Uchaguzi 2020 Lissu kiboko, anamaliza kampeni bila kutoa ahadi ya hata Kilomita 1 ya lami

Kwa Mara ya kwanza katika historia ya upinzani mgombea urais Tundu Lissu ameshiindwa kutoa ahadi ya hata KM moja ya barabara.

Maoni yamekuwa mengi kutoka kwa wapiga kura huku wengi wakidai kuwa hajui barabara nyingi kutokana na kukaa nje kwa muda mrefu.

Pia Chadema kwa mara ya kwanza Hanna sehemu yoyote katika jukwaa lao walipoituhumu CCM kwa ufisadi, kweli mambo yanakimbia sana.
Sasa nchi ina miaka 60 unaahidi barabara? Hilo n swala la kitekeleza tu.

Kuzungumzia ufisadi n kivp?

Uwanja wa chato

Ununuz wa mali za uma bila utaratibu

Vitambulisho feki vya wajasiriamali

Fedha za Korosho

Kuajiri au kuteua ndugu wengi

Kukamata na kufilisi watu

Hayo nmesikia akisema lissu
 
Back
Top Bottom