Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,498
- 51,092
Katika hotuba yake nzito aliyoitoa Dodoma jana, Tundu Lissu aliwapa tafakuri nzito sana wananchi wa Dodoma juu ya unanyasaji, uonevu na ukatili mkubwa uliofanyika katika utawala wa serikali hii ya awamu ya Tano.
Akizungumza kwa kurejea madhila yaliyowakumba wananchi, kyanzia kupotea kwa Ben Saa Nane, kuuawa kamanda mawazo na Matukio yaliyotokea Mkuranga na Kibiti, Lissu amesema kuna haja kama Taifa kujitafakari na kuona kuwa kuna umuhimu wa kuiondoa serikali hii ya Magufuli adarakani na kuweka nyingine ambayo haitofanya mambo hayo ya kuumiza watu kama yaliyofanyika chini ya utawala wa awamu hii.
Lissu alikuwa na haya ya kusema: