Lissu, anzisha chama tupate Chama cha Upinzani cha kweli

sasa nikwambie chama chenye unafiki grade 1 ni CCM.... watu wako mule kwa maslahi ya ULAJI.... angalau CDM ina wafuasi kutoka mioyoni mwao na si kutaka kuteuliwa maana hakuna nafasi za kuteuliwa
CCM tayari ni DUDE kubwa. Unafiki upo ila ndio bahati mbaya ni dude na ndio washika mpini. Walishamaliza kitambo kazi ya kuimarisha chama mpaka kwenye mizizi sasa wewe unaongea lissu kuanzisha chama sasa na utegemee kitaimarika soo, hatua za awali za uanzishaji chama hazitako unafiki, unafiki hauepukiki ila huja wakati chama kimeimarika.
Hata democrats na republicans kuna unafiki ila hivi vyama tayari ni MADUDE.
 
Naunga mkono hoja, CHADEMA imeniumiza moyo kuliko mapenzi.
Tundu Lissu anzisha Chama chako ma followers tupo.
Mtu anauza ramani ya vita ili apate ruzuku.
Hayupo tayari kwa mabadiliko ndio maana hata wakati was kampeni walikuacha upigane mwenyewe.
Chama cha mabeberu??? Hivi waliokuwa wanamlinda lisu wako wapi? Yule dada yuko wapi??
 
Haya ya Halima Mdee kama hawakufukuzwa basi nakushauri Tundu Lisu anzisha chama. Nina imani Kwa risasi 16 hutatusaliti.
Mnanikumbusha kisa cha Mwanampotevu kwenye Biblia.

Naona mnatamani nchi isiwe nanutulivu wa kisiasa. Hekaheka hazijengi nchi.

Mnataka kubomoa kabla ya kujenga
 
Haya ya Halima Mdee kama hawakufukuzwa basi nakushauri Tundu Lisu anzisha chama. Nina imani Kwa risasi 16 hutatusaliti.
Anti is not an asset ndani ya Chadema na hata nje ya chadema, yaani hata akiweza kuanzisha chama hakuna watakaye mfuata
 
Haya ya Halima Mdee kama hawakufukuzwa basi nakushauri Tundu Lisu anzisha chama. Nina imani Kwa risasi 16 hutatusaliti.
Kibaraka anakula kuku na Amsterdam huko Ubelgiji na aliondoka eti kwa sababu ya kutishiwa maisha sasa ataanzishaje wakati hayupo nchini?
 
Naunga mkono hoja, CHADEMA imeniumiza moyo kuliko mapenzi.
Tundu Lissu anzisha Chama chako ma followers tupo.
Mtu anauza ramani ya vita ili apate ruzuku.
Hayupo tayari kwa mabadiliko ndio maana hata wakati was kampeni walikuacha upigane mwenyewe.
Tatizo Lisu alikua anadhani kua Amsterdam ndio mwenye kiti wake, kumbe sio.
Vyama vipya mutaaanzisha kila mwaka, lakini havitakua na impact yoyote.
Chamsingi Watanzania tudai katiba mpya.
Mbele ya katiba mpya, mpaka Mzee wa ubwabwa anaweza shinda.
 
naunga mkono hoja! Mbowe kama hakuwafukuza malaya hawa leo, basi ameipasua CDM yetu pendwa
Wewe una chama kweli? Kwa taarifa yako Chadema ni Saccos ya Mtei na Mbowe. Kaanzishe chama chako mkuu. Chadema hufanyi kitu utabaki kulalama tu hapa JF tu!
 
Haya ya Halima Mdee kama hawakufukuzwa basi nakushauri Tundu Lisu anzisha chama. Nina imani Kwa risasi 16 hutatusaliti.
Muanzishe chama cha mashoga kisha muhamie huko, haki mtakuwa mnaoata kura zisizozidi laki tatu.
 
kweli kabisa, lissu na mnyika anzisheni chama, hata kama 2025 tutapata mbunge mmoja huko mbeleni tutafikaa, sasa ni Dhahiri kabisa hili la viti maalum kuna viongozi ndani ya chama wame wazukunguka, na hassa yule kiongozi ndani ya chama ambaye makufuli anasema anampenda sana ila wanatofautiana sehemu ndogo ndogo tuu…………….
 
Haya ya Halima Mdee kama hawakufukuzwa basi nakushauri Tundu Lisu anzisha chama. Nina imani Kwa risasi 16 hutatusaliti.
Hicho chama kitasajiliwa nchi gani na kwa vigezo gani, TAL has reached a point of no return he will never come back in Tanzania for curerent political environment-period
 
Back
Top Bottom