Uchaguzi 2020 Lissu aungwe mkono kwa vitendo si maneno tu

Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
50,001
86,250
Of course kwenye hilo la Chadema kuamini mtu badala nakuunga mkono.

Hiyo ni formula ya kiulimwengu, hata waisilamu na wakristo wanaamini mtu ambao ni Mohamed SAW NA Yesu kristo. Leo hii Yesu na Mtume wafufuke na kuanzisha dini nyingine, uone kama uisilamu na ukristo atabaki mtu. Slaa alikuwa na uwezo wa kuondoka na watu iwapo angehamia chama kingine cha upinzani, lakini alipokubali kufunga ndoa na ccm, ndio maana leo akiongea na watu waliokuwa wakimuamini akiwa cdm anaonekana kichekesho, hata hoja zake ziwe na mashiko vipi, bado anaonekana kichekesho tu.
 
Tz mbongo

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
10,855
5,222
Ila siasa zinatia wendawazimu sana,utaona hapa baada ya uchaguzi tutaanza kusikia lawama zilezile za siku zote ila nyakati hizi za kampeni unasikia mengi unawezankusema kutakuwa na mabadiliko.
 
Kitwa-Mulomoni

JF-Expert Member
Oct 25, 2016
1,777
1,109

Tukumbuke kuwa Tundu Lissu alivuliwa ubunge akiwa mgonjwa na wala hakulipwa kiinua mgongo. Tusiache kumchangia mafuta na maji ya kunywa katika safari ya ukombozi.

Wote tujitokeze kumpigia kura 28/10/2020.
Walimu 13,000 mliopata ajira juzi. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.
Wamachinga, sasa mmeambiwa kitambulisho si muhimu. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.

Wakulima, mtapata nafasi ya kutafuta masoko yenye tija nchi jirani kwa ushirika wenu. Kura zenu kwa Lissu zitafanikisha haya.

Wanafunzi, mikopo ya elimu ya juu hata kwa walio soma English Medium. Mpeni kura Tundu Lissu.

Huduma bora za afya kwa wote. Kura kwa Tundu Lissu.

Mliobomolewa nyumba bila fidia, kura zenu kwa Lissu zitamuwezesha kufuta machozi yenu.

Wafanyakazi Lissu ameahidi kuhakikisha ongezeko la mishahara linafanyika kila mwaka. Kura yako itafanikisha haya.

Na waliobaki (ambao hawakutajwa hapo juu), kura zenu mpe Magufuli - ndiyo maana tumesema ushindi ni zaidi ya 85%.
 
Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
9,413
8,645
Kimsingi Lissu anasaka kura za huruma.

Suala usaliti na lengo la kuivurugaTanzania halijaisha vichwani mwa Watanzania

Mpaka sasa anasuswa na Mwenyekiti wake ujue hatopata kura za kujaa hata kikombe
Ukweli ni kwamba CCM mmeugua mpaka basi, mwenyekiti wenu kalegeaaaaa mpaka anavuja maji kila palipo na tundu hii ni kumaanisha mpaka tigo inadondosha maji hatareeee!!
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
5,988
10,343Tukumbuke kuwa Tundu Lissu alivuliwa ubunge akiwa mgonjwa na wala hakulipwa kiinua mgongo. Tusiache kumchangia mafuta na maji ya kunywa katika safari ya ukombozi.

Wote tujitokeze kumpigia kura 28/10/2020.
Walimu 13,000 mliopata ajira juzi. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.
Wamachinga, sasa mmeambiwa kitambulisho si muhimu. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.

Wakulima, mtapata nafasi ya kutafuta masoko yenye tija nchi jirani kwa ushirika wenu. Kura zenu kwa Lissu zitafanikisha haya.

Wanafunzi, mikopo ya elimu ya juu hata kwa walio soma English Medium. Mpeni kura Tundu Lissu.

