Lissu asema Hotuba ya Mama Samia ni ile ile ya Magufuli, sikubaliani nae

Lakini wafuasi wake wengi wameikubali hotuba ya mama,labda hayo ni maoni yake yeye Tundu Lisu.
Ajitathmini akiendelea na tabia yake ya kupingapinga kila jambo atazidi kupuuzwa hata na wafuasi wake!
 
Nimepitia maoni karibu yooye,ukimtoa behaviorist,wengine wooote wameshindwa kujadili hoja,zaidi ya kumshambulia mtoa hoja lisu,sijui jf inaelekea wapi,watu hawafanyi uchambuzi wa kile Nini kimeletwa,sijui kwa Nini.
 
Lissu ametoa maoni yake kuhusu hotuba ya Mama Samia bungeni na kusema ni ile ile Kama aliyotoa Magufuli bungeni mwaka 2020
Lissu anazidi kuchemka, sijui nj Nani anamlisha matango pori. Mama Samia kaja na hotuba yake nzuri na yenye kueleweka na sio kweli eti ni ile ile Kama ya Magufuli.
Lissu anapaswa kufahamu kuwa mama Samia hachafuki hata afanyaje.
Mama Samia kishakubalika na watanzania wote, hivyo Lissu yeye abaki kupiga porojo hukohuko Belgium.

View attachment 1761762
So??
 
Lissu kaongea ukweli nusu. Ukweli kamili ni kuwa hotuba ile ina vyanzo vyake viwili;

1. Hotuba ya Magu 2020 (ilani ya ccm)

2. Hotuba ya JK 2005

Ya Magufuli yamewekwa tu ili kunufaika na nyota yake na kuwafurahisha wananchi majukwaani na hayatatekelezwa. Bali yale ya Msoga ndiyo mambo halisi yatakayotekelezwa. Yale ya kusema wafugaji wapunguze idadi ya mifugo!

Kweli Mungu katuweza. Sijui kwa nini karuhusu jaribu hili. Yaani yaliyoshindwa enzi za jk leo ndiyo yanarudishwa kazini. Ngoja tusubiri. Kazi yake haina makosa.
 
Huyu Tundu Lisu ni mtata sana!
Sasa huyu Lissu ataungwa mkono na nani maana naona wa Ufipa wote wapo na Mama! Hata G.J. Malisa na Yericko Nyerer wapo na Mama. Mi namshauri arudi tu afanye kazi yake ya Uwakili na siasa awaachie akina Lusinde na Musukuma!
Malisa anasifia hotuba ,mzee wa MIGA na DJ wanapinga!!!

Majinga ,nyumbu,pumbafu kabisa
Malisa G.J anavizia uteuzi kutoka kwa Mama!
 
Kwa kiswahili cha MO TOWN yaani Moshi Mjini wanasema Tundu Lissu anamtia Mama Samia(Mh.Rais) JEFLA ili asije bweteka.
Ni imani yangu Lissu na woote wa vyama vya upinzani yumemkubali Mama mia kwa mia na imani imerudi.
Cha ajabu sasa hivi wapinzani ndiyo wamekuwa kama watawala.
Mdee na wenzake waje kwa wananchi watubu na waseme aliyefanya huo mchezo ili tuwasemehe na muhusila apelekwe kibenderani(Mahakamani)
 
Lissu ametoa maoni yake kuhusu hotuba ya Mama Samia bungeni na kusema ni ile ile Kama aliyotoa Magufuli bungeni mwaka 2020
Lissu anazidi kuchemka, sijui nj Nani anamlisha matango pori. Mama Samia kaja na hotuba yake nzuri na yenye kueleweka na sio kweli eti ni ile ile Kama ya Magufuli.
Lissu anapaswa kufahamu kuwa mama Samia hachafuki hata afanyaje.
Mama Samia kishakubalika na watanzania wote, hivyo Lissu yeye abaki kupiga porojo hukohuko Belgium.

View attachment 1761762
Ujuaji mwingine sasa unakuwa kama utaahira sasa! Yeye alitakaje? Mbona mama kuongea vizuri tu! Kwa kauli zake huwezi kumlinganisha na Magufuli, ukimsikiliza unasikia ubinadamu kabisa ndani ya huyu mama. Hebu wamwache afanye kazi bwana, eti Tundu Lissu naye anaweka masharti ya kuweka kurejesha nyumbani, kama hataki aache bwana!
 
Back
Top Bottom