baada ya nyota ya Membe kuzidi kuwaangazia na kuwachanganya!
Inapendeza sana, huku Lissu na kule Membe kisha Kati maalimu Seif na dogo Zitto! Lazima mchachawe na kuzidi kuitumia akili ya musiba kuwaongoza ila mmefeli sana!
 
Unamlisha mtu maneno ya uongo kama haya unafaidika nini jamani.ebu tuwe na aibu hata ya nguchiro.
 
Nafikiri kajua chadema walichomfanya kisha kuipakazia serikali, kajua kumbe alikua kwenye genge la magaidi yaliokua yanamtumia kama chambo kufikia malengo yao.

Na ufahamu huu kaupata baada ya kuitizama Tanzania kwa mbali , alivyokua nchini ilikua ngumu kung'amua , kwani Magazeti, mitandao ya kijamii ilimuweka front page akajua kamaliza.

Sasa baridi kali ,njaa , umaarufu huko haupo kila mtu na time yake , kulala sebuleni si mchezo.

Pia wale wazungu wa acacia wamemtosa , hawaoni kazi anayofanya kwa sasa.

Majuto mjukuu, kiukweli anajuta sana, kwa kua uhai anao na taaluma anayo aombe kazi za utalishi huko majuu,mungu atamsaidia
kama ni kweli chadema ndio walifanya ule ugaidi basi tuna serikali DHAIFU inayoshindwa kuzuia uhalifu na ugaidi wa chama cha siasa! sasa sema hapa je serikali ni DHAIFU??
 
Lissu amesoma alama za nyakati amejua ukweli wa genge la kina mbowe lilivyo la kimafia kufanya siasa za maji taka kuwa mtaji wa biashara zao ukienda kinyume nao tu ndani ya sacos yao tayari.
dhambi ya kutaka kumuua Lisu inawatesa tu mnaweweseka papalikeni tu siku ya hukumu mtamtaja mpaka aliyetoa wazo la kumuua Lisu. Maana kawaida yenu kufanya dhambi na kuwasukumia wengine.
 
Kesi ya kifo cha Chacha Wangwe iliendeshwa mahakamani, ungeenda kutoa ushahidi. Zile propaganda za kizee za kina Makamba zinawaingia nyie msiojua chochote. Kwenye hili la Lissu hata mkatambikie hamuwezi kubadilisha uhusika wa jiwe.
Wauaji wengi hawakamatwi
 
Nina imani wewe humfikii Lissu kwa chochote kile ingawa tuliwahi kumchangia kutokana na roho zenu zilizojaa kutu ambayo dawa aliyogundua Mkemia imefeli kuondoa hizo kutu
Siyo Mkemia, mbona unampaisha hivyo? Yule ni mwalimu wa kemia wa O-level...
Hana intellectual brain ya kuwa Mkemia
 
Ndugu zangu,

Baada ya Nassari kutafuta kazi ya kufanya mapema kutokana upepo wa siasa kumuendea vibaya yeye na chadema kuelekea mwaka 2020 sasa Lissu naye anapitia njia hiyo hiyo kwani kuna taarifa za uhakika ameomba kazi katika baadhi ya NGO ni suala la muda tu.

Njaa haina baunsa ama hakuna mkate mgumu mbele ya chai watu wanakaa chini na kupiga hesabu na kuamua kipi chenye manufaa yao binafsi.

Mipango ya Tundu huenda ikaiva mwakani hivyo nayeye atabwaga mambo ya siasa huku wafuasi wake wakibaki midomo wazi wakikata tamaa.

Muda utatujibu.
Naunga mkono hoja,
Japo mimi ni miongoni mwa tuliomponza Lissu kwa ushauri huu,

Ila kwa yale anayosungumza huko ughaibuni, na kwa kuzingatia wasiojulikana wake, bado hawajajulikana, then I doubt kama Lissu ni mtu wa kurudi ili kujileta na kujlkabidhi wamalize ile unfinished business.

P
 
Toka uitwe bungeni, umekuwa kama joka la kibisa hata ulifanyeje halina madhara.

Hivi walikufanya nini kule bungeni

Watu wa ccm vichwa vyao vimeoza kabisa

Mada za hovyo hovyo kama hizi ndio zinalifanya jukwaa letu hili kukosa mvuto kwa sasa
 
Nafikiri kajua chadema walichomfanya kisha kuipakazia serikali, kajua kumbe alikua kwenye genge la magaidi yaliokua yanamtumia kama chambo kufikia malengo yao.

Na ufahamu huu kaupata baada ya kuitizama Tanzania kwa mbali , alivyokua nchini ilikua ngumu kung'amua , kwani Magazeti, mitandao ya kijamii ilimuweka front page akajua kamaliza.

Sasa baridi kali ,njaa , umaarufu huko haupo kila mtu na time yake , kulala sebuleni si mchezo.

Pia wale wazungu wa acacia wamemtosa , hawaoni kazi anayofanya kwa sasa.

Majuto mjukuu, kiukweli anajuta sana, kwa kua uhai anao na taaluma anayo aombe kazi za utalishi huko majuu,mungu atamsaidia

Screenshot_2019-05-19-22-50-56-530_com.quoord.jamiiforums.activity.jpeg
 
Back
Top Bottom