Lissu: Kikwete alisaini mikataba ya Buzwagi na Nzega, anaponaje?

mungumtu Jiwe effect,Daaaa dadeq yule Belzebaab Ile siku alipotoa Ile kauli ya wasaliti wanastahili kuuwawa na mchana Naona breaking news ya tukio la hii kitu nilitamka laana Kali Kwa jiwe na nikaapa huyo jamaa atafia madarakani Kwa kifo kibaya Kwa hiyo roho mbaya yake na hatachukua muda,nilipoona miaka mitatu inakata na hafi niliumia Sana moyoni,na vile akajipitisha Kwa kishindo 2020 nikajua karma is fake
Daaa Ile siku nimepata taarifa jamaa no more maana taarifa nilizisikia siku tatu nyuma huko kutoka Kwa wapenyeshaji special nilipata amani Sana nikawa nawachora tu kina katelephone wanavyosema yupo anachapa KAZI teh!teh!teh!
Hii nchi Ina viongozi vituko Sana Aiseee!

Sikuwahi kua na furaha kuu kama sikukuu ya kutwaliwa jiwe maana nilijihisi ndio napaa Mbinguni japo Sina mabawa!.
😁😁😁😁
Ni kweli mimi nilimlaanai Tar 29 oktoba baasa ya kushuhudia Unyama wakati wa uchaguzi. Kuna Kada mmoja Rafiki yangu sana wa CCM nilimwambia Jiwe hata maliza Miezi sita madarakani atakufa. Jamaa alipinga nikamfafanulia kwa nini nasa hivyo kama mtumishi wa Mungu. Siku alipoumwa na kutoonekana kwa muda kadhaa nikampigia simu Kada yule nikampa alert. Akawa haamini hadi pale Tar 17 Mama anatangaza msiba.

Alilaanika.
 
jiwe alikua na balaa sana yule kiumbe nakumbuka mjomba wangu mmoja ni mwalimu mkuu wa shule Moja hapa jijini daslam alipata kushuhudia kufuru kuu Kwenye uchafuzi wa 2020 siku zile nilikua zangu nimetoka msasani kupiga kura kama mkereketwa wa upinzani Ile nimerudi nipo na binamu yangu tumepozi kusikilizia jioni,tukaona ankori karudi kafura Kwa hasira kuu mno tukaanza Kwa kumtania Vipi umeuza kura Kwa jiwe?
Akasonya akapita Ndani kulala akaja amka saa 2 hivi akatuambia kwa hasira na uchungu Huku machozi yanamlenga lenga jiwe amelaaniwa Duniani mpaka kuzimu na atakua Kuni motoni
Hahahaha tukauliza Nini akasema kama mungu yupo basi atalipa Kwa ushetani aliofanya akaanza kutupa mkanda wa mabox fake ya kura mpka akasema hakuna mbunge wa upinzani atapita nchi nzima huyu mwehu na chizi kafanya kufuru ambayo inaenda kumtafuna na kufa Atakufa na ule uharibifu alioufanya hautamfaidisha chochote zaidi ya kifo kumuandama daaa mjomba licha ya kua mwalimu ni pastor vile vile
Tulishtuka sana Aisee
Yote aliyoyasema yalitimia na yule mjaa laana akafa kweli na siku jamaa anavuta akanitumia sms jiwe linaenda kupasuka soon nikiwa mkoani Tena ule mkoa ambao waziri katelephone alituambia mweshimiwa mzima na anachapa KAZI ndio mapema nagongewa phone kutoka pembezoni mwa jengo la mwewe jiwe is no more!
 
Ankori wako Anajielewa sana. Tar 29 baada ya kutoka Dar nimeenda visiwani mambo niliyokuta hayaelezeki. Ilikuwa kama Bagidadi.
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema miradi ya kifisadi ya madini ya mgodi wa Buzwagi na Nzega ina saini ya Jakaya Kikwete kipindi hicho akiwa waziri wa Nishati na madini, kwa hiyo anatakiwa kushitakiwa kwa sababu wakati anasaini alikuwa waziri kwa hiyo hana kinga yoyote.

