Lissu katika mikutano yake ya kampeni anasema yeye na Mwenyekiti wanatembelea magongo kwa kupigwa na watu wasiojulikana

Vijana was CCM wanatia huruma sana.
Wenyewe walijua kampeni za mwaka huu zitakuwa rahisi sana kwa Mwenyekiti wao, kumbe imekuwa kinyume chake.

Meko alijua kwamba hata kipindi cha kampeni atatamba peke yake majukwaani kama ilivyokuwa katika nyakati alizozuia mikutano ya hadhara ya wanasiasa.

Sasa amekumbana na muziki wa Lissu ambaye watanzania wanamwita ni mzalendo namba moja.
 
Hivi mkuu ushawahi jiuliza unafanya propaganda hizi kwa faida gani? Ushawahi kujiuliza ni nini impact yake kwa life lako la baadae? Usije ukawa ni mtu wa kuandika andika tu bila kujua kila kitu kina outcome zake. Unaweza ikawa life lako ni gumu michongo haiendi na mojawapo inaweza kuwa ni huu uwendawazimu unaouleta humu mitandaoni na kuwakera mengine!

Wengine wanadiriki kusema Lissu alipigwa risasi na dereva wake ili atafute umaarufu! Yaani wewe unaweza ukakubali kugeuzwa kilema kwa kutafuta umaarufu? Au unaweza kubali kugeuzwa kwa kutafuta umaarufu?
Mkuu Kuna watu Wana laana waache waandike tu. But we know the truth... In 2020 our votes must count
 
Jamani mimi naona kama wanatoa siri zao na kutuwezesha sisi wananchi kupata ukweli haraka na wa uhakika kuhusu hao watu wasio julikana. Mara ya kwanza nilipomsikia Lissu pale Ufipa siku alipopokelewa nilifikiri hawakumwambia sasa nilipoona anazidi kuisema kilasiku na kila sehemu ndiyo nimekuja kugundua kuwa kumbe watu wasiojulikana wametengenezwa wasijulikane na wao wenyewe.

Msigwa na Esta Bulaya walitupa taarifa za kustua sana eti Mwenyikiti Mbowe amevamiwa na watu wasiojulikana na kumshambulia lakini kumbe iterejensia ya Ndugai ilifika mpaka katika ile dispensari alipolazwa Mbowe na kumwona daktari na yule muuguzi alisibitisha kuwa mkuu alikuwa yuko chicha mbaya hajitambui na baadaye ilijulikana kuwa alitereza ulevini akiwa na mpenzi wake.

Cha kushangaza kilamtu baada ya lile tukio alikuwa akisubiri mgonjwa atakapotoka hospitalini ataongea na taifa kama kawaida yake hasa kwa tukio zito kama lile la kuvamiwa na watu wasiojulikana na kumvuja miguu yote, lakini mzee kimyaa mpaka juzi lisu kaja ndiyo nasikia tena.

Pia kama kweli alivamiwa na si kujivamia spika Ndugai alilieleza bunge kuwa Mbowe alikuwa amelewa sana, sasa kweli mwenyekiti anakaa kimya si akanushe kuwa hakulewa na kusema waliyoyasema Msigwa na wenzake. Lijua likali pia alitoa mwongozo kuwa hadi saa 8 usiku Mbowe alikuwa baa analewa na bi mdogo, ajakanusha kapiga kinya. Msukuma pia alitoa ushahidi mbele ya bunge tukufu kuwa yeye walikuwa wote baa moja alimwona Mbowe akiwa sambamba na Faru Joni.

Chadema badilikeni aina ya siasa mnazo fanya zimepitwa na wakati maana jana tena nasikia ofisi ya Chadema Arusha imechomwa moto na watu wasiojulikana. yaani kila siku ni yale yale. Hizi stairi za kutaka kuchukua nchi kwa kupata huruma kutoka kwa wananchi kwa kutengeneza matukio, alifanikiwa mtu mmoja tu ambaye yeye ndiyo alifanikiwa na alikuwa mwanzilishi wa michezo hiyo na huyu si mwingine alikuwa anaitwa Adolf Hilter 1930s.

Huyu jamaa aliwai kulipua mikutano yake ya siasa, kuchoma moto ofizi za chama cha Kinazi na hata bundastag hili wananchi wajue kuwa anaonewa, wampe kura za huruma na kweli alifanikiwa na kuchukua nchi kwa hila na mpaka leo dunia itamkumbuka kwa kusababisha vifo vya watu wengi zaidi duniani kuliko tukio lolote.

Kama CDM hamtakuwa mnatumia akili CCM itabaki madarakani milele angalia jinsi leo CCM ilichokifanya nakama amkustuka mtasema mmeibiwa kura. Kwa muda wa miaka 5 mlibanwa na Magu akapiga kazi na kazi zimeonekana, huko nyuma wananchi mliwaaminisha kuwa kupiga mdomo ndiyo siasa na maendeleo sasa Magu kapiga kazi kubwa bila ninyi kuwepo na zaidi mmekuwa mkimpinga kwa kila jambo na leo mda wa uchaguzi umefika wananchi si wajinga wameona kazi kilicho takiwa kwenu ilikuwa kukaa na kuumiza vichwa lakini naona yale yale ya enzi za Jakaya hadi sasa.

Tena hamshanga mbona mnaandamana kuanzia uwanja wa ndege hadi Ufipa bila kuguswa. Amshangai Lisu leo anavunja sheria kwa kuanza kampeni kabla ya muda na kutoa povu jingi sana na maneno mengi ya kichochezi. (Magu anataka leo msikike kwa wananchi pana kitu hapo) kwa watu ambao vichwa vyao vimekwenda shule tusingesikia hayo tunayoyasikia.

Ofisi imechomwa moto, alafu wameacha mapanga mlangoni Lema anasema hawezi kutoa tamko kwani kwa tukio lile haliwezi kutoka tamko la kitoto hii inamaana gani, ni kuingia barabarani tu kweli CDM hawa jipya mpaka leo wanavizia kuchukua nchi kupitia barabarani basi watakaa sana zaidi ya miaka 900 kama hawataki kuumiza akili.
Ulibemendwa wewe sio bure
 
Back
Top Bottom