Na wewe
Na wewe vipi kuhusu Yale maisha yako ya kujipendekeza kutokana na njaa?Ndugu zangu,
Baada ya Nassari kutafuta kazi ya kufanya mapema kutokana upepo wa siasa kumuendea vibaya yeye na chadema kuelekea mwaka 2020 sasa Lissu naye anapitia njia hiyo hiyo kwani kuna taarifa za uhakika ameomba kazi katika baadhi ya NGO ni suala la muda tu.
Njaa haina baunsa ama hakuna mkate mgumu mbele ya chai watu wanakaa chini na kupiga hesabu na kuamua kipi chenye manufaa yao binafsi.
Mipango ya Tundu huenda ikaiva mwakani hivyo nayeye atabwaga mambo ya siasa huku wafuasi wake wakibaki midomo wazi wakikata tamaa.
Muda utatujibu.