Lissu heshimu NEC, kama unataka mdahalo njoo ufanye mdahalo na mimi

CCM hawana jipya Mwakabinga huna hoja kabisa huwezi kusema Lissu hajajiandaa, unafikiri inachukua muda gani kujiandaa. Hakuna force yoyote kwa Lissu, huna hoja kabisa na Lissu anashinda asubuhi October.
 
Hahahahahahaha eti yesu wa lugola ni ua la uwaridi. ZWAZWA kweli wewe!!! Tangu lini fisadi aliyekwapua nyumba za Serikali na kununua kivuko uozo akafananishwa na Waridi? :oops::oops:

Baadhi ya maneno aliyoyazungumza Mwakibinga

Kama Tundu Lissu anataka mdahalo aje afanya mdahalo na mimi (Mwakibinga). Lissu anataka mdahalo na Magufuli ili kukaa karibu na uwaridi aweze kunukia
 
Lissu ni dhaifu sana wa hoja,

Kazidiwa na uchapa kazii wa Magufuli hana cha kuzungumza kabakia kulia lia tu majukwaani

Ohh mara risasi mara sumu mara kikapanda maa kikashuka alimradi hana hoja ya kuegamia amebakia kituko tu huko majukwaani.
 
Binafsi nakufahamu na kijana smart lakini Lissu sio hadhi yako kabisa ni level za wakubwa zako. Wewe hata level za kina Malissa, Hilda newton au Abdulnondo bado. Hawa labda mwenyekiti Kher james, wakina ndio wanawaweza sikukwambia hao wakina Lissu.
 
Cheo hicho ulichopata hakikutoshi mpaka unataka kujikomba kwa Magufuli akuongezee kingine?
 
CCM hawana jipya Mwakabinga huna hoja kabisa huwezi kusema Lissu hajajiandaa, unafikiri inachukua muda gani kujiandaa. Hakuna force yoyote kwa Lissu, huna hoja kabisa na Lissu anashinda asubuhi October.
Yani kwa mawazo mgando unategemea atawale nchi hii. Hana uzalendo huyu hafai kabisa
 
Lisu ni dhaifu sana wa hoja,

Kazidiwa na uchapa kazii wa Magufuli hana cha kuzungumza kabakia kulia lia tu majukwaani

Ohh mara risasi mara sumu mara kikapanda maa kikashuka alimradi hana hoja ya kuegamia amebakia kituko tu huko majukwaani.
hebu fanyenni hima Lissu akutanishwe na huyo Pombe kwenye mdahalo tuone jinsi mataga mtakavyojiharishia dengu.
 
Lisu ni dhaifu sana wa hoja,

Kazidiwa na uchapa kazii wa Magufuli hana cha kuzungumza kabakia kulia lia tu majukwaani

Ohh mara risasi mara sumu mara kikapanda maa kikashuka alimradi hana hoja ya kuegamia amebakia kituko tu huko majukwaani.
CCM inapumulia mashine ICU ...Kama kweli Rais Magufuli Shujaa,Ajitokeze kwenye madhalo na Lissu...Lissu atamtoa kamasi mbele ya Camera za TBC.
 
Mwakibinga tulia kwanza, hebu mlete bothi wako uringoni...mbona unamkingia kifua.

Kwanza we kwa Lissu ni bwa mdogo saana!!
 
Baadhi ya maneno aliyoyazungumza Mwakibinga

Kama Tundu Lissu anataka mdahalo aje afanya mdahalo na mimi (Mwakibinga). Lissu anataka mdahalo na Magufuli ili kukaa karibu na uwaridi aweze kunukia

Kwani na Mwakibinga nae anagombea urahisi awe na heshima sasa hivi mwenyekiti wa chama chake ndiye wanagombea na Lissu kwahiyo Lissu siyo level yake
 
Lisu ni dhaifu sana wa hoja,

Kazidiwa na uchapa kazii wa Magufuli hana cha kuzungumza kabakia kulia lia tu majukwaani

Ohh mara risasi mara sumu mara kikapanda maa kikashuka alimradi hana hoja ya kuegamia amebakia kituko tu huko majukwaani.
Wakutane tujiamulie wenyewe vinginevyo tutajua nani anamhara nani.
 
Back
Top Bottom