Lissu heshimu NEC, kama unataka mdahalo njoo ufanye mdahalo na mimi

Philipo Mwakibinga ukafanye mdahalo na Lissu? Kwa tunaokufahamu cheo kikubwa ulichowahi kupata ni kuwa Waziri mkuu wa College pale UDOM, ukiwa unasoma ualimu wa kiswahili, uliwagomesha wanafunzi wa Special diploma JPM akaamuru wanafunzi wale watimuliwe na wewe ukatimuliwa chuo. 2015 Ukaenda kugombea ubunge chunya ukapigwa chini na Wajumbe kwenye kura za maoni za CHADEMA ukawa wa tatu. Kwa tamaa ukakimbilia ACT ukagombea udiwani ukaangukia pua. Umekimbilia CCM huko nako kazi yako ni kusifu kama utateuliwa lakini hola.

Ushauri wangu JPM anapenda sana kuteua wasomi rudi chuo hata DUCE ukamalizie kidigrii chako cha kiswahili at least nasema at least anaweza akakuona
 
Hahahahahahaha eti yesu wa lugola ni ua la uwaridi. ZWAZWA kweli wewe!!! Tangu lini fisadi aliyekwapua nyumba za Serikali na kununua kivuko uozo akafananishwa na Waridi? :oops::oops:
Maajabu Hutu ,tekaji ,shamba ,jinga likawa waridi.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
CCM hawana jipya Mwakabinga huna hoja kabisa huwezi kusema Lissu hajajiandaa, unafikiri inachukua muda gani kujiandaa. Hakuna force yoyote kwa Lissu, huna hoja kabisa na Lissu anashinda asubuhi October.
Hizi ndizo presha za kujitakia, umejipa matumaini makubwa ya ushindi kana kwamba utapiga kura wewe na Lisu wako!!! Endelea kujitia presha itakula kwako mwenyewe. Maana hata huyo Lisu wako anaifahamu nguvu kubwa ya wananchi kwa CCM na hasa katika kipindi kama hiki. Sasa wewe kama nani hata ujipe mapresha hayo?!
 
Lissu ni dhaifu sana wa hoja,

Kazidiwa na uchapa kazii wa Magufuli hana cha kuzungumza kabakia kulia lia tu majukwaani

Ohh mara risasi mara sumu mara kikapanda maa kikashuka alimradi hana hoja ya kuegamia amebakia kituko tu huko majukwaani.
Umewapimaje na kubaini kuwa Lissu amezidiwa na JPM kwa uchapa kazi?
 
Back
Top Bottom