Lissu asema hana nia ya kuwa Jaji bali kuwa Mbunge na Raisi wa TLS huku akibaki kuwa wakili

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
.Raisi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika Law Society Mhe Tundu Lissu amesema hana nia ya kuwa Jaji bali kuwa Mbunge na Raisi wa chama hicho huku akibaki wakili wa kujitegemea ili kuwatetea wananchi.

Tundu Lissu pia ameelezea kuhusu hatua za kisheria zinaendelea kabla kumvua uanachama Waziri Mwakyembe hoja ya kumvua uanachama wa TLS ataitwa na kuhojiwa kabla ya kuchukuliwa hatua.
 
Hana hekima na busara ya kuwa jaji hata siku moja, asizuge hana nia, ni kwamba hana sifa, mihemko na ujaji wapi na wapi??
Alishapoteza credibility kwa unafiki wa kumsafisha kwa dodoki mamvi.
 
Endelea kupiga vigelele sana uwezo wa Tundu Lissu kwa elimu yake anaweza kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania tuache mambo ya siasa kwenye maswala ya msingi .Akili ya Tundu ni sawa na wabunge 15 wa CCM

"kuna watu wanaipenda sheria lakini kunawatu sheria inawapenda mmojawapo Tundu lissu..."
nimequote tu makala flani.
 
Endelea kupiga vigelele sana uwezo wa Tundu Lissu kwa elimu yake anaweza kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania tuache mambo ya siasa kwenye maswala ya msingi .Akili ya Tundu ni sawa na wabunge 15 wa CCM
ACHA matusi ,,kwa yanayoendelea CHADEMA kwa sasa...huwezi sema TUNDU LISSU zimo kichwani.....
 
Tundu Lissu sio wa kumuamini, alisema tena kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, Lowassa akikatwa CCM, Chadema hatumpokei. Leo hii Lowassa amejaa tele ndani ya Chadema.
 
Hana hekima na busara ya kuwa jaji hata siku moja, asizuge hana nia, ni kwamba hana sifa, mihemko na ujaji wapi na wapi??
Alishapoteza credibility kwa unafiki wa kumsafisha kwa dodoki mamvi.
Kweli kabisa.

Kwa alivyo mhemukaji huyo hafai kabisa kuwa jaji.

Hata urais wa TLS hafai. Kura alizopata ilikuwa kura za komoa tu.

Kazi inayomfaa ni uanaharakati. Hapo nampa 100/100.
 
Tundu Antiphas Lissu ndo Raisi wa Tanganyika Law Society hilo halina pingamizi labda mkafungue kesi mahakamani kama kawaida yenu.
 
ACHA matusi ,,kwa yanayoendelea CHADEMA kwa sasa...huwezi sema TUNDU LISSU zimo kichwani.....
Wakati muwe mnaficha upumbavu wenu! Kwenye mada hizi kama huna hoja soma maoni ya watu wenye akili siyo lazima kuchangia.
Tundu Lissu sio wa kumuamini, alisema tena kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, Lowassa akikatwa CCM, Chadema hatumpokei. Leo hii Lowassa amejaa tele ndani ya Chadema.
 
Hana hekima na busara ya kuwa jaji hata siku moja, asizuge hana nia, ni kwamba hana sifa, mihemko na ujaji wapi na wapi??
Alishapoteza credibility kwa unafiki wa kumsafisha kwa dodoki mamvi.
Naona povu limekutoka...pole sana. Mwambieni huyo mwenyekiti wenu mtetea majangili, majambazi na mafisadi ya elimu nchi imemshinda apishe wenye akili zao timamu, taifa kuongozwa na mtu asiyejitambua wajibu wake ni hasara kwa taifa
 
Endelea kupiga vigelele sana uwezo wa Tundu Lissu kwa elimu yake anaweza kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania tuache mambo ya siasa kwenye maswala ya msingi .Akili ya Tundu ni sawa na wabunge 15 wa CCM
Hapo umekosea. Sema Lissu ni Sawa na wabunge 25 wa fisiem
 
Back
Top Bottom