Uchaguzi 2020 Lissu asiachwe aeneze uchochezi huu

Mwambieni Magufuli amkamate ndio mtajua hamjui bado,Mahakimu si kawateua yeye,ampeleke mahakamani tuone
Mkuu acha mahakimu, leo Maafisa waandamizi wa JWTZ wamemuambia CDF Mabeyo kwamba analihiriki Jeshi, ameliingiza kwenye siasa chafu za ccm
 
Sisi tunachowezakusema ni hiki - kuwa Lissu alipigwa risasi hizo 16 za ndege na wenzake kwa lengo la kumfanyia njia ya kwenda Ulaya kutayarishwa kwa haya afanyayo na asemayo kwa nia na lengo OVU na kutaka kuichokza Serikali na vyombo vya dola, LAKINI wote wanajua anachotafuta, hivyo wameamua kumnyamazia tu!
Wala hakuna anae wachokoza mnajichokoza wenyewe.
 
Kwa nini anamzushia Mh Rais mambo ya hovyo,uongo na uzandiki mkubwa namna hii?
Una hakika gani kwamba anazushiwa na kwamba ni uongo na uzandiki?
Lisu asiachwe aeneze uchochezi huu ?
Inafikirisha au siyo. Hawana namna...
Naviomba vyombo vya uchuguzi vimuache amalize kampeni asipate kiki ila akimaliza wamtaiti mpaka aache kuropoka
Eti anaropoka, hivi mropokaji-in-chief humjui? Subirini safari hii mtakuwa wapole kama mmemwagiwa maji baridi. Maji yanachemka jikoni.
 
Una hakika gani kwamba anazushiwa na kwamba ni uongo na uzandiki?

Inafikirisha au siyo. Hawana namna...

Eti anaropoka, hivi mropokaji-in-chief humjui? Subirini safari hii mtakuwa wapole kama mmemwagiwa maji baridi. Maji yanachemka jikoni.
Wewe dada hujielewi kabisa
 
Kuna mahakama gani ya kushughulikia huo ukweli wa Lisu hapa nchini? Alichosema Lisu ni ukweli kwa 100%. Na hili wananchi wote wanalijua, ila kwa sasa wako kimya kuhofia usalama wao. Imeisha hiyo.
Hata muanzisha mada anaujua ukweli huu vilivyo.
 
Unajua sababu za Chadema na Lissu kumficha shahidi namba moja aliyekuwepo eneo la tukio!? Shahidi namba moja ni dereva wake Lissu aliyekuwepo kwenye eneo la tukio nakulishuhudia kwa macho!
Acha utoto, Dereva wa Lissu anaouwezo gani wa kuamrisha askari wanaolinda lango la nyumba za viongozi kwa masaa 24 siku saba za wiki siku ile waondoke katika lindo hilo?.
 
Ni wajinga tu wasiojua kuwa alichokisema ni ukweli unaojulikana uliokosa mtu jasiri wa kuusema
 
Serikali inashughulika pale wanapo uawa au kuumizwa wanaccm. Hapo watakamatwa kama wote tena wa upinzani tu .
Hapo utasikia bwana Pole pole anatoa maagizo kwa jeshi la polisi,
Huko nyuma inasadikiwa Alphonce Mawazo aliuawa mchana kweupe.
Kwa kweli kuna sababu ya watanzania kudai haki na uhuru,
vikipatikana hivyo amani yetu itadumu.
 
Sisi tunachowezakusema ni hiki - kuwa Lissu alipigwa risasi hizo 16 za ndege na wenzake kwa lengo la kumfanyia njia ya kwenda Ulaya kutayarishwa kwa haya afanyayo na asemayo kwa nia na lengo OVU na kutaka kuichokza Serikali na vyombo vya dola, LAKINI wote wanajua anachotafuta, hivyo wameamua kumnyamazia tu!

#akili ndogo mtaji wa ccm
 
Jitihada za kubana demokrasia zimegonga ukuta, hoo! mpaka mwaka 2025 walidhani mbali sana,sasa hii hapa, jasho litawatiririka
 
Lakini nadhani pia Kauli ya Lisu ni kama amekuwa provoked! Nadhani inabidi ujiandae sana ili umzingue yule mwamba.sababu ana majibu mabovu mnooo.unaweza ukapata kiharusi
Muda wote amekuwa akizungumzia kushambuliwa kwake bila kumnyoshea mtu kidole. Naona ametibuliwa.
 
Back
Top Bottom