Uchaguzi 2020 Lissu asiachwe aeneze uchochezi huu

Lissu hana tofauti na wakina Kambona wa enzi za Nyerere. Hivi Nyerere angecheka na akina Kambona leo Tanzania tungekuwa wapi?

Lissu kurudi Tanzania wengine bado tunashangaa imekuwa kuwaje? Kambona alikaa huko uhamishoni akarudi Tanzania akakaa kwa heshima kusubiria kufa tu. Hata akina Babu ilikuwa hivyo hivyo. Sasa huyu Lissu anayezunguka akipayuka na kumkashifu Rais ni nani hasa.?
Akili changa hii.
 
Nadhani hapa serikali inatakiwa impate aliyemshambulia Lisu ili kulifuta hili wingu, angalau waseme tuu uchunguzi/upelelezi wake umefikia wapi.
Mna dogo nyie alivyokamatwa dereva tax kuhusu inshu ya Mo Dewj mlisema uongo bado mkaipa lawama serikali ,sasa huyu kwa sababu kalidhalilisha jeshi letu kuwa halina shabaha wakati imeshinda nafasi ya pili kwa kulenga shabaha leo imkose Lissu kwa mbinu za kishamba huyo si unamtia sumu then anapotea mdo mdo.
Yani mimi ningekuwa ndio Mkuu wa Majeshi au Waziri wa Ulinzi basi ningepanga upya kwa maslahi mapana ya Taifa letu ningempiga na RPG abaki majivu.
Lilipokuwa nje nililikuwa linaongea kwa mafumbo ila sasa limeongea LIVE litafungwa ngoja uchaguzi uishe ataita Maji mma stay tune tarehe 4/11/2020 , 5/11/2020 mjomba anaapishwa.
 
Lissu mjanja, hiyo kesi kama
itakuwepo anashinda kirahisi sana, na walio makini wameona hawezi patikana na kosa ndio maana wamekaa kimya.

Rudia kusikiliza hiyo video uone kama unaweza kumshinda kama utamfungulia kesi.
 
Raisi anayemaliza muda wake John Joseph Pombe Magufuli amuamuru Mkuu wa Tume ya Uchaguzi Wilson Mahera na yule mwenzake wa ZEC wayatangaze Majina ya walioshindwa kuwa ndio washindi

Vile vile kaamuru IGP apige Wananchi kadri awezavyo

Balozi wa EU na UK na Fatou Bensouda waonya Machafuko
 
Uzuri wake wakati wa KUJA kutubu u karibu sana. D DAY 28/10
Mama Samia katwambia kuwa huwa mnaua kabisa kwa risasi zisizo zidi tatu.
Kumbe ndio maana alitumwa kwenda kuthibitisha kama KWELI bado yu hai.
Hilo la D-Day 28/10 ndilo neno la maana hapo; tusubiri ila tusije kukimbiana au kuanza visingizio na matusi humu!
 
Lisu ataishia jera huyu

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Segera kunamhusu kwani amekuwa anasema maneno ya ku-incite fujo na chuki kama walivyokuwa wakifanya ndugu zake huko nchi za jirani na wote wameishia ICC. Naye kutamhusu ila hajui kwa vile anamtegemea Amsterdam, akidhani huyo The Hague haiwezi kumhusu! Lissu asubiri tu atakiona cha mtema kuni kwa hayo maneno yake ya kuhamasisha chuki ndani ya jamii yetu.
 
Waswahili husema ndege mmoja aliye mkononi ni bora kuliko ndege mia walio juu ya mti. Hakuna aliyewahi kulisemea jambo hilo kwa hiyo aliyepatwa na masaibu hayo akisema wote watamsikiliza. Unapoenda kumbishia mahakamani ni lazima uende na ukweli kwamba "sio hivi bali ukweli ni huu". Ukimwambia mwanafunzi kwamba hilo jibu sio sahihi maana yake jibu sahihi unalo. Chunga sana hapo, lazima ukampeleke wa kweli maana huyo siye ila ni fulani.
 
Wanaukumbi!

Lissu alikuwa wapi siku zote hadi aje sasa kusema hivi?

Kwa nini anamzushia Mh Rais mambo ya hovyo,uongo na uzandiki mkubwa namna hii?

Rais kikwete aliwahi kusema CHADEMA wanakiwanda cha uongo basi hii ndio product.

Lisu asiachwe aeneze uchochezi huu.


View attachment 1610438

Mtakumbuka kuwa tangu Tundu Lissu ashambuliwe hapa Dodoma hakuwahi kusema nani alikuwa nyuma ya tukio lile zaidi ya kusema makonda alikuwepo Dodoma kitu ambacho kilionekana kama uzushi tu na alikaa miaka yote bila kusema nani alipiga au kusema kama serikali ilihusika au la.

Jana mkoani lindi Lissu kaibuka na hii hoja inayoonekana kama kiki tu, Lissu ni mwanasheria hapa anajua hana ushahidi wa jambo hili analomtuhumu Rais, huku akijua baada ya kampeni atajibu hili mahakamani.

Naviomba vyombo vya uchuguzi vimuache amalize kampeni asipate kiki ila akimaliza wamtaiti mpaka aache kuropoka.


USSR
Mfamaji hakosi kutapatapa,hizo ni dalili za kuishiwa mbinu na adhabu yake ni kumpigia kura sifuri ili ajue watz hawafungamani na mbinu zake chafu
 
..Igp anadai TL alikaidi wito wa polisi kwenda kutoa ushahidi.

..je, ni kwanini Igp hakumkamata TL kwa kosa la kukataa kutoa ushahidi kwa polisi?
 
Back
Top Bottom