Lissu heshimu NEC, kama unataka mdahalo njoo ufanye mdahalo na mimi

Yani lissu aje afanye mdahalo na ww form 4 leaver uliyefukuzwa Udom?

Kuwa serious kijana, ni vyema muda huu ukatumia ni kwa jinsi gani utaweza kuanza mchakato wa kwenda angalau duce uanze upya kadigrii kako ka ualimu wa kiswahili kaliko kushinda pale udom.
 

Baadhi ya maneno aliyoyazungumza Mwakibinga

Kama Tundu Lissu anataka mdahalo aje afanya mdahalo na mimi (Mwakibinga). Lissu anataka mdahalo na Magufuli ili kukaa karibu na uwaridi aweze kunukia


Kwani Magufuli anaogopa nini? Si msomi na kafanya mengi. Kwanini mnatetea kila kitu mwacheni mwenyewe aseme hataki yeye ndiye mgombea
 
Kwenye jina Philip Mwakibinga badala ya mdau wa siasa wangeandika msakatonge au chawa. Mwakibinga umehangaika sana binafsi nakuombea Rais ajae akuone akupe uteuzi uendelee kusifu na kuabudu.

Vijana mnatia aibu sana nyie, inamaana wewe haufahamu mjadala ni baina ya wagombea? Wewe ni mgombea urais wa chama gani mpaka utake mjadala na TL? na mwenzio katambi pia anataka mjadala na Lissu, CDM iliwafundisha vijana siasa za hovyo sana ndio maana mmegeuka chawa, Stupid.
 
Binafsi nakufahamu na kijana smart lakini Lissu sio hadhi yako kabisa ni level za wakubwa zako. Wewe hata level za kina Malissa, Hilda newton au Abdulnondo bado. Hawa labda mwenyekiti Kher james, wakina ndio wanawaweza sikukwambia hao wakina Lissu.
Hata hao hawawezi
 
WHo is mwkibinga by the way? yeye ni nani mpaka afanye mdahalo la Lissu? Hajawahi kuwa hata diwani zaidi ya kuwa raisi wa UDOM na makamu raisi.
 
Kilaza wa kisukuma analofahamu ni kufoka, chuki, kuamrisha, na kukariri namba.. utasikia tunazo umbwa erfu ine, tumejenga kiromita sarasini...wewe mama wacha kiherehere.....
 
Wapo sayari mbili tofauti kabisa hakuna haja ya kufanya hivyo tutakuwa tunawakosea wananchi.

Kumkutanisha nguli Magufuli na Lisu ambaye ndio kwanza yupo kwenye harakati zake za uanaharakati.

Lisu hana qualities za kiongozi wa kitaifa, hana comanding language ya kiongozi, haonekan kama kiongozi,

Amejiweka kama mwanaharakat na anaonekana hivyo kwa matamshi yake na matendo yake, bado hajakua kufikia hizo level ambazo Magufuli yupo kwa sasa,

Hivyo kiufundi na kwa afya ya mjadala hawastahili kukutana.
Mleteni tujionee wenyewe, mbona mna wasiwasi. Kama hawakutani basi hakuna mjadala. Siamini kama mnaogopa mtu atagalagazwa.(LoL)
 
You are a disgrace. Wewe unagombea Urais kupitia chama gani? Hizi njaa zitawafanya muwe s*domiz*d kwa ridhaa yenu. Vijana hamtaki kufanya kazi. Mnatafuta short-cuts hata kufikia kujaribu kutelemsha binadamu wenzenu. Unaweza kufanikiwa bila kumtelemsha mtu mwingine.

Baadhi ya maneno aliyoyazungumza Mwakibinga

Kama Tundu Lissu anataka mdahalo aje afanya mdahalo na mimi (Mwakibinga). Lissu anataka mdahalo na Magufuli ili kukaa karibu na uwaridi aweze kunukia
 

Baadhi ya maneno aliyoyazungumza Mwakibinga

Kama Tundu Lissu anataka mdahalo aje afanya mdahalo na mimi (Mwakibinga). Lissu anataka mdahalo na Magufuli ili kukaa karibu na uwaridi aweze kunukia

Kwani kuna 'Tetesi' zozote labda kwamba Rais Dkt. Magufuli anatarajia kufanya 'Uteuzi' wowote wa Nafasi mbalimbali hadi huyu 'anahangaika' hivi?
 
Lissu ni dhaifu sana wa hoja,

Kazidiwa na uchapa kazii wa Magufuli hana cha kuzungumza kabakia kulia lia tu majukwaani

Ohh mara risasi mara sumu mara kikapanda maa kikashuka alimradi hana hoja ya kuegamia amebakia kituko tu huko majukwaani.
Lissu kazungumza mengi sana na sio kupigwa risasi tu mfano wa aliyozungumza no
I/ katiba na sheria kwamba katiba inampa mamlaka makubwa sana Rais had I kwenye rasilimali zetu kama madini
ii/ kuhusu mikopo kasema tumekopa trilioni 40.5
iii/ kutoheshimu wahisani kwa kuwaita 'mabeberu' ambao kimsingi watusaidia kwwnye miradi ya elimu,miundombinu,afya(especially ARV)
iv/ haki za binadamu especially haki ya kulindwa yeye na watanzania wote
v/ sheria kandamizi mfano Marekebisho ya sheria ya maudhui ya mtandaoni(online content regulations) ambazo zinaweka masharti yanayokiuka haki ya kupata habari
vi/mahusiano ya kimataifa
 
Back
Top Bottom