cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,317
- 7,509
Non sense, Nimesoma International Criminal Law sambamba na International Humanitarian Law.Hakuna matching elements yyt kwa hapa kwetu Tanzania ambayo inaashiria kuwepo kwa international crimes !Inawezekana kabisa. Kinachotakiwa ni kwanza ni majibu ya maswali haya:
• Kuna mauaji na mateso ya raia?
• Serikali na ilichukua hatua ya kuchunguza na kuwafikisha watuhumiwa kwenye vyombo vya sheria (mahakama)?
Kama kuna uthibitisho kuwa kuna mateso na mauaji ya raia yenye sura ya kuratibiwa na kufadhiliwa na dola na kutekelezwa, yet serikali haikuchukua hatua yoyote....
Na kama kweli mtu binafsi anaweza kufungua shauri, then hili jambo kumbe linawezekana!!
Kwa upande mwingine, kisheria kwa zile za ndani na za kimataifa, Tundu Lissu sina shaka naye kabisa. Anaweza tena zaidi ya kuweza hadi kwenye ushindi!!
Hapa Lissu hayuko peke yake bali ana support ya watu wengi tu wasiopenda ukatili wa Magu na vibaraka wake.Inawezekana kabisa. Kinachotakiwa ni kwanza ni majibu ya maswali haya:
• Kuna mauaji na mateso ya raia?
• Serikali na ilichukua hatua ya kuchunguza na kuwafikisha watuhumiwa kwenye vyombo vya sheria (mahakama)?
Kama kuna uthibitisho kuwa kuna mateso na mauaji ya raia yenye sura ya kuratibiwa na kufadhiliwa na dola na kutekelezwa, yet serikali haikuchukua hatua yoyote....
Na kama kweli mtu binafsi anaweza kufungua shauri, then hili jambo kumbe linawezekana!!
Kwa upande mwingine, kisheria kwa zile za ndani na za kimataifa, Tundu Lissu sina shaka naye kabisa. Anaweza tena zaidi ya kuweza hadi kwenye ushindi!!
Ingawa ana "alergy" na kupanda ndege, itamlazimu tuu akwee pipa!
Acha maneno tetea hoja yako.Non sense, Nimesoma International Criminal Law sambamba na International Humanitarian Law.Hakuna matching elements yyt kwa hapa kwetu Tanzania ambayo inaashiria kuwepo kwa international crimes !
Sent using Jamii Forums mobile app
ICC hawahangaiki na uhalifu wa mtu mmoja mmoja.... Ili iingie lazima pawepo na dalili na viashiria vinavyoonyesha kwamba kuna jamii fulani inatishiwa uwepo wake...
Hyo roman wani (i) umeandika wewe kweli au Mods wamekuchomekea; mbona kama haujaionaNi propaganda tu maana ,Under international criminal law ICC ina mamlaka (Jurisdiction) ya kuskiiza mashtaka manne tu,
i) Genocide
ii) Aggression
iii) War Crime
iv) Crime against Humanity.
Ambayo hakuna lolote kati ya halo Tanzania au viongoz wake wanaeza kuwa charged of.Pili, ICC kwa mujibu wa Rome Statute ambayo ndio imeanzisha hii mahakama haina primary jurisdiction kudeal na hayo makosa ni mpaka kuwe na mazingira yafuatayo.
i) Trigger mechanism endapo mahakama na mamlaka za ndani zimeshindwa kuendesha mashtaka dhidi ya wahusika wa makoswa tajwa hapo juu,
ii) By UN SECURITY COUNCIL REFERRAL kwamba balaza la usalama la umoja wa mataifa lipitishe azimio na kuiamuru mahakama ya ICC kuanza uchunguzi kitu ambacho pia kwetu hakipo.
Nadhani ni siasa na propaganda tu kama Maalim Seif kwenda ICC kupinga uchaguzi wa Zbar
#MababichaAkiliZaoZimejaaVumbiKichwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, mchakato umeshaanza. Huyu hatoki, kabla nchi haijajitoa atakua tayari keshatiwa nyavuni!Tusishangae sana Jiwe akiagiza Tanzania ijitoe kwenye mkataba wa ICC!!
Non sense, Nimesoma International Criminal Law sambamba na International Humanitarian Law.Hakuna matching elements yyt kwa hapa kwetu Tanzania ambayo inaashiria kuwepo kwa international crimes !
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushoga mbona nyie ndio mnauendekeza? Kule uvccm nasikia mumeharibu sana watoto wa watu, zaidi ya 70% ya vijana mnawashikisha ukuta na kubwa lao lile lenye mabwana mpaka Mombasa mmelipa ukatibu mkoa! Kina DAB wamefyatua hadi kibinda nkoi kamzidi Snura. Halafu Lissu anazungumzia sheria zetu mnageuza maneno kwa vile lugha aliyotumia hamuielewi mnajuwa intaperenyuwa tuu basi mnageuza maneno maneno tuuMwambie TL aulize ushauri kwanza kwa Maalim Seif aliahidi kufungua kesi huko baada tu ya uchaguzi 2015, keshaenda mpaka huko UNO na mwaka huu 2019 tuna ingia duru nyingine ya uchaguzi bila ya mrejesho.
Haya mambo yana gharama zake TL na jeuri na dharau zake tele kainamishwa na sasa bila soni anapigia chapuo Ushoga si mchezo mchezo.
Na ICC ina njia kuu tatu za kupata mashauriMkuu, mchakato umeshaanza. Huyu hatoki, kabla nchi haijajitoa atakua tayari keshatiwa nyavuni!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo namba 1 naomba iandike kwa kiingerezaNa ICC ina njia kuu tatu za kupata mashauri
1. Malalamiko yaliyowasilishwa na Nchi
2. Azimio la UNSC
3. Uchunguzi unaoanzishwa na mwendesha mashtaka.
Sent using Jamii Forums mobile app