Uchaguzi 2020 Lissu aweza kuwanadi wagombea Ubunge & Udiwani

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,921
31,155
Wakuu heshima sana,

Sheria Number 5 ya mwaka 1992 viongozi ngazi ya kitaifa wa fursa ya kuwanadi wagombea Ubunge & Udiwani nchi nzima.

Kwakuwa Tume ya Uchaguzi imemzuia Lissu kufanya kampeni kwa siku saba, Lissu atatumia nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti Taifa kuwanadi wagombea Ubunge na Udiwani.

Ukijua hili wenzako wanajua kule

Ngongo safarini Zanzibar Kibanda maiti.
 
Lissu hana sababu za kuacha kampeni kwa kufuata matamko yasiyofuata sheria, hao NEC wanatakiwa kumuandikia Lissu ayajue makosa yake, na wampe nafasi ya kujitetea kabla ya kukimbilia kumuadhibu. Hao NEC kama hawazijui sheria zinazoihusu ofisi yao wamuulize Lissu huyo huyo atawafundisha.
 
Vipi kuhusu haki stahiki anazopewa na dola akiwa kama mgombea urais (mfano ulinzi ), je ataendelea kupewa akianza kupiga kampeni kama m/mwenyekiti?

Kama jibu ni hapana. Itakuwaje kuhusu usalama wake?
 
Lissu anaendelea na kampeni kama kawaida
1601659400_1601659400-picsay.jpg
1601659376_1601659375-picsay.jpg
 
Tundu Lissu amefungiwa kushiriki kampeni kama mgombea urahisi kwa uamuzi uliojaa utata na mapungufu makubwa ya kisheria.

Wakati huu Lissu atakao kuwa amefungiwa kama mgombea urais, Lissu atarudi kwenye cheo chake kama Makamu mwenyekiti Taifa hivyo siku hizo 7 atazitumia kuzungukia Wagombea ubunge na udiwani na kuwanadi.

Adhabu hii ni bonge la mistake iliyofanywa na NEC na CCM bila kujua kuwa Lissu sasa atatembelea maeneo bila ratiba maalum na kufanya damage kubwa kwa wapinzani wake.

Kweli uchaguzi huu kuna mpango was Mungu ndani yake.
 
Back
Top Bottom