Huduma bora za afya kwa wote. Kura kwa Tundu Lissu.

Mliobomolewa nyumba bila fidia, kura zenu kwa Lissu zitamuwezesha kufuta machozi yenu.

Wafanyakazi Lissu ameahidi kuhakikisha ongezeko la mishahara linafanyika kila mwaka. Kura yako itafanikisha haya.

Watumishi wote wa umma kwa ujumla wenu pamoja na mapolisi kura zenu ni kwa Tundu Lissu.
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
15,665
21,266
Wewe wewe ndio huna akili, hivi hujaambiwa?
Ubeligiji alienda matibabu, na ni nyie mliomcharaza risasi kama tembo. Mlitaka afe.

Na huyo anayejiona mzalendo, Hivi yeye anamsema Lissu kwa mazuri yapi ?!. Kumuita kibaraka ?
 
monanja

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
311
89
Nahisi kwa hali ya maisha watu walio yaona kipindi hiki cha miaka mitano ya bwana huyu kwamba hakuna ajira kwa miaka 5 na biashara kudorola kwa miaka yote hiyo watakua wamejifunza jambo..
 
monanja

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
311
89
Hata ubelgiji ajira ni tatizo, na hapa huyu wamemtuma ashinde ili wao wapate...
Hivi watu wengine wanafikiria kwa kutumia nini jamani?? au unafaidika nn na mfumo uliopo? WW jaribu kuangalia hata CCM wenyewe hawamtaki wamebaki wapiga mapambio wacahche sijui wa wapi?
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
16,976
28,546
Hivi watu wengine wanafikiria kwa kutumia nini jamani?? au unafaidika nn na mfumo uliopo? WW jaribu kuangalia hata CCM wenyewe hawamtaki wamebaki wapiga mapambio wacahche sijui wa wapi?
Maqmuzi yote ni October 28
 
Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,359Tukumbuke kuwa Tundu Lissu alivuliwa ubunge akiwa mgonjwa na wala hakulipwa kiinua mgongo. Tusiache kumchangia mafuta na maji ya kunywa katika safari ya ukombozi.

Wote tujitokeze kumpigia kura 28/10/2020.
Walimu 13,000 mliopata ajira juzi. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.
Wamachinga, sasa mmeambiwa kitambulisho si muhimu. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.

Wakulima, mtapata nafasi ya kutafuta masoko yenye tija nchi jirani kwa ushirika wenu. Kura zenu kwa Lissu zitafanikisha haya.

Wanafunzi, mikopo ya elimu ya juu hata kwa walio soma English Medium. Mpeni kura Tundu Lissu.

Huduma bora za afya kwa wote. Kura kwa Tundu Lissu.

Mliobomolewa nyumba bila fidia, kura zenu kwa Lissu zitamuwezesha kufuta machozi yenu.

Wafanyakazi Lissu ameahidi kuhakikisha ongezeko la mishahara linafanyika kila mwaka. Kura yako itafanikisha haya.

Apo umesahau kura muhimu karibia kuliko zote ambao ni wafanya biashara wa nchi hii wamenyanyasika sana miaka hii mi5
 
Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,731
3,710Tukumbuke kuwa Tundu Lissu alivuliwa ubunge akiwa mgonjwa na wala hakulipwa kiinua mgongo. Tusiache kumchangia mafuta na maji ya kunywa katika safari ya ukombozi.

Wote tujitokeze kumpigia kura 28/10/2020.
Walimu 13,000 mliopata ajira juzi. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.
Wamachinga, sasa mmeambiwa kitambulisho si muhimu. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.

Wakulima, mtapata nafasi ya kutafuta masoko yenye tija nchi jirani kwa ushirika wenu. Kura zenu kwa Lissu zitafanikisha haya.

Wanafunzi, mikopo ya elimu ya juu hata kwa walio soma English Medium. Mpeni kura Tundu Lissu.

Huduma bora za afya kwa wote. Kura kwa Tundu Lissu.

Mliobomolewa nyumba bila fidia, kura zenu kwa Lissu zitamuwezesha kufuta machozi yenu.

Wafanyakazi Lissu ameahidi kuhakikisha ongezeko la mishahara linafanyika kila mwaka. Kura yako itafanikisha haya.

:D:D:D:D:D:D:D

Dadaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa naona upoooooooooooooo upooooooooooooooooooooooooo

Wajifya
 
bonabana

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
378
459
Kimsingi Lissu anasaka kura za huruma.

Suala usaliti na lengo la kuivurugaTanzania halijaisha vichwani mwa Watanzania

Mpaka sasa anasuswa na Mwenyekiti wake ujue hatopata kura za kujaa hata kikombe
Wahaya kama wahaya atutaki ujinga tumempa Makavu Live boss wako atumpi kura zetu.
 
Bhikalamba

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
1,234
1,589Tukumbuke kuwa Tundu Lissu alivuliwa ubunge akiwa mgonjwa na wala hakulipwa kiinua mgongo. Tusiache kumchangia mafuta na maji ya kunywa katika safari ya ukombozi.

Wote tujitokeze kumpigia kura 28/10/2020.
Walimu 13,000 mliopata ajira juzi. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.
Wamachinga, sasa mmeambiwa kitambulisho si muhimu. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.

Wakulima, mtapata nafasi ya kutafuta masoko yenye tija nchi jirani kwa ushirika wenu. Kura zenu kwa Lissu zitafanikisha haya.

Wanafunzi, mikopo ya elimu ya juu hata kwa walio soma English Medium. Mpeni kura Tundu Lissu.

Huduma bora za afya kwa wote. Kura kwa Tundu Lissu.

Mliobomolewa nyumba bila fidia, kura zenu kwa Lissu zitamuwezesha kufuta machozi yenu.

Wafanyakazi Lissu ameahidi kuhakikisha ongezeko la mishahara linafanyika kila mwaka. Kura yako itafanikisha haya.

Wafanyabisshara kodi itatokana na mapato yako, hakuna kodi za kukomoana. Mwezesheni Lissu kufanikisha haya.

CC: Ally Bananga
Tumaini Makene
CHADEMA
Huu ujumbe wa Sky Eclat yawe ni maneno ya utangulizi ya kampeni meneja wa Lissu kabla mzee baba mwenyewe Lissu hajasimama
 
Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
2,295
2,979
Hiyo ni formula ya kiulimwengu, hata waisilamu na wakristo wanaamini mtu ambao ni Mohamed SAW NA Yesu kristo. Leo hii Yesu na Mtume wafufuke na kuanzisha dini nyingine, uone kama uisilamu na ukristo atabaki mtu. Slaa alikuwa na uwezo wa kuondoka na watu iwapo angehamia chama kingine cha upinzani, lakini alipokubali kufunga ndoa na ccm, ndio maana leo akiongea na watu waliokuwa wakimuamini akiwa cdm anaonekana kichekesho, hata hoja zake ziwe na mashiko vipi, bado anaonekana kichekesho tu.
Acha kubwabwaja mifano ya isiyo na mashiko. Unalinganisha watu na Yesu au Mtume Mohamed!

Nguvu ya Slaa na hekima zake ni pengo kubwa sana kwa Chadema. Kata usikatae, tumia akili kudefend hoja za msingi.
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
50,001
86,250
Acha kubwabwaja mifano ya isiyo na mashiko. Unalinganisha watu na Yesu au Mtume Mohamed!

Nguvu ya Slaa na hekima zake ni pengo kubwa sana kwa Chadema. Kata usikatae, tumia akili kudefend hoja za msingi.

Ww ni mke wa Slaa nini? Kwani Yesu na mtume sio watu? Punga mjane ww.
 
57 Reactions
Reply
Top Bottom