Lissu amefafanua kuwa Kikwete ana kinga kisheria kwa aliyoyasaini akiwa rais na siyo akiwa waziri wa nishati na madini.

My take:
Ya Kikwete ni mengi ndiyo maana hata mradi wa Bagamoyo una ukakasi mkubwa kwa sababu kwa mjibu wa waziri Mwambe Kikwete aliweka jiwe la msingi bila kusaini mkataba wowote

Jionee mwenyewe video hapa.

Nilijua kaongea Leo , kumbe toka mwaka 2017 basi sawa
 
mungumtu Jiwe effect,Daaaa dadeq yule Belzebaab Ile siku alipotoa Ile kauli ya wasaliti wanastahili kuuwawa na mchana Naona breaking news ya tukio la hii kitu nilitamka laana Kali Kwa jiwe na nikaapa huyo jamaa atafia madarakani Kwa kifo kibaya Kwa hiyo roho mbaya yake na hatachukua muda,nilipoona miaka mitatu inakata na hafi niliumia Sana moyoni,na vile akajipitisha Kwa kishindo 2020 nikajua karma is fake
Daaa Ile siku nimepata taarifa jamaa no more maana taarifa nilizisikia siku tatu nyuma huko kutoka Kwa wapenyeshaji special nilipata amani Sana nikawa nawachora tu kina katelephone wanavyosema yupo anachapa KAZI teh!teh!teh!
Hii nchi Ina viongozi vituko Sana Aiseee!

Sikuwahi kua na furaha kuu kama sikukuu ya kutwaliwa jiwe maana nilijihisi ndio napaa Mbinguni japo Sina mabawa!.
Hakuna mtu mbaya kama msaliti they deserve to be eliminated in any aspect....nakumbuka enzi zetu chuo kikuu Mzee Punch alipenda sana kuitumia hiyo statement wakati tunapigania haki za wanafunzi huku serikali ikiweka mapandikizi wanafunzi kufanya usaliti.
 
Binafsi niliwahi kuandika hapa JF kuhusu huu uwezekano wa Raisi kushitakiwa siku za nyuma.
 
Miaka 60 ya uhuru chadema hawana hata ofisi

chadema imekuwepo kuanzia mwaka 1961?.

..by the way nadhani ulizaliwa enzi za mkapa au jk. Kwa taarifa yako ofisi zote zinazotumiwa na ccm ni majengo ya umma. yalijengwa kwa michango ya wananchi wote enzi za nyerere hayakujengwa kwa pesa za ccm.

jengo pekee lililojengwa na ccm ni ukumbi wa mikutano wa jk uliopo kizota, lakini ardhi ni ya umma, ilinunuliwa na wananchi wote enzi za nyerere. ccm wanamiliki matofali, makenchi na bati tu.

Ipo siku watayaachia tu kama walicyotema chimwaga hall, watake wasitake.

let this sink in your skull
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema miradi ya kifisadi ya madini ya mgodi wa Buzwagi na Nzega ina saini ya Jakaya Kikwete kipindi hicho akiwa waziri wa Nishati na madini, kwa hiyo anatakiwa kushitakiwa kwa sababu wakati anasaini alikuwa waziri kwa hiyo hana kinga yoyote.

Lissu amefafanua kuwa Kikwete ana kinga kisheria kwa aliyoyasaini akiwa rais na siyo akiwa waziri wa nishati na madini.

My take:
Ya Kikwete ni mengi ndiyo maana hata mradi wa Bagamoyo una ukakasi mkubwa kwa sababu kwa mjibu wa waziri Mwambe Kikwete aliweka jiwe la msingi bila kusaini mkataba wowote

Jionee mwenyewe video hapa.

Bado hata akifungwa huyu hataridhika ujue.
Yaani mwishowe watanzania wote tufungwe
 
Kwa hiyo ulitegemea huyo mtetea ushoga awe rais wa Tanzania?
Labda rais wa mashoga kama wewe
dogo kama Mimi ni shoga basi babaako ndie Basha langu anaenipa burudani hata yeye akimaliza kwangu hua namgeuza na yeye Hivyo hata Wewe ni zao la choko a.k.a Mendes
Jiangalie nitakutindua na Wewe!
Shwain!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom