ChamaDola
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 3,432
- 2,804
Najua sio wajibu wako kisheria kujenga shule!
Najua wajibu wako ni kuibana Serikali kujenga shule kupitia kodi zetu!
Ikishindikana basi Mfuko wa Jimbo hutumika!
Na ikishindikana kabisa basi uhamasishaji hutumika!
Ni lini umewahamasisha wana Ikungi kupambana na maadui wanne wanaolikwamisha taifa letu!?
Mhe Lissu ile nguvu ya kutetea watanzania Mahakamani i wapi kule Ikungi...!?
Ile nguvu ya kuibana Serikali bungeni na mahakamani i wapi kule Ikungi!?