Lissu: Kikwete alisaini mikataba ya Buzwagi na Nzega, anaponaje?

Mkitaka hawa watu wawajibike kwa kuliuza taifa ,Basi hakikisheni watt wao hawapewi nyazifa za juu .mtt wa nyoka ni nyoka,wakipewa hawa nao watatuuza vile vile Kama baba zao walivyotuhujumu.
 
Hivi tumefikaje hapa, kwamba an individual person kwa kuwa ana title ya urais basi yeye ni zaidi ya nchi nzima na watu wote waliomo ndani ya nchi na hivyo atafanya jambo lolote na hakuna atakayemuuliza, hili jambo limekaaje kwa nyie wataalamu wa maswala ya katiba na sheria.....
Katiba mpya
 
Ila ktk swala la mikataba JK alituingiza chaka baya sana nchi nchi yetu, kumbukeni ile ya dharura aliyomshikirisha 'yule mtu dhaifu' ktk lile jumba la 'kubembenda' mambo.
 
Sukuma gang!!! Leo unatumia maneko ya mliyetaka kummaliza? Kweli hata saa mbovu kuna wakati husema ukweli.
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema miradi ya kifisadi ya madini ya mgodi wa Buzwagi na Nzega ina saini ya Jakaya Kikwete kipindi hicho akiwa waziri wa Nishati na madini, kwa hiyo anatakiwa kushitakiwa kwa sababu wakati anasaini alikuwa waziri kwa hiyo hana kinga yoyote.

Lissu amefafanua kuwa Kikwete ana kinga kisheria kwa aliyoyasaini akiwa rais na siyo akiwa waziri wa nishati na madini.

My take:
Ya Kikwete ni mengi ndiyo maana hata mradi wa Bagamoyo una ukakasi mkubwa kwa sababu kwa mjibu wa waziri Mwambe Kikwete aliweka jiwe la msingi bila kusaini mkataba wowote

Jionee mwenyewe video hapa.

CCM huwa hawapendi kusemwa, na mtu yeyote anayeisema CCM moja kwa moja anakuwa kajiingiza kwenye wanted list. Pole sana Lissu kwa yaliyokukuta ila Mungu kakusimamia unabii ukatimia - risasi 16 mwilini usife haiwezekani.
Hata chadema pia hawapendi kusemwa,yalitokea kwa chacha wangwe,pole sana kwa familia yake
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema miradi ya kifisadi ya madini ya mgodi wa Buzwagi na Nzega ina saini ya Jakaya Kikwete kipindi hicho akiwa waziri wa Nishati na madini, kwa hiyo anatakiwa kushitakiwa kwa sababu wakati anasaini alikuwa waziri kwa hiyo hana kinga yoyote.

Lissu amefafanua kuwa Kikwete ana kinga kisheria kwa aliyoyasaini akiwa rais na siyo akiwa waziri wa nishati na madini.

My take:
Ya Kikwete ni mengi ndiyo maana hata mradi wa Bagamoyo una ukakasi mkubwa kwa sababu kwa mjibu wa waziri Mwambe Kikwete aliweka jiwe la msingi bila kusaini mkataba wowote

Jionee mwenyewe video hapa.

kaburi.
 
CCM huwa hawapendi kusemwa, na mtu yeyote anayeisema CCM moja kwa moja anakuwa kajiingiza kwenye wanted list. Pole sana Lissu kwa yaliyokukuta ila Mungu kakusimamia unabii ukatimia - risasi 16 mwilini usife haiwezekani.
images (3).jpeg
 
so sad, kama taifa tumefika pabaya mno, haya mambo tuliyasikiaga kwa majirani miaka hiyo huko Somalia, Kenya, Burudi, Congo, Rwanda na Uganda sasa na sisi ni balaa - you challenge them politically - they fix you in any way they want.

Hii ni mbaya sana.
Ndio maana mimi sikusikitika hata chembe kuondoka kwa yule mtu.
 
Kama tusipobadilika tutaangamia. Naona tunajidanganya. Hakuna namna tutafika salama mbele ya haki kwa wizi na dhuluma ya mali za watanzania.
 
mungumtu Jiwe effect,Daaaa dadeq yule Belzebaab Ile siku alipotoa Ile kauli ya wasaliti wanastahili kuuwawa na mchana Naona breaking news ya tukio la hii kitu nilitamka laana Kali Kwa jiwe na nikaapa huyo jamaa atafia madarakani Kwa kifo kibaya Kwa hiyo roho mbaya yake na hatachukua muda,nilipoona miaka mitatu inakata na hafi niliumia Sana moyoni,na vile akajipitisha Kwa kishindo 2020 nikajua karma is fake
Daaa Ile siku nimepata taarifa jamaa no more maana taarifa nilizisikia siku tatu nyuma huko kutoka Kwa wapenyeshaji special nilipata amani Sana nikawa nawachora tu kina katelephone wanavyosema yupo anachapa KAZI teh!teh!teh!
Hii nchi Ina viongozi vituko Sana Aiseee!

Sikuwahi kua na furaha kuu kama sikukuu ya kutwaliwa jiwe maana nilijihisi ndio napaa Mbinguni japo Sina mabawa!.
😁😁😁😁
 
Same to me mkuu nadhani siku hiyo nilipata hasira dhidi mwendazake zijawahi ona.
Ila Mungu sio Kada
 
Hivi tumefikaje hapa, kwamba an individual person kwa kuwa ana title ya urais basi yeye ni zaidi ya nchi nzima na watu wote waliomo ndani ya nchi na hivyo atafanya jambo lolote na hakuna atakayemuuliza, hili jambo limekaaje kwa nyie wataalamu wa maswala ya katiba na sheria.....
Mambo ya Nyerere hayo.
 
Back
Top Bottom