Uchaguzi 2020 Lissu asiachwe aeneze uchochezi huu

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,894
22,657
Wanaukumbi!

Lissu alikuwa wapi siku zote hadi aje sasa kusema hivi?

Kwa nini anamzushia Mh Rais mambo ya hovyo,uongo na uzandiki mkubwa namna hii?

Rais kikwete aliwahi kusema CHADEMA wanakiwanda cha uongo basi hii ndio product.

Lisu asiachwe aeneze uchochezi huu.




Mtakumbuka kuwa tangu Tundu Lissu ashambuliwe hapa Dodoma hakuwahi kusema nani alikuwa nyuma ya tukio lile zaidi ya kusema makonda alikuwepo Dodoma kitu ambacho kilionekana kama uzushi tu na alikaa miaka yote bila kusema nani alipiga au kusema kama serikali ilihusika au la.

Jana mkoani lindi Lissu kaibuka na hii hoja inayoonekana kama kiki tu, Lissu ni mwanasheria hapa anajua hana ushahidi wa jambo hili analomtuhumu Rais, huku akijua baada ya kampeni atajibu hili mahakamani.

Naviomba vyombo vya uchuguzi vimuache amalize kampeni asipate kiki ila akimaliza wamtaiti mpaka aache kuropoka.


USSR
 
Acha upumbavu wewe sababu nyinyi ndio mnamzushia uongo kiongozi wetu Mh Tundu Lissu.

Ushoga mmeubariki nyinyi alafu mnamsingizia! Rejea mlivyomkana makonda mkaandika na barua kuwabembeleza mabeberu kuwa mashoga na wasagaji wapo huru Tanzania.

Mkaja tena na uzushi wenu kuwa anatumika na mabeberu ila chaajabu rasilimali karibu zote mlishawapa hao mabeberu.
CCM siku hizi haina tofauti na kikundi cha wahuni
 
Too late 😂😂😂🤣🤣 tulizeni mishono mlisema ati dakta Magufuli anapendwa hakuna haja ya kufanya kampeni ati mtabadilisha Katiba ili aendelea kutawala mpaka afie Ofisini yako waapi?

Makonda alithubutu kusema atawazaba Makofi wafanyakazi wa Serikali tena mbele ya Vyombo cha Habari yako wapi?

Makonda alitumwa kumzaba Makofi Jaji Sinde Warioba kwa sababu ya Katiba Mpya Leo yako wapi?

Tanzania sio Mali ya Wahuni wachache Tanzania ni Nchi yetu sote.
.
 
Najua siku ya matokeo atakuwa mpakani kenya.
Labda awekewe ulinzi
 
Lissu hana tofauti na wakina Kambona wa enzi za Nyerere. Hivi Nyerere angecheka na akina Kambona leo Tanzania tungekuwa wapi?

Lissu kurudi Tanzania wengine bado tunashangaa imekuwa kuwaje? Kambona alikaa huko uhamishoni akarudi Tanzania akakaa kwa heshima kusubiria kufa tu. Hata akina Babu ilikuwa hivyo hivyo. Sasa huyu Lissu anayezunguka akipayuka na kumkashifu Rais ni nani hasa.?
 
Umesema lissu hakusema waliohusika kumpiga risasi, me nadhani kwa kipindi kile asingeweza kwa kua alikuwa anapambana kukishinda kifo pili nahisi aliviachia vyombo vya usalama vifanye kazi yake

Lkn kwanini anatuhumu sasa?
1. Pengine anaona vyombo vya usalama vimeshindwa kumsaidia
2. Sasa ameshapona aona aseme anachohic kuwa ndiyo sababu ya yeye kupata masahibu hayo.
 
Mtakumbuka kuwa tangu Tundu lisu ashambuliwe hapa Dodoma hakuwahi kusema nani alikuwa nyuma ya tukio lile
Hahahaa kwa hiyo Lissu aliyeshambuliwa anatakiwa aseme nani kamshambulia? Lakini hii CCM kitu inachowafanya nyie watu Mungu anajua. Akili yote imekuwa corrupted. Mafuvu mmebebea nywele tu hamna akili hata moja.
 
Back
Top Bottom