Peter Dafi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 389
- 272
Kesi ya Uchaguzi Jimbo la Kilombero ya Hairishwa kwa Muda Mapema Leo baada ya Tundu lissu kutoa Taarifa Mahakamani kwamba! Police Kumi wanakagua Chumba chake cha Kulala.
Kesi hiyo inayosimamiwa na Jaji Lugazia Kesi # 6 ya Mwaka 2015 inayosimamiwa na Mawakili Onesmo Mpinzile na Bi Hajila Mungula.
Kesi hiyo ilikuwa Mlalamikaji Ndg Abubakar Asenga akitarajia kutoa Ushaidi wa Kesi hiyo Dhidi ya Mbunge Lijua Likali kupitia CHADEMA.
LISSU alisema Mbele ya Mahakama amevamiwa Hotelini Kwake na Hawezi kuendelea na Kesi mpaka Ajue kinachoendelea, Ivo Akamuomba Jaji Ahairishe Kesi mpaka Baadae.
Jaji alikubali Ombi lake na Mawakili wa upande wa pili hawakuwa na upingamizi.
Ingawa tulipofika Hotelini kwake hapakuwa na Chochote kinachoendelea kwani anadanganya na Sasa anadanganya mpaka mahakamani.
Lissu ameshikwa Kooni na hana pakutokea ivo ameamua sasa kuanza kuleta Siasa zisizo na Tija.