Lissu: Ushauri Kuwa CHADEMA ianzishe Jeshi ni wa kijinga

Chahali wakati Rais Magufuli ameingia Madarakani ulikuwa mpiga debe wake mkubwa sana. Baadae ukaja tujulisha umma kiwa Kinana amekudhulumu mamilioni ya Shilingi baada ya kutokulipa kwa kumfanyia kampeni Magufuli 2015. Baadae ukaja geuka kuwa mkosoaji wake mkubwa.

Kwa sasa Ni mpiga debe mkubwa Rais Samia. Tujifunze kutokana na Historia?
si hata chadema nao ni pro-samia isipokuwa mambo machache sana.

chadema wana ugomvi na timu inayomzingira samia sio samia. na ndio maana wamesema hawatasimamisha mgombea 2025
 
Huu ndio uzuri wa CHADEMA hoja inajibiwa kwa hoja ingelikuwa CCM ungesikia anapingana na mwenyekiti yaani wanajibu hoja kwa marungu.

Askofu Gwajima anasema kamati imependekeza watu waaamue kuchanja au la na yeye anawashauri wachukue ushauri wa la.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kigogo pale Chadema ni kama nani?
 
kigo2 cdm,lissu ,Mr hai...wamepishana wapi !!??,naona saivi hawaaminiani tena,wameanza kuunguzana wao kwa wao,kipindi Cha magu walikuwa pamoja na ku run deals pamoja, soon after mama ku take over wakawa half half hivi kwenye ku run deals ,inaonekana baada ya mama ku take over ,kila mmoja akawa na interest zake tofauti na target zao za mwanzo.mr hai kwa Sasa ni suspect wa ugaidi na ninavyoona hii kitu haitamuacha salama ,alichokosea Mr hai ni kukubali ku run deals pamoja na kina kigo2,kuwa overtake kina kigo2 ni issue Sana,so Mr hai u did a big mistake to sign deal na kigo2 clue.kwa Sasa kigo2 amedukuwa data kibao za Mr hai,anachofanya ni ku toa update kiaina aina Kama vile anatoa ushairi kwa cdm kumbe ndo ana release one point after another kwa Yale aliyoyadukuwa kutoka kwa Mr hai.
 
Dogo unaota
 
Kigogo huko huko Twitter tumemuambia tugawane majukumu, yeye aanzishe kikundi cha kijeshi aingie msituni, cdm waendelee na siasa hizi hizi za ushindani wa hoja. Lengo ni kuiondoa ccm, cdm wakifanikiwa wataunda serikali, yeye akifanikiwa pia tokea huko msituni aunde serikali, lengo ni ccm itoke madarakani. Tunaona kapotea baada ya kukosa support aliyoitaka maana anaoongozwa na mihemko.
Hata kama ushauri wa kigogo ni sahihi siyo wa kuweka public
 
Back
Top Bottom