Lissu jipime kwa Malema kwenye Msiba wa Winnie Mandela

Ben leo umekuwa kiumbe kipya...

Jr
Ccm wengi hawakutegemea kama kweli Lissu atarudi, walijua ataogopa na kuendelea kuishi kama Mkimbizi. Mnakumbuka uzushi wao humu akina Magonjwa Mtambuka, Stroke, Jingalao, Kawe Alumni, YEHODAYA & CO. Mwana CCM pekee ambaye sijawahi kusikia akikashfu ubinadamu wa Lissu ni Johnthenaptist peke yake na ndo maana huwa namuona kama mtu mwenye uelewa wa mambo mtambuka kuliko hao ndugu zake hapo juu. Mwingine anayejitoa ufahamu na kufyatuka Mara moja moja lakini anajitambua ni Cocochannel. Waliobaki akiwemo huyu Verified User Benson Mramba hana tofauti na mkimbizi mwenzie Wakudadavua.
 
Umesema kweli tupu..
HAWAKUTEGEMEA akiwemo huyu mleta uzi ndio maana sasa ivi anajifanya kutoa-toa ushauri positive kwa Chadema na Lissu..MNAFIKI.
 
Watu makini humu JF wanamjua vizuri Benson, haya anayoongea ni "duster" kusahaulisha watu maneno mabovu aliyowahi kuongea humu, kama una uwezo naomba utafute threads zake hata 2 uzimwage hapa.
 
Back
Top Bottom