Kweli serekali ingekaa kimya Lissu angesema tutapelekwa Haig na angewapigania Acacia.Hebu acha kufikiria kwa matako wewe
Sasa kweli nimeamini nchini humu kuna majuha hadi wanaandika hata kisicho eleweka. Hebu tufafanulie tafadhali!Lissu anaongea kama sio wakili. Hata kama tunasema Acacia wezi, Hakuna sheria ya kuingia migodini kwa kiasi na Fuji. Ukiibiwa unapeleka mala iko yako serikali na huruhusiwi kujichukulia sheria mikononi kwako. Uingereza mwizi akikuingilia nyumbani kwako huru sisi kumpiga zaidi kujikinga asikuumize.
Lisu anajaribu kumpiku Harmorappa kwa kiki lakini hawezi kufua dafu.Lissu wakati anaanza kumkumbatia na kumtetea fisadi Lowassa alitumia makalio kufikiria....
Unadhani mwananchi wa kawaida kule kijijini anaposikia rais anasema acacia ni mwizi atajua kuna mambo ya sheria?Ni makosa MAKUBWA kwa sisi wananchi kujichukulia SHERIA mikononi mwetu.
Wananchi Si serikali sisi wananchi ni WADAU tu ndani ya serikali.
HATURUHUSIWI kisheria KUVAMIA mali ya mtu mwingine HATA kama ANA mgogoro na serikali kuhusu MALIPO.
MABOMU ya MACHOZI ni haki yao acha WAPIGWE maana WANATAKA kuchafua JINA la nchi yetu na LENGO na DHAMIRA nzuri ya nchi na rais wetu katika kutengeneza mazingira mazuri katika uwekezaji.
Wakijaribu kuvamia tena WAPIGWE sana na siyo KIDOGO .
Huwezi kuvunja sheria ili utatue ukiukaji wa sheria.
Hilo ni kosa la jinai.
Tanzania SI ZIMBABWE.
Nyie zenu ni fujo, ndio maana hamuaminiki nchi hii.ukimtangaza na mwizi ni ruksa kubomoa tu hakuna namna ingine, Rais kasema ni wezi ni bora wananchi wachukue chao mapema.
Wapi umesoma neno AMRI?Kama Heche kaamuru hivyo basi anastahili kuchukuliwa hatua kali. Vipi aliwaamuru wakavamie pia majumbani ya Masamaki? Mbunge wa ajabu Sana huyu
lisu anajua kuongelea mambo ya sheria ku-practice yuko sifuri.ndio maana kesi nyingi anazosimamia huwa anashindwa.anasifiwa sana kubwabwaja .Hajui kuhusianisha sheria na practice.Kama mtu anataka wakili wa kumtetea ni achukue wakili yeyote sio Lisu.Lisu ni ziro kwenye practice za uwakili.Kwa hiyo anataka wajichukulie sheria mkononi
Hapa ni Tanzania ndiyo maana wezi huchomwa moto achana na sheria za Uingereza ambazo wazungu walikuja nazo CCM mkapitisha kwa kura za ndiyooo... Magufuli kasema wazungu ni Wezi cha ajabu kakaa na wezi ikulu kuzungumza, mbona Singasinga na rugamalila hajawaita ikulu? Kama Acacia ni wezi acheni wananchi wachukue chao maana dawa ya mwizi ni kulinda chako.Lissu anaongea kama sio wakili. Hata kama tunasema Acacia wezi, Hakuna sheria ya kuingia migodini kwa kiasi na Fuji. Ukiibiwa unapeleka mala iko yako serikali na huruhusiwi kujichukulia sheria mikononi kwako. Uingereza mwizi akikuingilia nyumbani kwako huru sisi kumpiga zaidi kujikinga asikuumize.
Rugamalila na Seth singasinga wapo keko lakini hawakuwahi kuitwa na magufuli ikulu iweje mwizi wa kizungu athiniwe hivyo?Mwizi akiwa 'MZUNGU' anakaribishwa IKULU na kupewa Chai.!!!!!!!!!!!!!
Penzi la Lissu kwa Acacia ni zaidi ya Mahaba Niuwe.